25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Kwani lazima uoe muarabu uoni aibu kuoa mtu ambaye kwanza amuendani kitabia mila nkila kuna kiwango chake sasa,
waarabu wamezidi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani lazima uoe muarabu uoni aibu kuoa mtu ambaye kwanza amuendani kitabia mila nkila kuna kiwango chake sasa,
waarabu wamezidi sana
Mtuo uzi unadhani kila muarabu ni muisilamuKuna ndoa kibao za Weusi na waarabu, tatizo mila zetu na zenu ni tofauti. Kwetu ndoa sio matangazo ya TV kila mtu ajue.
Juzi tu Alpha Blond kaoa Mwarabu.
View attachment 2656004
Shida ni Allah kutambua watu weusi kama watu wa motoniKama akikubagua na wewe mbague tu nenda kaoe wasungu wasio na ubaguzi
Heti wazungu wanawapenda watu weusi[emoji2957][emoji2957]Watu weusi ndio wachache zaidi ndan ya dunia hii,na ndio tabak maskini zaidi na
Ndio tabak lisilo aminika with
Low IQ and low understanding
Sasa Kwa nn usibaguliwe brother
Unafuata nini huko kweli ss ngozi nyeusi tuna vituko wewe mtu hakutaki wamtakia nn?pia tambua uarabu ni kabila utaifa kama tz vile uarabu sio uisilamu tatizo lako hata hiyo dini uijuiSipo kuichafua Dini yangu ila hawa Jamaa ni next level.... niliingiaga Msikiti wao kwa kweli nilipata tabu sana... kukaa Mstari mmoja na Mtu mweusi kwao hawataki na ukikaa nao utaona wanavyosegea na kuacha nafasi kubwa kati yao na wewe.... wakiingia Msikitini wote wewe ukija wakikuona kufunga Mlango si jambo la kushangaa
Dah hatari sanaWatu weusi ndio wachache zaidi ndan ya dunia hii,na ndio tabak maskini zaidi na
Ndio tabak lisilo aminika with
Low IQ and low understanding
Sasa Kwa nn usibaguliwe brother
Sababu pekee ni nasaba, waarabu hawataki kuharibu nasaba zao hasahasa kwa watoto wao wa kike.Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida.
Shida inakuja kwa kina waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslaho aidha uwe na cheo kikubwa ama uwe na pesa nyingi sana.
Na hapa navomaanisha waafrika ni hadi wazanzibari ambao hufanana na wasomali, hali ni hivyo hivyo tu, japo wao hupenda kujiweka kundi moja na waarabu ila waarabu huwatolea nje.
Mh! Wapi Huko NduguSipo kuichafua Dini yangu ila hawa Jamaa ni next level.... niliingiaga Msikiti wao kwa kweli nilipata tabu sana... kukaa Mstari mmoja na Mtu mweusi kwao hawataki na ukikaa nao utaona wanavyosegea na kuacha nafasi kubwa kati yao na wewe.... wakiingia Msikitini wote wewe ukija wakikuona kufunga Mlango si jambo la kushangaa
Kweli wewe kiazi bila elimu utamiliki mali?haya wewe ulie soma unawazidi nn?kazi kusifia wanaume wenzio,leo nchi nzima unaangaika kuzidiwa akili na watu wa Dubai waarabu kila kona kelele hilo bwawa la nyerere anajenga waarabu reli nayo wanajenga waarabu sijui elimu gani unayo isema walipa kodi wakubwa hapa tz niwao alie kuzidi kakuzidi tu mpe haki yake hacha chuki ya kimasikiniElimu hawana zaidi ya biashara ya mabasi, kula tende,mirungi na kuvaa kanzu lakini kichwani weupe, wazungu elimu ipo.
Ila unaoa tu kule kwaoIla ubaguzi wa Wa-Italy, Warusi, Germany na Waarabu ni next level.
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]akili nyingi sana weyeeeeUmasikini ni kama una sumaku, ni ngumu sana masikini kutajirika, atahitaji nguvu ya ziada kuvunja mzunguko wa umasiki katika familia.
Kwa hiyo nawaelewa wanaepuka shida za umasikini. Pia ukiwa masikini kila kitakachoongelewa au kufanyika; utaanza kujishtukia kama wanakusema au kubaguliwa.
Japo sikatai kuwa ubaguzi haupo
Na hii ndo kauli hutumika pale KhartoumUnajua watu wa chumbe wakisha vaa vile vilemba wanataka haki sawa na wenyeji wa mekka hilo haliwezi kutokea kamwe. Vijitu vya hapo mchamba wima hujiona ni waarabu kabisa wakati wenzao wanawaona ni zao la watumwa
Chukua juisi ya tende hapo msibazi kwa mpemba upande wa kushoto na na mishikaki naja lipaUnafuatilia nini ?!!!
Hivi ukijiamini unabaguliwaje ?!!
Unaanzaje kubaguliwa??!!!
Iwe na mwarabu ,mhindi ,mzungu ama mchina?!!!
