Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Hata kwao Tabora kuna warabu, kama alipenda warabu angesema kwa wazee wa tabora. Warabu wapo wa kariba zote ukitaka na dhamira kama unayo unampata.Huyo nae ni mpuuzi kwani lazima uoe Mpemba? Wanawake wako wengi sana
Now day sivutiwi kabisa na watu weupe weupe wazungu warabu wachina kama siku za nyuma, namshangaa mtu anaewashobokea.
I just consider them as human sioni cha tofauti.