Ni kwamba imeshindikana kutengeneza miziki, comedy, n.k. bila vionjo vya Ngono, Vilevi, n.k. ? Tunapata taabu sana kuangalia tv na watoto

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Imekuwa too much sasa,

Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira

Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
 
I dont know basata wanafanya kazi gani, ole wako wimbo uiguse serikali ndio utawaona
 
Yaan
Imekuwa too much sasa,

Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira

Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
i utadhani ulikuwa kwenye mawazo yangu. Panda mabasi ndio utajuta miziki michafu na filamu ovyo ovyo. Je ukisafiri na wazazi au watu unaowaheshimu ni shida tupu.
 
Akili za comedians wengi zinawaza ngono tu kwenye stand up comedy mada ni ngono,regular na VIP, maskini na tajiri.

Ukitoa hizo mada hapo hamna kingine,wakati mwingine mnajilazimisha kucheka kuficha aibu anayoleta comedian
 
Yaani hili swala limekithiri na linakera sijui uwezo wa wasanii umekuwa wa kawaida kiasi kwamba kushindwa kuibua vitu vipya na kuvifanya viwe marketable mbali na ngono au sokoni ngono inauzika kirahisi na faida ni kubwa.
 
Yaani ujinga mtupu.... Yaani mtu ili achekeshe lazima aongee kingonongo....
 
Imekuwa too much sasa,

Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira

Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
Huko kwenye mziki ndio hatari na nusu
Subiri waje GenZ hapa kutuita washamba na kutwambia kuwa tumepitwa na wakati😒
 
Imekuwa too much sasa,

Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira

Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
Hata katuni siku hizi zinaelekea kushoto ila bongofleva,bongomovies na hizo stand up comedies ukitazama ukiwa na watoto ni kweli utamaliza betri za remote.
 
Imekuwa too much sasa,

Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira

Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
Twafaa
 
Wape watoto vitabu wasome, hizo tamthilia haziwafahi kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…