Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

Huyo nae ni mpuuzi kwani lazima uoe Mpemba? Wanawake wako wengi sana
Hata kwao Tabora kuna warabu, kama alipenda warabu angesema kwa wazee wa tabora. Warabu wapo wa kariba zote ukitaka na dhamira kama unayo unampata.
Now day sivutiwi kabisa na watu weupe weupe wazungu warabu wachina kama siku za nyuma, namshangaa mtu anaewashobokea.
I just consider them as human sioni cha tofauti.
 
Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida.

Shida inakuja kwa waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslahi aidha uwe na cheo kikubwa serikalini ama uwe na pesa nyingi sana.

Na hapa navomaanisha waafrika ni hadi wazanzibari ambao hufanana na wasomali, hali ni hivyo hivyo tu, japo wao hupenda kujiweka kundi moja na waarabu ila waarabu huwaona ni zao la watumwa

bado hamjasema

Wale waafrica wanaofyekwa sudan na waarabu nao n waislam pure kama hao waislam

Dini ya mud chuki n ubaguzi ndo mzizi mkuu
 
Kama haujawah tembea unaweza kuona waarabu ni watu wabaya na wanaoishi kwa masharti magumu, waarabu wapo simple tu wanakula mpaka madawa ya kulevya ,bangi mirungi kama mbuzi, wapo wakristo wapo waislamu , wanawake wao wapo simple sana tena wanatupenda sana sisi ngozi nyeusi mpaka kaka zao wanapanic .
Nionyeshe wabongo 3 waliooa waarabu then nikuonyeshe wamasai kumi waliioa wazungu,mwarabu hana upendo na mweusi
 
Kuna ndoa kibao za Weusi na waarabu, tatizo mila zetu na zenu ni tofauti. Kwetu ndoa sio matangazo ya TV kila mtu ajue.

Juzi tu Alpha Blond kaoa Mwarabu.

View attachment 2656004
Mkuu alpha blond sio maskini...... Kwa haraka haraka hapa jiji kama la dar kukuta mweusi kaoa mwarabu ni ngumu sana hata kama hakuna matangazo ila hata mtaani tunaona mweusi kuweka ndani mzungu ni kitu ya kawaida skuhizi ila mwarabu kuwekwa ndani dah sina hata mfano mmoja wa kutolea.

Waarabu wanawaona waafrika ni manyani ya kutumwa tu ndio maana wanawashangaa hata dini yao mliipokeaje na mnaishulazia shingo kiasi hiki.

📍Kwenye picha naona weusi wengi huyo dada hana ndugu au ndio wamemausa alipokubali kuolewa?
 
Soma comment zilizoendelea swali lako mwenzako nilishamjibu hapo ni Ivory coast, niliweka na picha za Tunisia ambapo unaona picha za ndugu wa mke.

Pia waarabu hawafuati wanaume dar kama Hicho ndio kigezo chako, ila Nchi hii Kuna watu kibao wameoa waarabu mnajitoa tu ufahamu, una kisiwa kizima ambacho kimeform sababu ya inter Marriage, una viongozi kibao kina Al Hassan Mwinyi, Gharib bilal, Karume, Mtoto wa Mwinyi, Kuna wabunge etc.

Issue ni kwamba hakuna mwarabu anayetoa Binti yake kirahisi, Kila mtu anataka kuozesha mwanae kwenye Familia nzuri. Hata wewe ungekua na uwezo ungetaka mwanao awe familia nzuri masaki kuliko achezewe azalishwe aachwe Tandale.
 
Hahaha sawa ila masaki sio pazuri mkuu
 
Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida.

Shida inakuja kwa waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslahi aidha uwe na cheo kikubwa serikalini ama uwe na pesa nyingi sana.

Na hapa navomaanisha waafrika ni hadi wazanzibari ambao hufanana na wasomali, hali ni hivyo hivyo tu, japo wao hupenda kujiweka kundi moja na waarabu ila waarabu huwaona ni zao la watumwa
Watu wengi wenye ngozi nyeusi, uso mpana, pua pana na nywele ngumu ilimradi ni Waislam wanajiona ni Waarabu kisa wanajua kiarabu [emoji1787]

Wanajipendekeza mpaka aibu kwa watu wanaowanyea ndugu zao midomoni

Mfano mzuri ni FaizaFoxy
 
Soma comment zilizoendelea swali lako mwenzako nilishamjibu hapo ni Ivory coast, niliweka na picha za Tunisia ambapo unaona picha za ndugu wa mke.

Pia waarabu hawafuati wanaume dar kama Hicho ndio kigezo chako, ila Nchi hii Kuna watu kibao wameoa waarabu mnajitoa tu ufahamu, una kisiwa kizima ambacho kimeform sababu ya inter Marriage, una viongozi kibao kina Al Hassan Mwinyi, Gharib bilal, Karume, Mtoto wa Mwinyi, Kuna wabunge etc.

Issue ni kwamba hakuna mwarabu anayetoa Binti yake kirahisi, Kila mtu anataka kuozesha mwanae kwenye Familia nzuri. Hata wewe ungekua na uwezo ungetaka mwanao awe familia nzuri masaki kuliko achezewe azalishwe aachwe Tandale.
Hapo kutotaka watoto wao waolewe na watu wa kawaida au Masikini ndio UNAFIKI NA UBAGUZI WENYEWE

Dini ya Kiislam inaagiza hivyo? Mwanamke si anapaswa kumkubali Mume kwa Dini yake?

Kwanini wazazi wao waruhusu binti zao kuolewa na Matajiri tu? Sio Ubaguzi?

Jibu kinagaubaga Sheikh
 
Kwani waarabu wote ni religious na wanafuata Dini? Kuna Familia ambazo zinaangalia Utajiri, Kuna Familia zinaangalia Connection, Kuna Familia zinaangalia Dini etc.

Bilali Philips preacher wa Jamaica namfahamu mke wake mwarabu mtanzania, Alioa hapa hapa. Kapewa sababu ya Dini.

So usiforce Kila kitu kiende kama unavyotaka wewe.
 
Hakuna aliyeforce, niforce mimi ni nani?

Ila Waarabu wengi ni religious, almost wote na ndio maana nchi zao karibu zote zinaendeshwa kidini LAKINI ni Wabaguzi kwasababu wanaenda kinyume na maagizo ya Deen ya hakhi
 
Hizo fikra zako tu na uoga wa ujinga wa kufikiri.
 
Naona watu watu hawaelewi Uarabu ni nini na Waarabu ni nani.

Kama Uarabu ni rangi, si siku hizi kuna mkorogo?

Kama Uarabu ni nyewele, siku hizi si zinabandikwa za kila aina? Pesa zako tu.

Kama Uarabu ni tamaduni, na wasiyo Waarabu si wana tamaduni zao?

Tatizo nini kama Mwarabu hataki kukupa binti yake kwa rangi yako?

Huyu Mzee Mwinyi ana wake wawili, na wote wana asili ya Kiarabu, kulikoni?
 
Back
Top Bottom