Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

mwafrica anajua kushabikia ngono muziki na mpira halafu unataka uoe mwarabu shwain kwanza nenda kajifunze ustaarabu wa kushi sio kukojoa kwenye chupa na kutupa barabarani
 
haya ndio maisha ya mwafrica[emoji115]mwarabu hana upuuzi huo
 
wapemba ni wabaguzi sana wanajiona kama waarabu.
 
waarabu koko mna shida sana.
 
na hao sio waarabu per se.Hao ni waarabu koko
 
Km hupend kubaguliwa achana na pisi zao,komaa na wabantu wenzako
 
na hao sio waarabu per se.Hao ni waarabu koko
Unathibitisha na kujivunia Ubaguzi wako.

Kwa waarabu hakuna ukoko wala Matandu, ndio maana nikasema kwenye Comment nyengine mwarabu ni mwarabu, ndio race pekee ambayo utakuta watu weupe na blonde hair na green/blue eyes wanaitwa waarabu, halafu ukakuta mwengine mweusi na macho meusi na kipilipili naye pia mwarabu. Wapalestina ni Waarabu na wasudan pia waarabu.
 
Reactions: Tui
Unadhihirisha ujinga wako.Kwa hiyo Tanesco wanapokuuzia umeme wanakusaidia?Taja mfadhili wacha kuzungukazunguka.Au uwezo wako wa kufikiri ndio umefikia hapo?
Umesema msaada wowote toka Tanganyika kwenda Zanzibar, mbona unakataa manen o yako? Unajua katika huo ujenzi wa hio miundombinu Tanganyika waliisaidia Zanzibar kiasi gani? Licha ya kuwa umeme ni wenu lakini mlisaidiwa fungu, hapo Pemba mlisaidiwa 4 million USD na Tanganyika unataka kubisha, Zanzibar wakatoa 8 million USD, Norway wakatoa nakumbuka kama zaidi ya 40 million USD, mnataka nini zaidi msaidiwe?
 
Tanganyika ndio Nchi gani?Wanatoa msaada?Unachekesha!Umeme unalipiwa kama sehemu zingine zote za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hakuna sehemu wanapewa msaada.Sijui wewe unaishi kwenye Utopia .Tulikuwa tunajadili wafadhili wa mpira umejivika kigagulo cha msaada wa Tanesco.Zanzibar wana shirika lake la umeme na kununua umeme sio jambo la ajabu.
 
Umesema msaada wowote rudia comment usikimbie, kama mnalipia ujenzi wa hio miundo mbinu hamjapewa msaada?
 
Hivi unajua tafsiri ya msaada?Tuanzie hapo au shule ndio tatizo?Yaani umekuwa donor country unatoa misaada ya maendeleo?Give me a break.Budget tunasaidiwa utoe msaada?
 
Kumbe hujui maana ya elimu ni nini? Sasa wewe mwenyewe PhD una mabasi mangapi?
Kujua kusoma na kuandika si elimu pekee, elimu ni pana, arabs wana ufinyu wa elimu, kubagua mtu kisa rangi au kumtesa na kuua ni ukosefu wa elimu pia, kama unazungumzia elimu ya mabasi na biashara wanavyo.
 
Adithi zako za mzee Karume kenge na essopo usituletee apa jamvini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…