sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
-
- #321
ni mbegu ya kibaguzi hiiKm nakumbuka vzr wazazi wetu walikua wanaona nakuolewa na kabila/familia wanayoijua kua.
-haina magonjwa ya kifamilia
-uzazi wao nisalama hakuna upotokaji wa kimaadili
-nikabila moja au ni family members
-tamaduni zao zipo sawa
Haya sisi tumeacha lkn wenzetu nimuhimu sn ilikutopoteza kizazi chao nakuepusha gomvi ktk familia
Sisi wenyewe ndiyo tunajidharau kwanza, timu zetu bila kutumia kocha mzungu tunajiona hatuwezi. JPM alituamsha kwamba tunaweza. Tabia zetu ni tofauti na wengine. Wenzetu wanawekeza sana kwenye tafiti na zinafanyika ki kweli. Sasa uje siye ipe taasisi pesa za utafiti, itaishia kwenye mifuko ya watu, kwa nini tusibaguliwe.
Ugonjwa wa malaria mpaka leo unatushinda. Wakati huo huo ukimpa hii nchi au bara zima mzungu haipiti miaka miwili malaria kwisha. Siyo kwamba hatuwezi ila tabia ya kuchopoa/ kuiba pesa za tafiti ndiyo ugonjwa wetu. Kwa nini tusibaguliwe?
Miradi mingi inatushinda kuiendesha au kuifanya kwa sababu ya uroho wa pesa binafsi na wizi. Kwa nini tusibaguliwe?
Unafunga pump ya maji kwa ajili ya wanakijiji ili wapate maji, inaibiwa na hao hao. Kwa nini tusibaguliwe?
Serikali inatoa dawa za bure kwa hospitali zetu, zinaibwa na hao hao watoaji. Kwa nini tusibaguliwe?
Mwizi wa mali ya umma anaonekana mjanja mbele za jamii, na jamii inamuona wa maana. Kwa nini tusibaguliwe?
TUJITHAMINI WENYEWE, TUJIPENDE WENYEWE, KURITHIKA NA KILE UPATACHO, TUPUNGUZE UBINAFSI ILI NA SISI TUONEKANE BINADAMU TULIOSTAARABIKA NA WENYE AKILI ZA KUZALIWA MBELE ZA BINADAMU WENGINE.
tatizo ymekuwa brainwashed kudhani waarabu wote ni matajiri hadi umeanza kuwaweka class moja na hao uliowatajaMtoa mada unaweza kwenda kuoa kwa kikwete, Magufuli, mkapa Mengi, bo
Ilionea msuya, Dangote nk kirahisi rahisi tu. Kisa wewe mbongo mwenzao?
Mie mama yangu ni masikini ila alimkatalia kijana wa kikulya kuoa binti yake hivi hivi. Yaani jamaa alinibembeleza yule eti nikamuombee kwa wazazi, wapi!
SEMBUSE MWARABU !
Sikiliza kijana, mimi nna rangi mchanganyiko kama ilivyo kwa watu wengi sana wenye asili ya pwani.@FaizaFoxy bahati mbaya hukuzaliwa mwarabu, ungekuwa mbaguzi hatari. Umekuwa ukiuishi kwa kuunakili tu.
Ungejua hata hili neno 'ustaarabu' asili yake ni ubaguzi usingejinadi nalo huku. Hivi hujui mababu zako ndiyo waliokuwa wakitukanwa na waarabu kuwa hawajastaarabika 'being not culturally arabized'.
Pengine ungejifunza kutofautisha kati ya kuwa 'being arabized' na 'being civilized'
AlhamduliLlah Hawajawa na nyege mshindo, mibinti iliyopata waume wa maana mapema tu.Unaweza ukashangaa pamoja na vigezo vyote hivyo ulivyovitaja aka your vetting lakini bado masela wakapita na mabinti zenu.
Sikiliza kijana, mimi nna rangi mchanganyiko kama ilivyo kwa watu wengi sana wenye asili ya pwani.
Tena kama kuchaguwa kati ya mstaarabu na asiye mstaarabu ni ubaguzi basi mimi ni mbaguzi sana.
Kumbuka sikubaguwi kwa rangi bali kwa akhlaq zako. Uwe hata mzungu au baniani lakini kama una govi na unaenda chooni bila kutumia maji, hata mkono kukupa naona shida.
Halafu tuulizane kipindipindi kinatokea wapi? Ni kwa kula mavi tu. Wewe ushinde na mavi makalioni kutwa nzima, umeyapangusapangusa, uwashwe makalio utajikuna na nini? Si umeshayashika hayo halafu uje uniwachie mimi kwa kunipa mkono wako? Aaarghhh, sikuozi kwetu kabisa.
Ynalikuta jitu lina pua pana kuliko tarumbeta bezi ya police band halafu limekaa na wewe kutwa linajichokonyoa pua kwa vidole, ytena uje kunipa mimi mkono au nikuoze kwetu? Sahau na utaniita mbaguzi sana.
