Eee??!😄Tangu walivyoendaga airport kusubiri ndege kutoka mbinguni iwachukue,,,,nikajua Tu hapa dish limeyumba
Ooooh,kufanya mauwaji kwa raia ni siasa,loohNaona mmeanza kuchokoza na huko...
Kwa hii saga ndo dhehebu pekeee liLilofuata misingi yake ya kukaa nJe ya siasa na to me WAMEFANYA VIZURI SANA
Hujauliza uzinziMtuambie basi mnasimama na watawala (mafisadi) au mnasimama na wananchi?
Mbona unafiki wenu unataka kuvuka grade zote za hapa duniani?
Kwahiyo mpo ladhi kufuta ushirika mshiriko wenu kisa tu Kala kamongo lakini kukemea watawala (utawala dhalimu) siyo shida zenu.
Kwanini mpo tiyari kuchangisha mahela washiriki wenu mfanye mikutano ya wiki3 tatu kwa lengo moja tu la kuwapopoa wakatoliki na kumuita papa ni MNYAMA!?
Huu ni unafiki wa kiwango kisichopimika.
Tunaomba mtoke hadharani tuwajue upande wenu lakini yote tisa kumi hadi sasa Mpo kwenye upande wa wauaji na si wananchi.
Zaidi ya hayo mnakemea kusuka,kula kamongo,kuvaa heleni kucheza lkn hapo hapo kwaya zenu zinakata mauno tena na wanaume au ndo wanaume kama mabinti walio imbwa na msanii wa Paris?
View attachment 3512524
Hawa watu wana misimamo ya ajabu kweli kweli 😀Hasa kipindi cha makambi,kikubwa wasikukamate tu au sio,hili dhahebu ni changamoto.
Umesoma biblia gani?Naona mmeanza kuchokoza na huko...
Kwa hii saga ndo dhehebu pekeee liLilofuata misingi yake ya kukaa nJe ya siasa na to me WAMEFANYA VIZURI SANA
That's according to you mkuu, ila kukemea dhambi sio lazima kuitisha press, kwenye makanisa dhambi inakemewa kwa kutaja jina lake.HIi hainatofauti na machozi ya samaki baharini.
Sasa watasikiaje kama mnakemea makanisani tu ndani kwa ndani?Tunakemea sana tu, sisi hata jana tumeliombea taifa lisiangamie kwa haya yanayotokea. Tunakemea dhambi na wadhambi ila hatuitishi press conference ili kuongea live.
Kila.mtu ana approach yake kwenye kukemea dhambi.
Ajabu sana aseeHawana habari 😀😀
Toa pumba zako hapa msiingize taasisi za watu kwenye matakwa yenu (YENU) ya kisiasa....Umesoma biblia gani?
Yawezekana hujui hata kazi ya mtumishi wa Mungu.
Hujui hata Herode alikuwa anakemewa wazi wazi na yohana mbatazaji hadi akamfunga then akamkata kichwa?
Hujui mtume Paul alikuwa anawapopoa viongozi wa kirumi ?
hayo ni agano jipya soma na agano la kale kwa uchache tu.
Hapo sijamtaja Yeremia,Elisha na wengine wengi
1. Nathani:- Mfalme Daudi
2 Samweli 12
Nathani alimkemea Daudi kwa dhambi ya uzinzi na mauaji ya Uria. Hii ni moja ya mifano ya wazi ya nabii kumkemea mfalme uso kwa uso.
2. Eliya : Mfalme Ahabu na Malkia Yezebeli
1 Wafalme 18–21
Eliya alimkemea Ahabu kwa kuabudu sanamu (Bali) na baadaye kwa tukio la shamba la Naboth, akitangaza hukumu juu yake.
3. Mika mwana wa Imla => Mfalme Ahabu
1 Wafalme 22
Mika alimwambia Ahabu ukweli kuhusu kushindwa kwake vitani, akapingana na manabii wa uongo waliompendeza mfalme.
4. Amos => Mfalme Yeroboamu II na Matajiri wa Israeli
Amos 7–8
Amos alikemea ufisadi, unyonyaji, ibada ya uongo na dhuluma katika ufalme wa kaskazini. Kuhani Amazia alijaribu kumfukuza kwa sababu alionekana kuwa anamkosoa mfalme.
Ajenda ya mauaji imeanza tarehe 29 mbona kama mmesahau ajenda kuu??? Mnapambania nini hasa tangu mwanzo??Ooooh,kufanya mauwaji kwa raia ni siasa,looh
Hilo bao alilomwaga mzee wako ukapatikana wewe lilaniweToa pumba zako hapa msiingize taasisi za watu kwenye matakwa yenu (YENU) ya kisiasa....
Unayajua mafundisho yao kwa waumini kiopindi hiki??? Mlitaka watoe matamko uchwara kama ya TEC au misimamo ya wale ubwabwa mpate vya kujadili na kuvitengenezea propaganda as ussual???Kwahiyo hata waumini wakiuwawa safi tu waendee kukaa kimya au sio,sasa mwisho wa siku mtahubiria maiti?
SahihiShida ipo kwa viongozi hawatoki hadharani kukemea maovu, Biblia yenyewe inasema
Wanaopuuza maovu huhesabiwa washirika wa uovu
Ezekieli 3:18–19
“Ukimwambia mtu mwovu: Hakika utakufa, wala wewe usimwonye... damu yake nitaitaka mikononi mwako.”
Maana yake: Kukaa kimya mbele ya uovu ni kama kushiriki uovu huo.
Viongozi waongo na wapumbavu hukemewa
Isaya 56:10–11
“Walinzi wao ni vipofu... wote ni mbwa bubu, hawawezi kubweka... wote hutafuta faida yao wenyewe.”
Maana yake: Viongozi wasiokemea maovu wanaitwa vipofu, bubu, na walafi.