Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

Hawana lolote.
Kinacho takiwa duniani ni makaratasi mekundu tu yenye thamani,ndio maana bungeni kuna msukuma darasa la saba lakini anamiliki hayo makaratasi kuliko tulia ambae ni sipika msomi mwanasheria
 
Unathibitisha na kujivunia Ubaguzi wako.

Kwa waarabu hakuna ukoko wala Matandu, ndio maana nikasema kwenye Comment nyengine mwarabu ni mwarabu, ndio race pekee ambayo utakuta watu weupe na blonde hair na green/blue eyes wanaitwa waarabu, halafu ukakuta mwengine mweusi na macho meusi na kipilipili naye pia mwarabu. Wapalestina ni Waarabu na wasudan pia waarabu.
sasa mwarabu koko wa tanga,o tabora unataka kumfananisha na saudia,ndo maana wanawabagua mpaka kwenye misikiti yao.
 
Kabisa.
Kwanza Hadi tuzo za Nobel za kiteknolojia hata ukitumia microscope unaweza usiwaone.
Wayahudi ndo magenius wa dunia hii , ukizaa na Myahudi aisee mtoto wako lazima awe kipanga, mfano Obama na ndugu zake wa kambo.
Waarabu mi hawanitishi kwa chochote.
Yahudi ni kizazi cha iburahinu pamoja na waarabu,yahudi mungu kawapa akili nyingi lakini waarabu wakapewa jangwa lenye mafuta na gesi ya kutisha,je sisi ngozi nyeusi tunao wabeza waarabu tunamiliki nini kama sio roho mbaya tu,mzungu anatumikishwa na muarabu lakini mzungu hawezi mtumikisha muarabu labda kwa sasa baada ya machafuko ya vita
 
Utaweza kuoa na kumlea binti wa kiarabu wewe

Ova
 
Wewe unachuki ya inayo sukumwa na umasikini tu ukweli ulivio kazi ya elimu ni kuelimika tu kama waarabu waliweza kutoka huko waliko toka waka hapa tz wakawakuta bubu zetu hawajui hata nguo nini utasemaje hawana elimu wewe mwenye elimu lini ulienda kwao kuwatawala

Leo hapa tz ndio walipa kodi wewe na elimu yako inakusudia nini kama huna hata kazi ya kufanya kazi kuwa sifia wazungu nimsifie mwenyewe nyiyi ndio mnao sema wafugaji wanao miliki makundi ya mifugo ya thamani ya mamilioni hawa elimu hali yakuwa wewe hata kuku huna alie kuzidi kakuzidi tu wewe ni fukara tu ndio sifa yako ushahidi chuki ulionayo
Mwarabu elimu finyu mbona mnakasirika kusema kweli?

Tofautisha ukweli na chuki, arabs ni jamii ipo nyuma kielimu.
 
Hizi ni myth zenu Mnazodanganyana. Tofauti ya Mweusi, Mwarabu, mchina, Mzungu ni rangi tu. Mbona mke wangu hajawahi kuwa wa baridi toka nimemuoa?
Sikulazimishi ukubali ila huo ndio ukweli na hata wapemba ni ivoivo mtoto wa baba mkunbwa na mdogo kuoana ninkawaida
 
Kinacho takiwa duniani ni makaratasi mekundu tu yenye thamani,ndio maana bungeni kuna msukuma darasa la saba lakini anamiliki hayo makaratasi kuliko tulia ambae ni sipika msomi mwanasheria
Bila elimu hamna kitu, ndio maana Saudia tech na silaha wananunua Israel na US, na pesa zao lakini Jews wanawamudu. Elimu.
 
Si unaona hata match ya Yanga juzi hapa ni fujo, kupiga baruti uwanjani, kurusha mipira na kupuliza moshi, hio ni dalili ya kukosa akili halafu wanajifanya special, ndio maana mzungu anawapiga sana Middle East akili zikae sawa[emoji1787]
Wewe hapo ulipo waarabu unawazidi nini?unacho wazidi ni kuwasifia wazungu tu hiyo sababu ya ufukara
 
Ajabu hata hiyo Yanga unayoitaja inafadhiliwa ma mwaarabu baada ya ngozi nyeusi kushindwa kuiendesha.Hata Rais ni msomali anawatukana mnachekelea. Si mlimbeba kwenye machela kama watumwa halafu mkibaguliwa mnalia.Toeni boriti kwenye macho yenu kabla ya kuona kibanzi kwenye macho ya wengine.You get what you deserve.
Yaani sisi watu weusi tuna vituko yaani hatujitambui sababu nini haswa?
 
Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida.

Shida inakuja kwa waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslahi aidha uwe na cheo kikubwa serikalini ama uwe na pesa nyingi sana.

