Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Nani alianzisha ukristo?Paul kaueneza duniani kwa kuhubiri mafundisho ya Ukristo.
Na sio aliyeunzisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alianzisha ukristo?Paul kaueneza duniani kwa kuhubiri mafundisho ya Ukristo.
Na sio aliyeunzisha
Yesu Kristo.Nani alianzisha ukristo?
Kwa kipindi ambacho Israael walilishwa bure mikate walipewa masharti ya ziada kwamba siku ya sabato wasitoke nje kwenda kuokota mikate na waandae chakula mapema ijumaa sababu siku hio wanapewa chakula cha bure mara mbili zaidi na chakula kilibarikiwa kisiharibike wala kuoza wala kuganda kikiandaliwa ijumaa hivyo kikiandaliwa ijumaa hakuna haja ya kuwasha moto kukiandaa jumamosi.Kwa hiyo mazingira yanabadili amri ya Mungu?
kwa kuwa sisi ni wakristo tunanamfuata zaidi Yesu ambae aliikuta siku ya sabato iliyoanzishwa tangu enzi za Musa, aliiabudu, aliisifia na kuitetea (Marko 2),Kuna Ibrahimu baba wa imani, na kuna Musa mleta Torati. Unamfuata yupi kati ya hao wawili?
huwezi kulikuta neno jumamosi wala ijumaa sababu ni majina ya siku yaliyobuniwa hapo baadae sana ila mfumo wa kuhesabu siku 7 upo tangu zamani,Nionyeshe walipoandika jumamosi
Anza kusoma biblia utajua ni kwanini hata Yesu ambae ni myahudi ana waumini zaidi dunianiSabato ilikuwa kwa ajili ya Wayahudi! Wewe ni Myahudi?
Kumwamini Yesu ni kutii sheria ambazo hata yeye alizitii ikiwemo kutii amri kumi kama kuiabudu siku ya sabatoSabato ni Sheria. Lakini unafahamu kuwa Yesu ni mwisho wa Sheria? Aliyemwamini Yesu hayupo chini ya Sheria, anaishi kwa imani. Hao wanaofunga maduka kwa vigezo vya Sabato siku wakimwamini Yesu hawatafanya hivyo tena!
Na aliweka amri akashindwa kusema jumamosiSiku ya sabato sio Mila wala Tamaduni, NI AMRI !!
majina ya siku za sasa zinazoanza saa sita usiku hayakuwepo enzi hizo, mfumo ulikuwa ni kuhesabia siku ni nuru na giza kupita, utaratibu uliokuwepo ni kuhesabu siku 6 zikipita basi ya saba inakuwa sabato na kesho yake inaanza siku ya kwanza, mfumo huu kwa majina ya siku tunayotumia kwa sasa umeangukia kwenye siku ya ijumaa dakika chache kabla ya giza hadi jumamosi lisaa baada baada ya gizaNa aliweka amri akashindwa kusema jumamosi
SABATO = KUPUMZIKA + kuabudu"Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku, mwingine aona siku zote kuwa sawasawa. Kila mtu na athibitike katika akili zake mwenyewe"
Warumi 14:6
Muhimu siyo siku ya kuabudu bali unayemwabudu. Kama unaabudu katika roho na kweli, siku si tatizo.
kumwamini yesu ni kutii amri 10 kama yeye alivyozitambua na kuzitiiAliyemwamini Yesu hahitaji kuambiwa amwamini Mungu kwa kuwa tayari hiyo imani ni sehemu ya maisha yake.
Aliyemwamini Yesu hahitaji kuambiwa asiue kwa kuwa utu wake mpya haumwongozi kutenda mabaya bali mema.
Sheria ni kwa ajili ya watu waliokuwa kiroho. Walio na uzima wa Mungu mioyoni mwao hawawezi kuua, hiyo si asili yao.
Unasoma vimistari unajua kwanini waliambiwa wasiwashe moto na huo moto ulikuwa wa kazi gani.Wasabato ni wanafiki sana ...kama wangekua wanafuata sheria zote kama za Wayahudi hapo labda tungewaamini. Sheria mojawapo ya Sabato ya Wayahudi ni kutokuwasha moto siku ya Sabato yaani kwa mazingira ya leo hutakiwi kuwasha hata taa za nyumba au kuendesha gari kwenda huko kanisani kwao(manake ili gari liwake lazima "ignition" itokee). Sasa ukiwauliza Wasabato hawana jibu la kueleweka
Hamtawasha moto katika nyumba zenu kwa siku ya Sabato. Hii ina maana kwamba haikuruhusiwa kupika vyakula siku ya sabato. (Kut. 35:3).Unasoma vimistari unajua kwanini waliambiwa wasiwashe moto na huo moto ulikuwa wa kazi gani.
