Huwa naeleweka na nyie ' Geniuses ' tu.Umechambua vizuri sana asilimia 90 upo sahihi
Nashukuru / Nawashukuruni nyote mno.Genta, uchambuzi wako uko sahahi kabisa!! Kula likes za kutosha aisee
Halafu bado 24/7 unamsoma tu hapa JF.Hilo lina asili ya upunga linapenda sana kujipendekeza kwa baadhi ya watu kama kagame mara linajiita mtusi mara mzanaki,yaani kwa ujumla ni jinga tu.
Na wala hujakosea 'simpendi' ile mbaya.Wee ni kilaza huna hoja yoyote ya maana zaidi ya kutaka kumsema jk
Familia yangu ikiwa miongoni mwao pia.Nimesema:, watu wachache ndio walianza kumiliki Tv katika miaka ya 1980s, mwaka 1983 ni 1980s (in eighties).
Unachoongea ni opinion Sio fuctAwamu ya Nyerere
Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana.
Awamu ya Mwinyi
Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa na kusababisha nchi kuanza Kuyumba Kiuchumi huku Rasilimali nyingi za nchi zikinyakuliwa na Wachache ambao waliiweka nchi Mfukoni.
Awamu ya Mkapa
Ya Kuiimarisha Tanzania Kiuchumi na Kielimu huku Taifa la Tanzania likisifika zaidi Kimataifa kwa kuwa na Serikali imara iliyojua kutatua Changamoto za Watanzania huku hata Thamani nzima ya Pesa ( Shilingi ) ikiwa imeimarika sana.
Awamu ya Kikwete
Ya Kuharibu kabisa Uchumi wa Tanzania, uliozalisha Wezi ( Majangili ) na Mafisadi wengu huku pia Serikali ikiwa ndiyo Kimbilio Kuu la Magenge ya Wauza dawa za Kulevya.
Pia ndiyo Awamu iliyozalisha Watanzania wengi ' Goigoi ' na hata ' Mashoga ' wengi waliibukia hapa hapa.
Na ndiyo Awamu ambayo ililemaza Akili za Watanzania wengi huku wakipenda Kupata Pesa kirahisi ( kwa Kupiga Dili ) na Kusababisha Watanzania wengi ( japo siyo wote ) kupenda zaidi Starehe na siyo Kufanya Kazi.
Lakini pia ndiyo Awamu iliyozalisha Chuki za ' Kidiplomasia ' hasa na Mataifa Jirani kama Malawi na Rwanda kiasi cha hata kutaka Kuigharimu nchi ( Tanzania ) kwani Nguvu ya Malawi na Rwanda Kijeshi na Kiusalama zinajulikana na Tanzania ndiyo ingeathirika zaidi.
Awamu ya Magufuli
Ya Kuimarisha zaidi Miundombinu ya nchi, Kurudisha Nidhamu iliyopotea katika Awamu mbovu na ya hovyo ya Rais Kikwete.
Pia ndiyo Awamu ambayo iliwafungua zaidi Akili Watanzania wengi kujua Thamani zao lakini pia kujua Kiwango kikubwa cha Utajiri Tanzania Iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu.
Na ndiyo Awamu ambayo ilijikita zaidi Kuimarisha na Kuboresha ' Kivitendo ' zaidi Ndoto ' Pevu ' za Awamu ya Kwanza.
Hivyo hivyo ndiyo ilikuwa Awamu Bora kabisa iliyoweza Kupambana vyema na Mafisadi na pia Kuwamaliza vyema tu Wahalifu nchini kama Majambazi na hata Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya.
Vile vile ndiyo Awamu iliyomfanya Mtanzania aweze Kujiamini popote pale, Kujitambua vyema na hata Hadhi ya Elimu nchini kuanza Kuimarika tena.
Na ndiyo Awamu ambayo haikupenda sana ' Kujikomba ' kwa Marafiki ' Wanafiki ' kama ' Wakenya ' ila ikahakikisha inarejesha Uhusiano mwema na Majirani zetu wa ' Kimkakati ' kama Malawi na hasa hasa Taifa ' lililobarikiwa ' zaidi na Mwenyezi Mungu Barani Afrika la Rwanda pamoja na mengineyo tofauti na Awamu mbovu ya Kikwete ambayo iliharibu na ingeigharimu zaidi Tanzania.
Awamu ya Samia
Hii nitawaomba nanyi pia muichambue.
Akina Tony walikuwa wanaishi Bongoyo Street jirani na walipokuwa wanaogeshea Mbwa jirani kabisa na Shule yangu ya Oysterbsy Primary na Mimi nikiwa Chole Road jirani na Shule ya IST sasa hapo wapi na wapi Mkuu?Ahaaa miaka hiyo tunaenda kuangalia Tv kwa akina Tony acha uongo
Chole hapo tunajigongea tu watoto wa muhimbiliAkina Tony walikuwa wanaishi Bongoyo Street jirani na walipokuwa wanaogeshea Mbwa jirani kabisa na Shule yangu ya Oysterbsy Primary na Mimi nikiwa Chole Road jirani na Shule ya IST sasa hapo wapi na wapi Mkuu?
