Ni kwanini Akili yangu inazitafsiri hivi Tawala ( Awamu ) zote za Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Ni kwanini Akili yangu inazitafsiri hivi Tawala ( Awamu ) zote za Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Kinachonifurahisha ni ndugu zangu upande wa pili wa dini, wanapofanya uchanganuzi na uchambuzi wa Marais waliongoza TZ, lazime waathiriwe na mtazamo wa dini. Na hapo ndipo kunapokosekana rationality na credibility.

Anyway nahisi maisha magumu kwa wananchi, kuvunja na kutofuata sheria kwa kisingizio Cha utawala na Mamlaka ni kigezo Cha kuwa Rais bora
 
Hilo lina asili ya upunga linapenda sana kujipendekeza kwa baadhi ya watu kama kagame mara linajiita mtusi mara mzanaki,yaani kwa ujumla ni jinga tu.
Halafu bado 24/7 unamsoma tu hapa JF.
 
Awamu ya Nyerere

Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana.

Awamu ya Mwinyi

Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa na kusababisha nchi kuanza Kuyumba Kiuchumi huku Rasilimali nyingi za nchi zikinyakuliwa na Wachache ambao waliiweka nchi Mfukoni.

Awamu ya Mkapa

Ya Kuiimarisha Tanzania Kiuchumi na Kielimu huku Taifa la Tanzania likisifika zaidi Kimataifa kwa kuwa na Serikali imara iliyojua kutatua Changamoto za Watanzania huku hata Thamani nzima ya Pesa ( Shilingi ) ikiwa imeimarika sana.

Awamu ya Kikwete

Ya Kuharibu kabisa Uchumi wa Tanzania, uliozalisha Wezi ( Majangili ) na Mafisadi wengu huku pia Serikali ikiwa ndiyo Kimbilio Kuu la Magenge ya Wauza dawa za Kulevya.

Pia ndiyo Awamu iliyozalisha Watanzania wengi ' Goigoi ' na hata ' Mashoga ' wengi waliibukia hapa hapa.

Na ndiyo Awamu ambayo ililemaza Akili za Watanzania wengi huku wakipenda Kupata Pesa kirahisi ( kwa Kupiga Dili ) na Kusababisha Watanzania wengi ( japo siyo wote ) kupenda zaidi Starehe na siyo Kufanya Kazi.

Lakini pia ndiyo Awamu iliyozalisha Chuki za ' Kidiplomasia ' hasa na Mataifa Jirani kama Malawi na Rwanda kiasi cha hata kutaka Kuigharimu nchi ( Tanzania ) kwani Nguvu ya Malawi na Rwanda Kijeshi na Kiusalama zinajulikana na Tanzania ndiyo ingeathirika zaidi.

Awamu ya Magufuli

Ya Kuimarisha zaidi Miundombinu ya nchi, Kurudisha Nidhamu iliyopotea katika Awamu mbovu na ya hovyo ya Rais Kikwete.

Pia ndiyo Awamu ambayo iliwafungua zaidi Akili Watanzania wengi kujua Thamani zao lakini pia kujua Kiwango kikubwa cha Utajiri Tanzania Iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu.

Na ndiyo Awamu ambayo ilijikita zaidi Kuimarisha na Kuboresha ' Kivitendo ' zaidi Ndoto ' Pevu ' za Awamu ya Kwanza.

Hivyo hivyo ndiyo ilikuwa Awamu Bora kabisa iliyoweza Kupambana vyema na Mafisadi na pia Kuwamaliza vyema tu Wahalifu nchini kama Majambazi na hata Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya.

Vile vile ndiyo Awamu iliyomfanya Mtanzania aweze Kujiamini popote pale, Kujitambua vyema na hata Hadhi ya Elimu nchini kuanza Kuimarika tena.

Na ndiyo Awamu ambayo haikupenda sana ' Kujikomba ' kwa Marafiki ' Wanafiki ' kama ' Wakenya ' ila ikahakikisha inarejesha Uhusiano mwema na Majirani zetu wa ' Kimkakati ' kama Malawi na hasa hasa Taifa ' lililobarikiwa ' zaidi na Mwenyezi Mungu Barani Afrika la Rwanda pamoja na mengineyo tofauti na Awamu mbovu ya Kikwete ambayo iliharibu na ingeigharimu zaidi Tanzania.

Awamu ya Samia

Hii nitawaomba nanyi pia muichambue.
Unachoongea ni opinion Sio fuct
 
Ahaaa miaka hiyo tunaenda kuangalia Tv kwa akina Tony acha uongo
Akina Tony walikuwa wanaishi Bongoyo Street jirani na walipokuwa wanaogeshea Mbwa jirani kabisa na Shule yangu ya Oysterbsy Primary na Mimi nikiwa Chole Road jirani na Shule ya IST sasa hapo wapi na wapi Mkuu?
 
