Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Hili kanisa ni la wanafiki sana hasa viongozi waoWasabato adui yao mkubwa ni upapa na ukatoliki wao hata waone waumini wao wanauliwa na serikali huwa wanasemi jambo labda wakatazwe kusali siku ya sabato.
Hili dhehebu full unafiki,wasimame wahesabiwe.
Hahaha 😂😂😂Hili kanisa ni la wanafiki sana hasa viongozi wao
Heri mashekhe ubwabwa wao wamejipambanua kwamba wapo upande wa wadharimu na kila mtu anajua hilo
Hahaha 😂🤣😂😂😂🤣Tangu walivyoendaga airport kusubiri ndege kutoka mbinguni iwachukue,,,,nikajua Tu hapa dish limeyumba
Wana mambo ya ajabu sana. Sasa uwakute wanavyojisifia ni watu wa neno kumbe hakuna loloteTangu walivyoendaga airport kusubiri ndege kutoka mbinguni iwachukue,,,,nikajua Tu hapa dish limeyumba
Sikupingi mkuuHao kama masheikh ubwabwa wasngejtokeza kujpa majukumu kuwajbu TEC bs hao SDA wangejpa jukumu hlo maana adui wao ni ROMAN CATHOLIC
666 NI MWILI WAKE MTU MWENYEWE ......MADHEHEBU YA DINI NI MAHEKALU YA SHETANI ..MTU AWEZI KUWA MTAKATIFU KWA KUPITIA MADHEHEBU.Mtuambie basi mnasimama na watawala (mafisadi) au mnasimama na wananchi?
Mbona unafiki wenu unataka kuvuka grade zote za hapa duniani?
Kwahiyo mpo ladhi kufuta ushirika mshiriko wenu kisa tu Kala kamongo lakini kukemea watawala (utawala dhalimu) siyo shida zenu.
Kwanini mpo tiyari kuchangisha mahela washiriki wenu mfanye mikutano ya wiki3 tatu kwa lengo moja tu la kuwapopoa wakatoliki na kumuita papa ni MNYAMA!?
Huu ni unafiki wa kiwango kisichopimika.
Tunaomba mtoke hadharani tuwajue upande wenu lakini yote tisa kumi hadi sasa Mpo kwenye upande wa wauaji na si wananchi.
Zaidi ya hayo mnakemea kusuka,kula kamongo,kuvaa heleni kucheza lkn hapo hapo kwaya zenu zinakata mauno tena na wanaume au ndo wanaume kama mabinti walio imbwa na msanii wa Paris?
View attachment 3512524
Kwahiyo hata waumini wakiuwawa safi tu waendee kukaa kimya au sio,sasa mwisho wa siku mtahubiria maiti?Naona mmeanza kuchokoza na huko...
Kwa hii saga ndo dhehebu pekeee liLilofuata misingi yake ya kukaa nJe ya siasa na to me WAMEFANYA VIZURI SANA
Hasa kipindi cha makambi,kikubwa wasikukamate tu au sio,hili dhahebu ni changamoto.Huku usabatoni kungonoka ni halali lakini sharti ufanye mafichoni. Ambocho hatutaki ni kushuhudia ukingonoka hadharani.
HIi hainatofauti na machozi ya samaki baharini.Tunakemea sana tu, sisi hata jana tumeliombea taifa lisiangamie kwa haya yanayotokea. Tunakemea dhambi na wadhambi ila hatuitishi press conference ili kuongea live.
Kila.mtu ana approach yake kwenye kukemea dhambi.
Jikite kwenye mada,utamu wa pipi ni mate yako tu. Acha ulimbukeni.Wasabato watamuu sn mazee , miaka ya nyuma nikiwa mpiga kinanda nlikuwa nawakula hataree