Mtahangaika sana na Kuteseka mno Kwangu Mimi GENTAMYCINE Marais wangu Bora na ambao pia wana Akili Kubwa na Nyingi kama za Wayahudi ( Israel ) na Watutsi ( Rwanda ) ni Mahayati Baba wa Taifa Babu yangu Mwenyewe Mwalimu Nyerere, Mzee Mkapa na Dkt. Magufuli na waliobaki ( ukiondoa tu Rais Samia Suluhu Hassan ) mpaka leo sijui kipi cha maana walichofanya kwa Tanzania yetu hii.
Ukweli ndio huo, ni mchumi tu au mtu mwenye awareness ya uchumi ndie atakuelewa, wengine bullshit!!Awamu ya Nyerere
Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana.
Awamu ya Mwinyi
Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa na kusababisha nchi kuanza Kuyumba Kiuchumi huku Rasilimali nyingi za nchi zikinyakuliwa na Wachache ambao waliiweka nchi Mfukoni.
Awamu ya Mkapa
Ya Kuiimarisha Tanzania Kiuchumi na Kielimu huku Taifa la Tanzania likisifika zaidi Kimataifa kwa kuwa na Serikali imara iliyojua kutatua Changamoto za Watanzania huku hata Thamani nzima ya Pesa ( Shilingi ) ikiwa imeimarika sana.
Awamu ya Kikwete
Ya Kuharibu kabisa Uchumi wa Tanzania, uliozalisha Wezi ( Majangili ) na Mafisadi wengu huku pia Serikali ikiwa ndiyo Kimbilio Kuu la Magenge ya Wauza dawa za Kulevya.
Pia ndiyo Awamu iliyozalisha Watanzania wengi ' Goigoi ' na hata ' Mashoga ' wengi waliibukia hapa hapa.
Na ndiyo Awamu ambayo ililemaza Akili za Watanzania wengi huku wakipenda Kupata Pesa kirahisi ( kwa Kupiga Dili ) na Kusababisha Watanzania wengi ( japo siyo wote ) kupenda zaidi Starehe na siyo Kufanya Kazi.
Lakini pia ndiyo Awamu iliyozalisha Chuki za ' Kidiplomasia ' hasa na Mataifa Jirani kama Malawi na Rwanda kiasi cha hata kutaka Kuigharimu nchi ( Tanzania ) kwani Nguvu ya Malawi na Rwanda Kijeshi na Kiusalama zinajulikana na Tanzania ndiyo ingeathirika zaidi.
Awamu ya Magufuli
Ya Kuimarisha zaidi Miundombinu ya nchi, Kurudisha Nidhamu iliyopotea katika Awamu mbovu na ya hovyo ya Rais Kikwete.
Pia ndiyo Awamu ambayo iliwafungua zaidi Akili Watanzania wengi kujua Thamani zao lakini pia kujua Kiwango kikubwa cha Utajiri Tanzania Iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu.
Na ndiyo Awamu ambayo ilijikita zaidi Kuimarisha na Kuboresha ' Kivitendo ' zaidi Ndoto ' Pevu ' za Awamu ya Kwanza.
Hivyo hivyo ndiyo ilikuwa Awamu Bora kabisa iliyoweza Kupambana vyema na Mafisadi na pia Kuwamaliza vyema tu Wahalifu nchini kama Majambazi na hata Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya.
Vile vile ndiyo Awamu iliyomfanya Mtanzania aweze Kujiamini popote pale, Kujitambua vyema na hata Hadhi ya Elimu nchini kuanza Kuimarika tena.
Na ndiyo Awamu ambayo haikupenda sana ' Kujikomba ' kwa Marafiki ' Wanafiki ' kama ' Wakenya ' ila ikahakikisha inarejesha Uhusiano mwema na Majirani zetu wa ' Kimkakati ' kama Malawi na hasa hasa Taifa ' lililobarikiwa ' zaidi na Mwenyezi Mungu Barani Afrika la Rwanda pamoja na mengineyo tofauti na Awamu mbovu ya Kikwete ambayo iliharibu na ingeigharimu zaidi Tanzania.
Awamu ya Samia
Hii nitawaomba nanyi pia muichambue.
Huu uzi bila Takwimu ni Ujinga tu kama alivo mleta uzoMtahangaika sana na Kuteseka mno Kwangu Mimi GENTAMYCINE Marais wangu Bora na ambao pia wana Akili Kubwa na Nyingi kama za Wayahudi ( Israel ) na Watutsi ( Rwanda ) ni Mahayati Baba wa Taifa Babu yangu Mwenyewe Mwalimu Nyerere, Mzee Mkapa na Dkt. Magufuli na waliobaki ( ukiondoa tu Rais Samia Suluhu Hassan ) mpaka leo sijui kipi cha maana walichofanya kwa Tanzania yetu hii.
Usipowasifia akina Nyerere, Mkapa na Dkt. Magufuli huu Uchambuzi wako nitaudharau na kuutia Kapuni kwani hawa ndiyo Marais Bora.huu ni mtazamo wako kama mwingine tu naye anayeweza kuja na mtazamo wake juu ya kila awamu....