Chole hapo tunajigongea tu watoto wa muhimbili
 
Mtahangaika sana na Kuteseka mno Kwangu Mimi GENTAMYCINE Marais wangu Bora na ambao pia wana Akili Kubwa na Nyingi kama za Wayahudi ( Israel ) na Watutsi ( Rwanda ) ni Mahayati Baba wa Taifa Babu yangu Mwenyewe Mwalimu Nyerere, Mzee Mkapa na Dkt. Magufuli na waliobaki ( ukiondoa tu Rais Samia Suluhu Hassan ) mpaka leo sijui kipi cha maana walichofanya kwa Tanzania yetu hii.
 
Awamu ya Nyerere

Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana.

Awamu ya Mwinyi

Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa na kusababisha nchi kuanza Kuyumba Kiuchumi huku Rasilimali nyingi za nchi zikinyakuliwa na Wachache ambao waliiweka nchi Mfukoni.

Awamu ya Mkapa

Ya Kuiimarisha Tanzania Kiuchumi na Kielimu huku Taifa la Tanzania likisifika zaidi Kimataifa kwa kuwa na Serikali imara iliyojua kutatua Changamoto za Watanzania huku hata Thamani nzima ya Pesa ( Shilingi ) ikiwa imeimarika sana.

Awamu ya Kikwete

Ya Kuharibu kabisa Uchumi wa Tanzania, uliozalisha Wezi ( Majangili ) na Mafisadi wengu huku pia Serikali ikiwa ndiyo Kimbilio Kuu la Magenge ya Wauza dawa za Kulevya.

Pia ndiyo Awamu iliyozalisha Watanzania wengi ' Goigoi ' na hata ' Mashoga ' wengi waliibukia hapa hapa.

Na ndiyo Awamu ambayo ililemaza Akili za Watanzania wengi huku wakipenda Kupata Pesa kirahisi ( kwa Kupiga Dili ) na Kusababisha Watanzania wengi ( japo siyo wote ) kupenda zaidi Starehe na siyo Kufanya Kazi.

Lakini pia ndiyo Awamu iliyozalisha Chuki za ' Kidiplomasia ' hasa na Mataifa Jirani kama Malawi na Rwanda kiasi cha hata kutaka Kuigharimu nchi ( Tanzania ) kwani Nguvu ya Malawi na Rwanda Kijeshi na Kiusalama zinajulikana na Tanzania ndiyo ingeathirika zaidi.

Awamu ya Magufuli

Ya Kuimarisha zaidi Miundombinu ya nchi, Kurudisha Nidhamu iliyopotea katika Awamu mbovu na ya hovyo ya Rais Kikwete.

Pia ndiyo Awamu ambayo iliwafungua zaidi Akili Watanzania wengi kujua Thamani zao lakini pia kujua Kiwango kikubwa cha Utajiri Tanzania Iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu.

Na ndiyo Awamu ambayo ilijikita zaidi Kuimarisha na Kuboresha ' Kivitendo ' zaidi Ndoto ' Pevu ' za Awamu ya Kwanza.

Hivyo hivyo ndiyo ilikuwa Awamu Bora kabisa iliyoweza Kupambana vyema na Mafisadi na pia Kuwamaliza vyema tu Wahalifu nchini kama Majambazi na hata Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya.

Vile vile ndiyo Awamu iliyomfanya Mtanzania aweze Kujiamini popote pale, Kujitambua vyema na hata Hadhi ya Elimu nchini kuanza Kuimarika tena.

Na ndiyo Awamu ambayo haikupenda sana ' Kujikomba ' kwa Marafiki ' Wanafiki ' kama ' Wakenya ' ila ikahakikisha inarejesha Uhusiano mwema na Majirani zetu wa ' Kimkakati ' kama Malawi na hasa hasa Taifa ' lililobarikiwa ' zaidi na Mwenyezi Mungu Barani Afrika la Rwanda pamoja na mengineyo tofauti na Awamu mbovu ya Kikwete ambayo iliharibu na ingeigharimu zaidi Tanzania.

Awamu ya Samia

Hii nitawaomba nanyi pia muichambue.
Ukweli ndio huo, ni mchumi tu au mtu mwenye awareness ya uchumi ndie atakuelewa, wengine bullshit!!
 
Mtahangaika sana na Kuteseka mno Kwangu Mimi GENTAMYCINE Marais wangu Bora na ambao pia wana Akili Kubwa na Nyingi kama za Wayahudi ( Israel ) na Watutsi ( Rwanda ) ni Mahayati Baba wa Taifa Babu yangu Mwenyewe Mwalimu Nyerere, Mzee Mkapa na Dkt. Magufuli na waliobaki ( ukiondoa tu Rais Samia Suluhu Hassan ) mpaka leo sijui kipi cha maana walichofanya kwa Tanzania yetu hii.
Huu uzi bila Takwimu ni Ujinga tu kama alivo mleta uzo
 
huu ni mtazamo wako kama mwingine tu naye anayeweza kuja na mtazamo wake juu ya kila awamu....

