Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

WAARABU NI WASHENZI
Jerome "choookooor" upo?!!!

Jamaa wanakuulizia kule....

Umekuwa mlokole siku hizi....ungekuwa huna udini dhidi ya waislam ningekuunga mkono kuwa wako waarabu washenzi kama ulivyo wewe mshenzi.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe siyo Muislamu.
 
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Umeongea fact upewe maua
 
watu wenye damu nyeupee!
 
Japo kuna mahali umeweka masikhara ila umeongea kweli sana!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Wanaume bwana! Kwahiyo chuki yenu kwa Waarabu sababu yake ni kushindwa kuoa wanawake wa Kiarabu?

Mkikubaliwa kuwaoa chuki itaisha? Hamtajali tena mkikaliwa nao si ndio?

Vipaumbele vyenu vinatia shaka sana na mnatia aibu.
 
Duh!!!Hii Kali sana...😰😨😧😦😮😯😲
 
Unaongea kweli sana sema tu Leo nimekuwa mvivu wa kuandika ila natamani sana nijazie nyama

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka umpate muarabu kirahisi awe mjane au muarabu wa Pemba.
Point....

Wewe Sasa umenena.....na ukiwa nazo mbona "mserereko" kwa hao....[emoji1787][emoji1787]

Ni sawa na kutongoza demu wa chuo...aliye vyema kwao...mapokopoko manjari yote na ni mzuri ...mzee humpati hata akiwa ni mngoni....msubirie sasa afike beyond 30...hana ndoa ,hana mtoto....uone balaa lake kwa kushobokea masela wamuweke ndani....nendeni Triple 7 Kawe muone madada waliokuwa wanaringa 10 years back....leo wanashoboka tu kwa masela ambao "upstairs" kuko vizuri [emoji1787][emoji1787]

Nasemea wale masela "manunda" wenye elimu na "vijisenti" wasio na woga na desperation yoyote kwa yeyote na ni ALPHA MALES wanaoishi na "wewe" vile unavyowaface.....[emoji1787]

Binafsi nina Xprnc na hao waarabu...nishawahi kuwa na GF mwarabu kabisa...hakuwa mbaguzi na alinipenda kwa "usela smart na kichwa changu" kila mtu aliyesoma nami chuo kikuu aliujua uhusiano wetu wa miaka mingi....so ikitokea mtu anafanya generalization huwa namshambulia kama nyuki eti tu kwa kuwa yeye hakuwahi kuchakata mbususu zao....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#SayNoToRacism[emoji120]
#SayNoToBigotry


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini mnawaendekeza hivyo? Wachaneni! (katika maana zake zote tanzu!)
 
Kuna ndoa kibao za Weusi na waarabu, tatizo mila zetu na zenu ni tofauti. Kwetu ndoa sio matangazo ya TV kila mtu ajue.

Juzi tu Alpha Blond kaoa Mwarabu.
View attachment 2656004
Huyo alpha blond unamlinganisha na nan? Jamaa ana pesa pia ni maarufu kama huna pesa ya kutosha huwezi kuwapata huwa wanataka wakutumie na kamwe hawezi kuzaa na mtu mweusi wabaguzi mno hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…