Ni kwanini amri ya kuiabudu siku ya sabato tangu enzi za Musa hadi sasa ni jumamosi lakini makanisa mengine huabudu jumapili?

Ni kwanini amri ya kuiabudu siku ya sabato tangu enzi za Musa hadi sasa ni jumamosi lakini makanisa mengine huabudu jumapili?

Kwa hiyo mazingira yanabadili amri ya Mungu?
Kwa kipindi ambacho Israael walilishwa bure mikate walipewa masharti ya ziada kwamba siku ya sabato wasitoke nje kwenda kuokota mikate na waandae chakula mapema ijumaa sababu siku hio wanapewa chakula cha bure mara mbili zaidi na chakula kilibarikiwa kisiharibike wala kuoza wala kuganda kikiandaliwa ijumaa hivyo kikiandaliwa ijumaa hakuna haja ya kuwasha moto kukiandaa jumamosi.

ndio maana iliandikwa "mtihani",, kupewa chakula bure ila kwa masharti ya ziada nje ya yale ya kawaida ambayo tunajitafutia chakula na chakula tunachokila kinaharibika hatuna budi kukipika siku hio hio jumamosi
 
Kuna Ibrahimu baba wa imani, na kuna Musa mleta Torati. Unamfuata yupi kati ya hao wawili?
kwa kuwa sisi ni wakristo tunanamfuata zaidi Yesu ambae aliikuta siku ya sabato iliyoanzishwa tangu enzi za Musa, aliiabudu, aliisifia na kuitetea (Marko 2),
 
Nionyeshe walipoandika jumamosi
huwezi kulikuta neno jumamosi wala ijumaa sababu ni majina ya siku yaliyobuniwa hapo baadae sana ila mfumo wa kuhesabu siku 7 upo tangu zamani,

mfumo wa kutambua siku tunaoutumia sasa unatambua siku inaisha saa sita usiku lakini sabato ipo tofauti, inaanza siku ya ijumaa dakika chache kabla ya jua kuzama hadi kesho yake lisaa baada ya jua kuzama, ni masaa 25
 
Sabato ni Sheria. Lakini unafahamu kuwa Yesu ni mwisho wa Sheria? Aliyemwamini Yesu hayupo chini ya Sheria, anaishi kwa imani. Hao wanaofunga maduka kwa vigezo vya Sabato siku wakimwamini Yesu hawatafanya hivyo tena!
Kumwamini Yesu ni kutii sheria ambazo hata yeye alizitii ikiwemo kutii amri kumi kama kuiabudu siku ya sabato

Sabato ni siku takatifu inayoturuhusu kusimamisha shughuli zetu na kujumuika kwenye shughuli za kuabudu (kuimba, kusifu, ibada, kutoa misaada, n.k)
 
Na aliweka amri akashindwa kusema jumamosi
majina ya siku za sasa zinazoanza saa sita usiku hayakuwepo enzi hizo, mfumo ulikuwa ni kuhesabia siku ni nuru na giza kupita, utaratibu uliokuwepo ni kuhesabu siku 6 zikipita basi ya saba inakuwa sabato na kesho yake inaanza siku ya kwanza, mfumo huu kwa majina ya siku tunayotumia kwa sasa umeangukia kwenye siku ya ijumaa dakika chache kabla ya giza hadi jumamosi lisaa baada baada ya giza
 
"Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku, mwingine aona siku zote kuwa sawasawa. Kila mtu na athibitike katika akili zake mwenyewe"
Warumi 14:6

Muhimu siyo siku ya kuabudu bali unayemwabudu. Kama unaabudu katika roho na kweli, siku si tatizo.
SABATO = KUPUMZIKA + kuabudu

utapumzika kila siku ??
 
Aliyemwamini Yesu hahitaji kuambiwa amwamini Mungu kwa kuwa tayari hiyo imani ni sehemu ya maisha yake.

Aliyemwamini Yesu hahitaji kuambiwa asiue kwa kuwa utu wake mpya haumwongozi kutenda mabaya bali mema.

