Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,403
- 5,315
Wewe muislam wa wapi acha uzumbukuku wako,ccm na chadema tu hapo mitaa ya Lumumba na ufipa ni majirani lkn mnabaguana kiasi Cha Mungu kawalaani nyote. Halafu unataka mwarabu wa makka akupende wewe mwafrika wa Kwa msisiSipo kuichafua Dini yangu ila hawa Jamaa ni next level.... niliingiaga Msikiti wao kwa kweli nilipata tabu sana... kukaa Mstari mmoja na Mtu mweusi kwao hawataki na ukikaa nao utaona wanavyosegea na kuacha nafasi kubwa kati yao na wewe.... wakiingia Msikitini wote wewe ukija wakikuona kufunga Mlango si jambo la kushangaa