Kila awamu iliongoza nchi kadili ilivyoona nchi ilipofika..japo wote walifail kwa kushindwa kuyajua kiuhalisia matatizo ya Tanzania na solution, wote walishindwa kujenga mifumo imara ikayoishi karne na karne na kuwa muongozo wa Taifa letu milele.. Wote walishindwa kujenga kizazi cha watanzania chenye uelewa na touch itakayokuwa kama alama ya utanzania...

Awamu ya kwanza tunaisamehe maana jukumu lake kubwa ilikuwa kututoa kwenye ukoloni, baada ya kufanikiwa kwenye hili ikashindwa kuweka muendelezo na kujenga misingi na mizizi imara kwa jamii ya kitanzania ambayo ingeishi mpaka leo baadala yake ikaacha issues dhaifu dhaifu ambazo zimekufa au kuuliwa kirahisi, Failure ya Taifa hili ndio ilianza hapa kwa Mzee Nyerere kwa kushindwa kuweka misingi imara itakayoishi na ingekuwa kama muongozo mpaka leo...

Awamu ya pili yenyewe ilikuja na mtazamo tofauti based na maisha iliyowakuta nayo watanzania, umasikini uliotukuka na mkwamo mkubwa wa kila mahala, nchi ikiwa imejifunga na hakuna kinachoendelea, wanannchi wakivaa matambala na kupanga foleni kwenye maduka ya ujamaa, nchi ilikuwa haina mipango yeyote ya kuendeleza Taifa vs population increase na kuendana sawa na kasi ya uchumi wa dunia..
Awamu iliamua kuleta sera au solo huria na kuifungua nchi iliyokwama na hapa watanzania kwa kiasi fulani wakapata mwamko na kuanza kuijua dunia na uelekeao wake japo elimu duni na wasomi wachache + ushamba wa watu kama moja ya athari ya awamu ya kwanza ukasababusha wahindi na waarabu kutuzidi akili kwa kuziwahi fursa na kutengeneza utajiri uliopindukia....Awamu hii ya pili iliamua kuwatoa watanzania tongotongo na kuifungulia milango na dunia kiasi cha maendeleo ya watu kuanza kushika kasi..

itaendelea..
Usipowasifia akina Nyerere, Mkapa na Dkt. Magufuli huu Uchambuzi wako nitaudharau na kuutia Kapuni kwani hawa ndiyo Marais Bora.

Na nikiona pia unamsifia Kikwete ( ambaye Kwangu Mimi ndiyo Rais mbovu ) kuwahi kutokea nchini Tanzania nitakupuuza kunakotukuka.
 
Wewe jamaa hata hueleweki yani!

Mara leo huku kesho kule yani upoupo tu. Wewe leo ni wa kumsifu Magufuli kiasi hiki bila kutoa dosari!?

Halafu kaneno kadogo tu lakini utakapamba wee mpaka basi mfano ni hiyo Rwanda ulivyoipamba hapo mpaka kukaribia kuleta chuki

Jambo lingine unapenda kujipamba na sifa kemkem za uzuri na uelewa, una katabia ka kujikubali na kujiona (kujichukulia kama) genius kumbe mbumbumbu fulani tu!

Mwisho; "genius create idea, average mind discuss idea, low mind discuss person"

Nimekuchambua wewe, utaangalia pa kuniweka katika makundi hayo!!!
Nikinangwa na Kuchambuliwa na ' authentic Morons ' kama Wewe pamoja na Wenzako wengi hapa Jamvini wala sijali lolote sana sana naendelea tu Kuwadharau.
 
Awamu ya tano ilikuwa ya kipumbavu na kijinga kuwahi kutokea.Ujenzi wa miundo mbinu michache siyo kibali cha kutekeleza ukatili,uhuni,wizi na uwongo dhidi ya wenye mtazamo tofauti na watawala waliojivika sifa batili za uzalendo. Mungu alisikia vilio vya waja wake ndiyo maana kamnyofoa Ibilisi na wafuasi wake wanahaha na kutamani dunia ipasuke! oLE KWA WALIOKUWA WANASHABIKIA UBAZAZI HUO. TUBUNI.
Awamu ya Tano ilikuwa Bora Kiuongozi
 
Uchambuzi uko vizuri mkuu, sema wengi wanaupitia wakiwa na mihemko.

Wanaishia kututajia maharamia waliojivika sura za utakatifu waliotekwa na wale wanaharakati uchwara waliokuwa wanatumiwa waliopata stahiki zao.
Nafurahi kueleweka na ' Geniuses ' wachache sana kama Wewe hapa Jamvini JamiiForums Mkuu. Heko!!
 
Awamu ya tano ilikuwa ni ya kiongozi dhalimu na muovu. Ilikuwa ni chini ya kiongozi mwenye mitazamo ya kijima. Kwa ujumla alipaswa kuwa kiongozi wa karne mbili nyuma, zilizokuwa zikitumia mabavu kuliko akili.
Kwangu Mimi ndiyo ilikuwa Awamu bora baada ya Tatu ya Mkapa na ya Kwanza ya Nyerere.
 
Back
Top Bottom