Sheria ni kwa ajili ya watu waliokuwa kiroho. Walio na uzima wa Mungu mioyoni mwao hawawezi kuua, hiyo si asili yao.
kumwamini yesu ni kutii amri 10 kama yeye alivyozitambua na kuzitii
 
Wasabato ni wanafiki sana ...kama wangekua wanafuata sheria zote kama za Wayahudi hapo labda tungewaamini. Sheria mojawapo ya Sabato ya Wayahudi ni kutokuwasha moto siku ya Sabato yaani kwa mazingira ya leo hutakiwi kuwasha hata taa za nyumba au kuendesha gari kwenda huko kanisani kwao(manake ili gari liwake lazima "ignition" itokee). Sasa ukiwauliza Wasabato hawana jibu la kueleweka
Unasoma vimistari unajua kwanini waliambiwa wasiwashe moto na huo moto ulikuwa wa kazi gani.

Moto unaozungumziwa ni wa kupasha mikate ambayo wayahudi walipewa bure bila kufanya kazi pindi wakiwa wanatoka Misri kurudi kwao, mikate waliyopewa iliandaliwa kwa kuipasha na moto na haikuharibika wala kuoza wala kutoa harufu siku ijayo

Kwa mikate hii ya bure bila kufanya kazi walipewa sharti la ziada kwamba siku ya sabato wasijishughulishe hata kwenda kuokota mikate, siku ya sita walipewa mara mbili zaidi kwajili ya kufidia siku ya sabato, hivyo mikate ya siku ya sita ilipashwa pamoja na ya siku inayofuata ya sabato.

Walipewa mikate ya bure bila kufanya kazi hivyo siku ya saba kulikuwa na sharti la ziada wasihangaike kabisa kuokota mikate wala kuwasha moto wa kuipasha.

Moto unaozungumziwa ulikuwa ni wa kupashia mikate tu, mambo mengine muhimu kama kuwasha moto kupata mwanga kwajili ya ulinzi, Kuwasha moto kuotea kwajili ya kulinda afya, n.k. ziliendelea kama ambavyo Yesu alivyofafanua vizuri huwezi kukwepa kumuokoa punda anaezama siku ya sabato kisa kisingizio cha kukwepa shughuli.
 
Unasoma vimistari unajua kwanini waliambiwa wasiwashe moto na huo moto ulikuwa wa kazi gani.

Waisrael wakiwa wanatoka Misri kwenda kwenye ardhi yao walikuwa wanapewa chakula bure kabisa na Mungu, waaenda sehemu wanaokota mikate, mikate hio inapashwa tu na haiharibiki wala kuoza kwa siku inayofuata, siku ya sita walikuwa wanapewa mikate bure kabisa kwa sharti za ziada kwamba chakula hicho cha bure wakipashe siku ya sita ili ya saba waitumie kuabudu zaidi, ilikuwa ni marufuku kuwasha moto wa kupashia mikate siku ya ijumaa sababu ilikuwa ni marufuku kwenda kuokota mikate siku hio na tayari mikate ya kula siku hio ilishapashwa siku ya jana.
Hamtawasha moto katika nyumba zenu kwa siku ya Sabato. Hii ina maana kwamba haikuruhusiwa kupika vyakula siku ya sabato. (Kut. 35:3).
 
Hamtawasha moto katika nyumba zenu kwa siku ya Sabato. Hii ina maana kwamba haikuruhusiwa kupika vyakula siku ya sabato. (Kut. 35:3).
Moto unaozungumziwa ni wa kupasha mikate ambayo wayahudi walipewa bure bila kufanya kazi pindi wakiwa wanatoka Misri kurudi kwao, mikate waliyopewa iliandaliwa kwa kuipasha na moto na haikuharibika wala kuoza wala kutoa harufu siku ijayo

Kwa mikate hii ya bure bila kufanya kazi walipewa sharti la ziada kwamba siku ya sabato wasijishughulishe hata kwenda kuokota mikate, siku ya sita walipewa mara mbili zaidi kwajili ya kufidia siku ya sabato, hivyo mikate ya siku ya sita ilipashwa pamoja na ya siku inayofuata ya sabato.

Walipewa mikate ya bure bila kufanya kazi hivyo siku ya saba kulikuwa na sharti la ziada wasihangaike kabisa kuokota mikate wala kuwasha moto wa kuipasha.

