Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I dont know basata wanafanya kazi gani, ole wako wimbo uiguse serikali ndio utawaonaImekuwa too much sasa,
Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira
Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
i utadhani ulikuwa kwenye mawazo yangu. Panda mabasi ndio utajuta miziki michafu na filamu ovyo ovyo. Je ukisafiri na wazazi au watu unaowaheshimu ni shida tupu.Imekuwa too much sasa,
Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira
Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
Huko kwenye mziki ndio hatari na nusuImekuwa too much sasa,
Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira
Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
Hata katuni siku hizi zinaelekea kushoto ila bongofleva,bongomovies na hizo stand up comedies ukitazama ukiwa na watoto ni kweli utamaliza betri za remote.Imekuwa too much sasa,
Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira
Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
TwafaaImekuwa too much sasa,
Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira
Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
Wanakulana madenda hapo hapo na wattNa katuni zenyewe sikuizi mkuu si zote nzuri Kwa watoto...