Kila awamu iliongoza nchi kadili ilivyoona nchi ilipofika..japo wote walifail kwa kushindwa kuyajua kiuhalisia matatizo ya Tanzania na solution, wote walishindwa kujenga mifumo imara ikayoishi karne na karne na kuwa muongozo wa Taifa letu milele.. Wote walishindwa kujenga kizazi cha watanzania chenye uelewa na touch itakayokuwa kama alama ya utanzania...
Awamu ya kwanza tunaisamehe maana jukumu lake kubwa ilikuwa kututoa kwenye ukoloni, baada ya kufanikiwa kwenye hili ikashindwa kuweka muendelezo na kujenga misingi na mizizi imara kwa jamii ya kitanzania ambayo ingeishi mpaka leo baadala yake ikaacha issues dhaifu dhaifu ambazo zimekufa au kuuliwa kirahisi, Failure ya Taifa hili ndio ilianza hapa kwa Mzee Nyerere kwa kushindwa kuweka misingi imara itakayoishi na ingekuwa kama muongozo mpaka leo...
Awamu ya pili yenyewe ilikuja na mtazamo tofauti based na maisha iliyowakuta nayo watanzania, umasikini uliotukuka na mkwamo mkubwa wa kila mahala, nchi ikiwa imejifunga na hakuna kinachoendelea, wanannchi wakivaa matambala na kupanga foleni kwenye maduka ya ujamaa, nchi ilikuwa haina mipango yeyote ya kuendeleza Taifa vs population increase na kuendana sawa na kasi ya uchumi wa dunia..
Awamu iliamua kuleta sera au solo huria na kuifungua nchi iliyokwama na hapa watanzania kwa kiasi fulani wakapata mwamko na kuanza kuijua dunia na uelekeao wake japo elimu duni na wasomi wachache + ushamba wa watu kama moja ya athari ya awamu ya kwanza ukasababusha wahindi na waarabu kutuzidi akili kwa kuziwahi fursa na kutengeneza utajiri uliopindukia....Awamu hii ya pili iliamua kuwatoa watanzania tongotongo na kuifungulia milango na dunia kiasi cha maendeleo ya watu kuanza kushika kasi..
itaendelea..
Thubutuni 'Kuichokoza' Rwanda muone.Ruanda na Malawi wako vizuri kijeshi kuliko Tanzania?kweli mwendazake alitengeneza wajinga wengi
Nikinangwa na Kuchambuliwa na ' authentic Morons ' kama Wewe pamoja na Wenzako wengi hapa Jamvini wala sijali lolote sana sana naendelea tu Kuwadharau.Wewe jamaa hata hueleweki yani!
Mara leo huku kesho kule yani upoupo tu. Wewe leo ni wa kumsifu Magufuli kiasi hiki bila kutoa dosari!?
Halafu kaneno kadogo tu lakini utakapamba wee mpaka basi mfano ni hiyo Rwanda ulivyoipamba hapo mpaka kukaribia kuleta chuki
Jambo lingine unapenda kujipamba na sifa kemkem za uzuri na uelewa, una katabia ka kujikubali na kujiona (kujichukulia kama) genius kumbe mbumbumbu fulani tu!
Mwisho; "genius create idea, average mind discuss idea, low mind discuss person"
Nimekuchambua wewe, utaangalia pa kuniweka katika makundi hayo!!!
Awamu ya Tano ilikuwa Bora KiuongoziAwamu ya tano ilikuwa ya kipumbavu na kijinga kuwahi kutokea.Ujenzi wa miundo mbinu michache siyo kibali cha kutekeleza ukatili,uhuni,wizi na uwongo dhidi ya wenye mtazamo tofauti na watawala waliojivika sifa batili za uzalendo. Mungu alisikia vilio vya waja wake ndiyo maana kamnyofoa Ibilisi na wafuasi wake wanahaha na kutamani dunia ipasuke! oLE KWA WALIOKUWA WANASHABIKIA UBAZAZI HUO. TUBUNI.
Nafurahi kueleweka na ' Geniuses ' wachache sana kama Wewe hapa Jamvini JamiiForums Mkuu. Heko!!Uchambuzi uko vizuri mkuu, sema wengi wanaupitia wakiwa na mihemko.
Wanaishia kututajia maharamia waliojivika sura za utakatifu waliotekwa na wale wanaharakati uchwara waliokuwa wanatumiwa waliopata stahiki zao.
Ulizonazo ni za Kuchamba na Kukazwa.Akili huna
Kwangu Mimi ndiyo ilikuwa Awamu bora baada ya Tatu ya Mkapa na ya Kwanza ya Nyerere.Awamu ya tano ilikuwa ni ya kiongozi dhalimu na muovu. Ilikuwa ni chini ya kiongozi mwenye mitazamo ya kijima. Kwa ujumla alipaswa kuwa kiongozi wa karne mbili nyuma, zilizokuwa zikitumia mabavu kuliko akili.