Na hapa navomaanisha waafrika ni hadi wazanzibari ambao hufanana na wasomali, hali ni hivyo hivyo tu, japo wao hupenda kujiweka kundi moja na waarabu ila waarabu huwaona ni zao la watumwa
Tabia ya wazenji kujikuta waarabu na Bado wanakataliwa😃
 
Watu weusi wa dini ya waarabu wanapenda na kufurahi sana kuwa watumwa wa waarabu, vyoyote itakavyokuwa
Kwa akili hizi lazima kila siku tulie kubaguliwa tu yaani hatujitambui kabisa,unataka umuoe muarabu hili hiweje?upate nini,nenda kamuoe halima mdee mweusi mwenzio niko hapa nasubiri kuona harusi hiyo uone utakavio anbulia za uso
 
Yahudi ni kizazi cha iburahinu pamoja na waarabu,yahudi mungu kawapa akili nyingi lakini waarabu wakapewa jangwa lenye mafuta na gesi ya kutisha,je sisi ngozi nyeusi tunao wabeza waarabu tunamiliki nini kama sio roho mbaya tu,mzungu anatumikishwa na muarabu lakini mzungu hawezi mtumikisha muarabu labda kwa sasa baada ya machafuko ya vita
Kwenye mistari ya mwisho nakusahihisha, mzungu hajawahi tumikishwa na muarabu, muarabu ndo anatumikishwa indirectly na wazungu.
Angalia bei za mafuta ziko kwenye mfumo Gani ndo utajua uwezo wa kiakili ya mzungu. Kila oz inalipwa kwa dollars na sio Kwa pesa ya kiarabu.
Pili teknolojia ya muarabu ikiwemo uchimbaji wa mafuta na utunzwaji wake kwenye maghala yametokea kwa wazungu, fatilia.
Hata sasa muarabu(Saudia ) anamtegemea mzungu(mrusi) katika vita vyake vya kujiondoa na utumwa wa mamboleo ya Marekani.
Nani anamtawala mwenzie Sasa?
Angalia pale Syria bila mkono wa Urusi Bashar Al Assad angekuwa maiti, na anamtegemea Urusi katika utawala wake, je utasema ya kuwa mrusi anatawaliwa na muarabu?
Muarabu anaweza mtawala mtu mweusi ila kamwe hawezi mtawala mzungu, yeye anafanya uwekezaji tu. Pale Manchester City tu angalia board of directors alaf niambie kama utakuta waarabu wengi, ndo utajua mzungu mmoja ana akili kuliko waarabu 1000.
 
Wakija kuendesha bandari mlizo wauzia utawauliza wakujibu wenyewe.

Hakikisha una saini petition hii kupinga uporaji wa bandari zetu.
mwarabu atakachokileta hapa ni kubong'onyoa tigo za wadada na vijana wetu tu. I tell you. waulize wazenji, mombasa na Lamu.. kule wanaume wamezidi kupungua.
 
Wewe hapo ulipo waarabu unawazidi nini?unacho wazidi ni kuwasifia wazungu tu hiyo sababu ya ufukara
Tulia we mwarabu koko..
Mmebakiza akili ya kula mirungi, kula tende na kuzaa watoto utitiri, kazi kuoana ndio maana mnakosa akili, hivi kwa nini huwa mnakaa nyumba moja ukoo mzima?
 
Bila elimu hamna kitu, ndio maana Saudia tech na silaha wananunua Israel na US, na pesa zao lakini Jews wanawamudu. Elimu.
Elimu kwako ni Tech tu? kuna Scientist wa kiarabu wamegundua vitu kibao hadi hapo Saudi wamejaa kibao.

Na Mpaka Kesho USA hawataki kumuita mwarabu awe mwarabu lazima Mwarabu aandikishwe Mzungu(White) kuna waarabu weusi wa Sudani wanaforce kabisa kuwasajili as white, kwanini?

Jibu moja ili kuwapata vilaza kama nyie muendelee kuamini kila kitu nitakupa Mfano tu wa Waarabu ambao Wamefanya makubwa bara la America.

1. Steve Jobs mwarabu wa syria na Muanzilishi wa Apple

2.Carlos Slim Tajiri Mkuu Mexico na Tajiri mkubwa wa Dunia aliempiku Bill Gate miaka ya 2013/14

3. Safra Family Hawa Jamaa ni katika Bankers wakubwa mabara hayo, Member mmoja wa Familia ndio Tajiri Mkubwa Brazil

4.Carlos Menem Raisi Wa Argentina etc

Kampuni kubwa kubwa Duniani ni za waarabu, ama wana hisa zao, wanamiliki kampuni kibao huko west, ukiangalia Utajiri wa Dunia pato la mmoja mmoja Nchi za Kiarabu zipo juu, lakini kwa Watu kama nyie eti hawa hawana lolote ni wavaa makubazi.
 
Back
Top Bottom