Tanzania hii kuna makabila mpaka leo hayaoi makabila mengine au koo hii haiowi koo ile, kwanini?
Leo wamekutibuaJitu uzuri halina, jitu mali halina, jitu nasaba halina, jitu dini halina liwe jike au dume, uliozeshe tu, kwa lipi zaidi?
Ili mpeleke uswahili kwenye family za watu,we endelea na pigo za miso misondo.Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida.
Shida inakuja kwa waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslahi aidha uwe na cheo kikubwa serikalini ama uwe na pesa nyingi sana.
Na hapa navomaanisha waafrika ni hadi wazanzibari ambao hufanana na wasomali, hali ni hivyo hivyo tu, japo wao hupenda kujiweka kundi moja na waarabu ila waarabu huwaona ni zao la watumwa
Asante sana bibi wa JF kwa kufungua hii code. Nilikuwa nasubiri tu ushahidiMmmoja namfahamu kabisa ni Mwarabu na asili yake ni Oman na kabla lake ni Al Kindy. Na mwengine ni shombe la Kirabu kama ilivyo 90% ya Wazanzibari.
Wa kizimkazi hujaona hata mama Samia alipokwenda Oman alikwenda kumtembelea mjomba'ke private visit ingawa alikuwa huko Kiserikali?
Anayeikataa asili yake siyo jasiri.
Unakila sabau ya kuwa Muislam kijana, au ni mbarikiwa? Maana Mkristo wa kweli ni Muislam.Alisikika mmoja akisema..
Hayo ndio mafundisho ya Mtume¤
Mwenye akili ndio mwenye kuzingati...
Hata wazee wa kubarikiwa wa tec wanavaa kanzu na vibandiko.Kwani uliambiwa Kila mwarabu ni Muislam,sio Kila avaae kanzu na kilemba ni Muislam aliyeshika dini anayefanya hivyo ni matakwa yake sio Imani inamuelekeza hivyo
Mimi mwenyewe mwarabu wa Oman haya nifundishe makabila yangu yapoje na nisichokijua.Inaonekana hata makabila ya kiarabu huyajui vizuri na ukitamka kauli hii hata waarabu wenyewe watakucheka. Ila usichokijua pia ni kuwa hata waarabu wenyewe huwa wanabaguliwa na wazungu.
Ubaguzi ni jambo la asili na siku zote aliye dhaifu hubaguliwa.
Nini hiki ..?... Maana Mkristo wa kweli ni Muislam.
Mwenyezi Mungu akusanehe.. Mkristo awezi kuwa Muislam mpaka aifuate haki.. (Aijue kalmat)Unakila sabau ya kuwa Muislam kijana, au ni mbarikiwa? Maana Mkristo wa kweli ni Muislam.
Waisilamu walivyoenda Spain walisambaza civilization kwa kiasi kikubwaAnyway, umeeleza kwa papara nyingi sana. Simple fact ni kuwa, you are brainwashed.
Nani aliyekuambia aliyeleta utaratibu wa kutawaza na maji ni waarabu? Hivi kati ya uislam na uyahudi ni ipi dini kongwe? Au kati ya ubudha na uislam ni ipi dini kongwe? Ni kipi kilichovumbuliwa na uislam? Unajua kuwa wajapan siyo waislam lakini wanatawazia maji toka hata kabla ya kuwepo imani yako duniani? Unajua kuwa hata hivi vyoo tunavyotumia hakuna hata kimoja kinachoitwa Arabian toilets? Ni aidha Indian or European, why? Unajua kuwa kama siyo teknolojia za wazungu kuwasaidia kuchuja maji ya bahari waarabu mpaka leo wangekuwa wanaenda kutawazia visimani au baharini?
Unajua kwa nini nilikuambia utofautishe kati ya 'being arabized' na 'being civilized'? Hili nalo umeshindwa?
Kusema kweli waislam siwaelewi kabisaaa,yani huwa naona wanaunafiki sana kati yao,jinsi mwafrika anavyomchukulia mwarabu ni kinyume kabisa na mwarabu anavyomuona mwafrica hata wa dini mojabado hamjasema
Wale waafrica wanaofyekwa sudan na waarabu nao n waislam pure kama hao waislam
Dini ya mud chuki n ubaguzi ndo mzizi mkuu
Katika Uislam vigezo vya kumuoa Mwanamke ni vipi?Unachotakiwa uwe mstaarabu, cha kukariri ni Qur'an siyo hicho ulichoandika wewe, ukija umekariri hicho ulichoandika wewe hatukupi mke wala mume.
Kila tamaduni ina mila zake na vigezo vyake vya ndoa.
Waislam iwe Myemeni, Mndengereko au Mchina tuna vigezo vyetu vya ndoa vya Kiislam kwanza.
Wale wasiofata Uislam nao wana vigezo vyao.