Waisrael wakiwa wanatoka Misri kwenda kwenye ardhi yao walikuwa wanapewa chakula bure kabisa na Mungu, waaenda sehemu wanaokota mikate, mikate hio inapashwa tu na haiharibiki wala kuoza kwa siku inayofuata, siku ya sita walikuwa wanapewa mikate bure kabisa kwa sharti za ziada kwamba chakula hicho cha bure wakipashe siku ya sita ili ya saba waitumie kuabudu zaidi, ilikuwa ni marufuku kuwasha moto wa kupashia mikate siku ya ijumaa sababu ilikuwa ni marufuku kwenda kuokota mikate siku hio na tayari mikate ya kula siku hio ilishapashwa siku ya jana.
Moto unaozungumziwa ni wa kupasha mikate ambayo wayahudi walipewa bure bila kufanya kazi pindi wakiwa wanatoka Misri kurudi kwao, mikate waliyopewa iliandaliwa kwa kuipasha na moto na haikuharibika wala kuoza wala kutoa harufu siku ijayoHamtawasha moto katika nyumba zenu kwa siku ya Sabato. Hii ina maana kwamba haikuruhusiwa kupika vyakula siku ya sabato. (Kut. 35:3).
Unaoamini Biblia?kumwamini yesu ni kutii amri 10 kama yeye alivyozitambua na kuzitii
Yesu Kristo!Nani alianzisha ukristo?
Tunamwamini kristo akiwa ni mwisho wa sheria kwa kufuata njia yake ikiwmo jinsi alivyozitii amri 10Unaoamini Biblia?
Neno la Mungu linasema, "Kristo ni mwisho wa sheria, ili kila aaminiye ahesabiwe haki"
Warumi 10:4
Sheria ni kwa ajili ya watu waliokufa kiroho, na Imani ni kwa ajili ya watu walio hai kiroho.
Unakubali alikuja kutimiza, sawa? Maana yake baada ya hapo, haikuwa na nguvu tena. Ishamaliza kazi yake.Tunamwamini kristo akiwa ni mwisho wa sheria kwa kufuata njia yake ikiwmo jinsi alivyozitii amri 10
Marko 2 inamuonyesha wazi akiiabudu, akiisifia na kuitetea sabato, Hivyo yafaa na sisi tufuate njia hio
Huwezi ukawa unaiba ama kuiba ukajipiga kifua eti Kristo ni mwisho wa sheria hakuna haja ya kuzitii amri 10, NEVER !!
Hata yeye alitamka hajaja kuzibadili amri 10 (Mathayo 5:17)
Wapi Yesu alukoisifu torati? Weka nukuu Yake hapa ukionesha sura na mstari.Tunamwamini kristo akiwa ni mwisho wa sheria kwa kufuata njia yake ikiwmo jinsi alivyozitii amri 10
Marko 2 inamuonyesha wazi akiiabudu, akiisifia na kuitetea sabato, Hivyo yafaa na sisi tufuate njia hio
Huwezi ukawa unaiba ama kuiba ukajipiga kifua eti Kristo ni mwisho wa sheria hakuna haja ya kuzitii amri 10, NEVER !!
Hata yeye alitamka hajaja kuzibadili amri 10 (Mathayo 5:17)
23 Ikawa alipokuwa akipita mashambani siku ya sabato, wanafunzi wake walianza kuendelea njiani wakivunja masuke.Marko 2 inamuonyesha wazi akiiabudu, akiisifia na kuitetea sabato, Hivyo yafaa na sisi tufuate njia hio
Moja ya changamoto ya Wasabato ni kutokusoma Agano jipya! Wamekazana sana kusoma Agano la Kale, hasa vitabu vya Torati lakini si vitabu vya Agano Jipya hasa Nyaraka.23 Ikawa alipokuwa akipita mashambani siku ya sabato, wanafunzi wake walianza kuendelea njiani wakivunja masuke.
24 Mafarisayo wakamwambia, Tazama, mbona wanafanya lisilokuwa halali siku ya sabato?
25 Akawaambia, Hamkusoma popote alivyofanya Daudi, alipokuwa ana haja, na kuona njaa, yeye na wenziwe?
26 Jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, zamani za kuhani mkuu Abiathari, akaila mikate ile ya Wonyesho, ambayo si halali kuliwa ila na makuhani, akawapa na wenziwe?
27 Akawaambia, Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato.
28 Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia.