Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una elimu ipi ya kuwashinda Waarabu?Kuwekeza kwenye bandari sio kwamba wanakuja kutusaidia bali na wao wanataka kunufaika ndio maana wanajipendekeza kuweka picha ya SSH kwenye mnara pale Dubai, kwani wawekezaji ni wao pekee?
Hata arabs wamejazana sana Africa na wameajiriwa na kampuni za weusi, tena hao ndio wengi kuliko I dians, Chinese na wazungu, wamepanga huku mtaani tunaishi nao, ila mwafrika akienda kule wanampiga nyundo kichwani, kuwatesa nakuwaua, wanaona mtu mweusi ni mnyama, elimu hawana.
Tembea uone mbona kule kwetu Waswahili wamewaoa waarabu labda huko kwenu ndio mnakataliwa.Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida.
Shida inakuja kwa kina waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslaho aidha uwe na cheo kikubwa ama uwe na pesa nyingi sana.
Na hapa navomaanisha waafrika ni hadi wazanzibari ambao hufanana na wasomali, hali ni hivyo hivyo tu, japo wao hupenda kujiweka kundi moja na waarabu ila waarabu huwatolea nje.
tafuta ata mwarabu wa buza kwa zuena mkuu 🤣 🤣 🤣 🤣🤣Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida.
Shida inakuja kwa kina waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslaho aidha uwe na cheo kikubwa ama uwe na pesa nyingi sana.
Na hapa navomaanisha waafrika ni hadi wazanzibari ambao hufanana na wasomali, hali ni hivyo hivyo tu, japo wao hupenda kujiweka kundi moja na waarabu ila waarabu huwatolea nje.
Girlfriend wangu muhindi ana shape na kalio na nywele ndefu, sio muhindi wa kuchovya wazazi wote indians, kaka yangu mkewe Egyptian, siwezi kuwa mnyonge kihivyo we bibi kizee wala mi si mnyonge.Tena ni ubaguzi kweli kweli, kwanini wasichuje mchele na pumba?
Usione vinaelea vimeundwa, wewe kaoe wale waarabu wa kuununua Uarabu kwenye mikebe ya dawa za kujichubua na wa nywele za maiti.
Shida kuu niliyoona ni kutotangazwa kwa tenda na wawekezaji mbalimbali kushindanishwa. Tunashangaa from no where tunaletewa dp world.Hakika [emoji106]
Kuhusu DP World unawachukuliaje?!!!!! [emoji23]
#MamaAnaupigaMwingii[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hawana huo u special, tena hao wanawake wanakunywa pombe na kuvuta sigara kwa kujificha, ukiona na zile ninja utadhani ni saints kumbe🤣Kwa ubaguzi huu maouonesha kwa Waarabu mnataka wao wasiwabague?
Ukitaja kuoa Mwarabu kwanza ustaarabike.
Kwa ufupi race ya MTU mweusi inadhalauliwa na race zote,wazungu(Ulaya,UsA,),wa Asia(India,china nk),arab,Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida.
Shida inakuja kwa kina waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslaho aidha uwe na cheo kikubwa ama uwe na pesa nyingi sana.
Na hapa navomaanisha waafrika ni hadi wazanzibari ambao hufanana na wasomali, hali ni hivyo hivyo tu, japo wao hupenda kujiweka kundi moja na waarabu ila waarabu huwatolea nje.
Sasa hivi hiko chuo kikuu kimewasaidia nini? Imebaki historia, arabs zaidi ya kuvaa kanzu kibarazani kula pariki na tende na wanawake kukaangiza biryani mna kipi🤣Wewe una elimu ipi ya kuwashinda Waarabu?
Watu walioanzisha chuo kikuu cha kwanza duniani miaka zaidi ya 1000 nyuma unataka kushindana nao?
. Unanchekesha.
Seriously [emoji2955]!Sipo kuichafua Dini yangu ila hawa Jamaa ni next level.... niliingiaga Msikiti wao kwa kweli nilipata tabu sana... kukaa Mstari mmoja na Mtu mweusi kwao hawataki na ukikaa nao utaona wanavyosegea na kuacha nafasi kubwa kati yao na wewe.... wakiingia Msikitini wote wewe ukija wakikuona kufunga Mlango si jambo la kushangaa
Ooh hivi nani wanakujengea Bwawa la Umeme?Sasa hivi hiko chuo kikuu kimewasaidia nini? Imebaki historia, arabs zaidi ya kuvaa kanzu kibarazani kula pariki na tende na wanawake kukaangiza biryani mna kipi🤣
Wenye akili na elimu niambie wa Iran ambao sio arabs, elimu ya uwekezaji hujui lolote, kwani Musk ana elimu gani kuwa na shares kubwa kwenye spaceX na EVs za Tesla? Kina Jay Z kununua hisa Uber ana elimu gani? Kina Dre kuingia mikataba na kampuni za simu na products zake dre beats, kina Kanye West kuongia mikataba ya mabilioni na kampuni za viatu na nguo.. hao ni wahuni wa kitaa na hustlers.Wangekua hawana elimu wasingekuja kuwekeza kwenye bandari na mbuga zenu, ni aibu kwa mtu aayejiona ana elimu kutawaliwa na asiye na elimu tangu karne ya 9 huko hadi leo
Lazima huu ubaguzi urest in peace my class mate.Ubaguzi upo dunia nzima
Walichotuzidi arabs na lazima tukubali na kuappreciate ni uzalendo wa kusimamia rasilimali zao kwa manufaa ya wote. Sisi watu weusi ubinafsi ndio tatizo letu kuu namba 1. Siku tukiacha hili basi tutafika mbali na kuheshimika. Hakuna anayeheshimika bila kitu. Ama uwe na akili sana au uwe na maendeleo makubwa.Wenye akili na elimu niambie wa Iran ambao sio arabs, elimu ya uwekezaji hujui lolote, kwani Musk ana elimu gani kuwa na shares kubwa kwenye spaceX na EVs za Tesla? Kina Jay Z kununua hisa Uber ana elimu gani? Kina Dre kuingia mikataba na kampuni za simu na products zake dre beats, kina Kanye West kuongia mikataba ya mabilioni na kampuni za viatu na nguo.. hao ni wahuni wa kitaa na hustlers.
Acha uzwazwa elimu ya uwekezaji unaweza usiwe nayo na ukapata ushauri toka kwa wataalamu ukawaajiri wakasimamia biashara zako,
Kama akikubagua na wewe mbague tu nenda kaoe wasungu wasio na ubaguziKwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida.
Shida inakuja kwa kina waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslaho aidha uwe na cheo kikubwa ama uwe na pesa nyingi sana.
Na hapa navomaanisha waafrika ni hadi wazanzibari ambao hufanana na wasomali, hali ni hivyo hivyo tu, japo wao hupenda kujiweka kundi moja na waarabu ila waarabu huwatolea nje.
Ungejua viungo vinavyotoka Africa kwenda arabuni hapo sisemi vyakula kama matunda, mboga na nyama, we kaa kimya tu, arabs hawana uwezo kutulisha, sisi tuwalishe wao..Ooh hivi nani wanakujengea Bwawa la Umeme?
Kwa kukujuza tu wanaitwa Arab Contractors.
Hivi leo hii nani wanakulisha ngano swaafi kabisa Tanzania hii? Hata huko kijijini kwenu, madongo kuporomoka.
Ukipata jibu lifanye siri yako.