Waafrika tu wako wabaguzi dhidi ya wenzao....kikabila ,rangi ,kipato....ssmbuse watu wenye rangi nyeupe?!!!
Dunia ya sasa ya SOKO HURIA na MAARIFA mapana...vilio vya kubaguliwa havina maana....
Unakuwa wapi mpaka mtu anakubagua?!!
Mfukoni mwake ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
Kwanini uwe mfukoni mwake ?!!
Why desperation?!!!
Umesema kuwa mwafrika hata awe muislam na kuwa (Qari) fundi wa kusoma Quran hawezi kuoa hao waarabu...right?!!!
Nisikilize....watu wengi hawana imani ya dini vile wanavyojionyesha ukubwa wa kuwa nayo....iwe hao waarabu ama wengineo....[emoji1787]
Sasa unataka mwarabu asiye na IMANI kubwa ya dini akupe binti yake kwa kuwa tu wewe "una sauti " kinanda ya kusoma Quran ?!!!
Hao waarabu wengi ni wafanyabiashara....akili zao ziko katika biashara na KUPATA FEDHA eti wakuhusudu wewe MRANGI ,MDIGO ,MUHA uliyehifadhi msahafu kwa kichwa na huna kitu wakupe BINTI YAO kwa kigezo hicho tu [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] labda zamani....sikatai..ziko familia chache ila wengi wakitaka KUZISIKIA HIZO SAUTI NZURI zikisoma QURAN(tajweed ,tartil na hukumu zake) wanawaita walimu wa madrassa wakitoa elfu 50...walimu hao wanakuja na vitoto vya madrassah na kuanza kusoma Quran tukufu ,ikifuatiwa na WASSILATU SHAFI ,Kitabu cha Maulid Barzanji ,wanapiga madufu na nari zake wakimaliza wanajipiga BIRIANI chuzi zitooo...nyumba ya mwarabu tena ,kitonga mseleleko....shughuli ikiisha wanawaaga mpaka siku nyingine...ustadh anakwenda kutamba kijiwe cha kahawa na Al Kasus....[emoji1787][emoji1787]
Ya nini mwarabu "afuge mkwe" wa kirangi ,kiha ,kisambaa ,kinyaturu ,kimeru kisa tu NI FUNDI WA KUSOMA QURAN?!!![emoji1787][emoji1787]
Dunia imebadilika....fedha fedha fedha si hao waarabu si wewe Mngoni.....[emoji1787]
#SiempreJMT[emoji7]
#MamaAnaupigaMwingi[emoji7]
#DP World ndio habari ya mjini [emoji7][emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Akili yako mingi sana kijana imenipa moyo wa kujiamini na kutokata tamaa kwenye utafutaji wangu saruti kwako [emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]Uko desperate unataka upendwe na kila aliyeko mbele yako ?!!!
Uwe na chako uingie mikataba kama hii ya DP WORLD...na si kulialia tu [emoji1787][emoji1787]
Hakuna mwenye kujiamini akabaguliwa....wanaanzaje?!!![emoji1787][emoji1787]
Mbona hao waarabu wakitaka kitu kwako HAWAKUBAGUI?!!![emoji1787][emoji1787]
Ni sawa tu na mswahili na mtanzania akitaka kitu kwako....atakuachia tabasamu na salamu nzuri tu....kinyume chake anaweza kukupita nje kwako bila ya salamu ilihali ni majirani hata miaka kisa tu wewe uko chini kikipato kuliko yeye....Binafsi NIMELIEXPERIENCE hilo mara kibao katika hurstling zangu tena kutoka kwa vijana wa umri wangu....ajabu siku anashoboka na salamu nyingi kumbe kuna kitu anahitaji....wabongo weusi tiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#MamaAnaugongaMwingi[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tayari mkuu....najichana tende shake ,mihogo ya kukaanga(msimu wake huu Dar) na mishikaki uliyoniambia....Chukua juisi ya tende hapo msibazi kwa mpemba upande wa kushoto na na mishikaki naja lipa
Usijipe moyo Allah kasema kakuumba mweusi ili akuchomeAkili yako mingi sana kijana imenipa moyo wa kujiamini
We pumbaf mi sio masikini shenzi, hilo bwawa wanajenga waturuki hao walishachanganya damu na wazungu wakatoa utaahira wa arabs kula tende na biryani elimu hawataki, Turkey ipo ulaya, halafu tumewaajiri hao sisi tunawalipa, ni shida zao zimewaleta baada ya tender kutangazwa, unajua sifa moja wapo ya kupitisha kampuni mfanye nayo kazi? Kaa hapo usubiri msaada wa kanzu, tende na kobazi🤣Kweli wewe kiazi bila elimu utamiliki mali?haya wewe ulie soma unawazidi nn?kazi kusifia wanaume wenzio,leo nchi nzima unaangaika kuzidiwa akili na watu wa Dubai waarabu kila kona kelele hilo bwawa la nyerere anajenga waarabu reli nayo wanajenga waarabu sijui elimu gani unayo isema walipa kodi wakubwa hapa tz niwao alie kuzidi kakuzidi tu mpe haki yake hacha chuki ya kimasikini