Moto unaozungumziwa ulikuwa ni wa kupashia mikate tu, mambo mengine muhimu kama kuwasha moto kupata mwanga kwajili ya ulinzi, Kuwasha moto kuotea kwajili ya kulinda afya, n.k. ziliendelea kama ambavyo Yesu alivyofafanua vizuri huwezi kukwepa kumuokoa punda anaezama siku ya sabato kisa kisingizio cha kukwepa shughuli.
 
kumwamini yesu ni kutii amri 10 kama yeye alivyozitambua na kuzitii
Unaoamini Biblia?
Neno la Mungu linasema, "Kristo ni mwisho wa sheria, ili kila aaminiye ahesabiwe haki"
Warumi 10:4

Sheria ni kwa ajili ya watu waliokufa kiroho, na Imani ni kwa ajili ya watu walio hai kiroho.
 
Tunamwamini kristo akiwa ni mwisho wa sheria kwa kufuata njia yake ikiwmo jinsi alivyozitii amri 10

Marko 2 inamuonyesha wazi akiiabudu, akiisifia na kuitetea sabato, Hivyo yafaa na sisi tufuate njia hio

Huwezi ukawa unaiba ama kuiba ukajipiga kifua eti Kristo ni mwisho wa sheria hakuna haja ya kuzitii amri 10, NEVER !!

Hata yeye alitamka hajaja kuzibadili amri 10 (Mathayo 5:17)
 
Unakubali alikuja kutimiza, sawa? Maana yake baada ya hapo, haikuwa na nguvu tena. Ishamaliza kazi yake.
Tunamwamini kristo akiwa ni mwisho wa sheria kwa kufuata njia yake ikiwmo jinsi alivyozitii amri 10

Marko 2 inamuonyesha wazi akiiabudu, akiisifia na kuitetea sabato, Hivyo yafaa na sisi tufuate njia hio

Huwezi ukawa unaiba ama kuiba ukajipiga kifua eti Kristo ni mwisho wa sheria hakuna haja ya kuzitii amri 10, NEVER !!

Hata yeye alitamka hajaja kuzibadili amri 10 (Mathayo 5:17)
Wapi Yesu alukoisifu torati? Weka nukuu Yake hapa ukionesha sura na mstari.

Mtu aliyemwamini Yesu hayupo chini Sheria, na wala hatendi dhambi. Kimsingi, kuna Amri moja tu kwa Wakristo, nayo ni hii: UPENDO.
"Amri mpya nawapa, Moendane..." Yohana 13:34

Yeyote anayeishi katika upendo wa Kimungu hawezi kutenda dhambi!
1. Haibi
2. Hazini
3. Hajui
N.k.

Tena, imeandikwa,"Kwa maana wale wote walio wa matendo ya Sheria, wako chini ya laana..."
Wagalatia 3:10

Kuwa chini ya Sheria ni kuwa chini ya laana! Unakubaliana na Neno la Mungu au unapingana nalo?
 
Marko 2 inamuonyesha wazi akiiabudu, akiisifia na kuitetea sabato, Hivyo yafaa na sisi tufuate njia hio
23 Ikawa alipokuwa akipita mashambani siku ya sabato, wanafunzi wake walianza kuendelea njiani wakivunja masuke.
24 Mafarisayo wakamwambia, Tazama, mbona wanafanya lisilokuwa halali siku ya sabato?
25 Akawaambia, Hamkusoma popote alivyofanya Daudi, alipokuwa ana haja, na kuona njaa, yeye na wenziwe?
26 Jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, zamani za kuhani mkuu Abiathari, akaila mikate ile ya Wonyesho, ambayo si halali kuliwa ila na makuhani, akawapa na wenziwe?
27 Akawaambia, Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato.
28 Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia.
 
Moja ya changamoto ya Wasabato ni kutokusoma Agano jipya! Wamekazana sana kusoma Agano la Kale, hasa vitabu vya Torati lakini si vitabu vya Agano Jipya hasa Nyaraka.

Pengine, hawajui kuwa Nyaraka ni maelekezo kwa ajili ya waamini wa Agano Jipya!
 
Back
Top Bottom