baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Hivi kuna Cheo kikubwa kwenye Nchi kushinda Kiongozi wa Nchi Raisi, Sultani, Emir etc?Leo hii nchi ya arabs anaweza tokea mtu mweusi kuwa miss, Morocco tu hio walikuwa wanaongea ubaguzi tu kombe la dunia, akili hamna ndio maana mzungu anawabonda huko middle East.
Kama kuna Maprince, Masultan na viongozi wengine wenye Asili yq Africa kwenye Hizo nchi kuna Cheo gani kinapita Hivyo.
Sheikh saad aliekua Amir wa Kuwait
Qaboos Sultan wa Oman aliefariki Karibuni