Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

Watu weusi ndio wachache zaidi ndan ya dunia hii,na ndio tabak maskini zaidi na
Ndio tabak lisilo aminika with
Low IQ and low understanding

Sasa Kwa nn usibaguliwe brother
Heti wazungu wanawapenda watu weusi[emoji2957][emoji2957]
 
Sipo kuichafua Dini yangu ila hawa Jamaa ni next level.... niliingiaga Msikiti wao kwa kweli nilipata tabu sana... kukaa Mstari mmoja na Mtu mweusi kwao hawataki na ukikaa nao utaona wanavyosegea na kuacha nafasi kubwa kati yao na wewe.... wakiingia Msikitini wote wewe ukija wakikuona kufunga Mlango si jambo la kushangaa
Unafuata nini huko kweli ss ngozi nyeusi tuna vituko wewe mtu hakutaki wamtakia nn?pia tambua uarabu ni kabila utaifa kama tz vile uarabu sio uisilamu tatizo lako hata hiyo dini uijui
 
Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida.

Shida inakuja kwa kina waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslaho aidha uwe na cheo kikubwa ama uwe na pesa nyingi sana.

Na hapa navomaanisha waafrika ni hadi wazanzibari ambao hufanana na wasomali, hali ni hivyo hivyo tu, japo wao hupenda kujiweka kundi moja na waarabu ila waarabu huwatolea nje.
Sababu pekee ni nasaba, waarabu hawataki kuharibu nasaba zao hasahasa kwa watoto wao wa kike.
Pili Waarabu hawataki kuoza Binti Yao kwa Waafrika wakiamini ni wamaskini wa fikra na hawana future economic plan. Mwafrika yeyote ambaye ana CV kubwa ya kutisha, hapa namaanisha mwenye elimu kubwa na anafanya kazi sehemu nyeti au ni mfanyabiashara mbobezi anayejulikana, hao pekee ndo waarabu wako radhi kumpa mtoto wao kwake.
Hii kitu ipo hadi Kwa Wahindu .
 
Sipo kuichafua Dini yangu ila hawa Jamaa ni next level.... niliingiaga Msikiti wao kwa kweli nilipata tabu sana... kukaa Mstari mmoja na Mtu mweusi kwao hawataki na ukikaa nao utaona wanavyosegea na kuacha nafasi kubwa kati yao na wewe.... wakiingia Msikitini wote wewe ukija wakikuona kufunga Mlango si jambo la kushangaa
Mh! Wapi Huko Ndugu
 
Elimu hawana zaidi ya biashara ya mabasi, kula tende,mirungi na kuvaa kanzu lakini kichwani weupe, wazungu elimu ipo.
Kweli wewe kiazi bila elimu utamiliki mali?haya wewe ulie soma unawazidi nn?kazi kusifia wanaume wenzio,leo nchi nzima unaangaika kuzidiwa akili na watu wa Dubai waarabu kila kona kelele hilo bwawa la nyerere anajenga waarabu reli nayo wanajenga waarabu sijui elimu gani unayo isema walipa kodi wakubwa hapa tz niwao alie kuzidi kakuzidi tu mpe haki yake hacha chuki ya kimasikini
 
Umasikini ni kama una sumaku, ni ngumu sana masikini kutajirika, atahitaji nguvu ya ziada kuvunja mzunguko wa umasiki katika familia.

Kwa hiyo nawaelewa wanaepuka shida za umasikini. Pia ukiwa masikini kila kitakachoongelewa au kufanyika; utaanza kujishtukia kama wanakusema au kubaguliwa.

Japo sikatai kuwa ubaguzi haupo
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]akili nyingi sana weyeeee
 
Unajua watu wa chumbe wakisha vaa vile vilemba wanataka haki sawa na wenyeji wa mekka hilo haliwezi kutokea kamwe. Vijitu vya hapo mchamba wima hujiona ni waarabu kabisa wakati wenzao wanawaona ni zao la watumwa
Na hii ndo kauli hutumika pale Khartoum
 
Unafuatilia nini ?!!!

Hivi ukijiamini unabaguliwaje ?!!

Unaanzaje kubaguliwa??!!!

Iwe na mwarabu ,mhindi ,mzungu ama mchina?!!!

Waafrika tu wako wabaguzi dhidi ya wenzao....kikabila ,rangi ,kipato....ssmbuse watu wenye rangi nyeupe?!!!

Dunia ya sasa ya SOKO HURIA na MAARIFA mapana...vilio vya kubaguliwa havina maana....

Unakuwa wapi mpaka mtu anakubagua?!!

Mfukoni mwake ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Kwanini uwe mfukoni mwake ?!!

Why desperation?!!!

Umesema kuwa mwafrika hata awe muislam na kuwa (Qari) fundi wa kusoma Quran hawezi kuoa hao waarabu...right?!!!

Nisikilize....watu wengi hawana imani ya dini vile wanavyojionyesha ukubwa wa kuwa nayo....iwe hao waarabu ama wengineo....[emoji1787]

Sasa unataka mwarabu asiye na IMANI kubwa ya dini akupe binti yake kwa kuwa tu wewe "una sauti " kinanda ya kusoma Quran ?!!!

Hao waarabu wengi ni wafanyabiashara....akili zao ziko katika biashara na KUPATA FEDHA eti wakuhusudu wewe MRANGI ,MDIGO ,MUHA uliyehifadhi msahafu kwa kichwa na huna kitu wakupe BINTI YAO kwa kigezo hicho tu [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] labda zamani....sikatai..ziko familia chache ila wengi wakitaka KUZISIKIA HIZO SAUTI NZURI zikisoma QURAN(tajweed ,tartil na hukumu zake) wanawaita walimu wa madrassa wakitoa elfu 50...walimu hao wanakuja na vitoto vya madrassah na kuanza kusoma Quran tukufu ,ikifuatiwa na WASSILATU SHAFI ,Kitabu cha Maulid Barzanji ,wanapiga madufu na nari zake wakimaliza wanajipiga BIRIANI chuzi zitooo...nyumba ya mwarabu tena ,kitonga mseleleko....shughuli ikiisha wanawaaga mpaka siku nyingine...ustadh anakwenda kutamba kijiwe cha kahawa na Al Kasus....[emoji1787][emoji1787]
Ya nini mwarabu "afuge mkwe" wa kirangi ,kiha ,kisambaa ,kinyaturu ,kimeru kisa tu NI FUNDI WA KUSOMA QURAN?!!![emoji1787][emoji1787]

Dunia imebadilika....fedha fedha fedha si hao waarabu si wewe Mngoni.....[emoji1787]

#SiempreJMT[emoji7]
#MamaAnaupigaMwingi[emoji7]

#DP World ndio habari ya mjini [emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Chukua juisi ya tende hapo msibazi kwa mpemba upande wa kushoto na na mishikaki naja lipa
 
Uko desperate unataka upendwe na kila aliyeko mbele yako ?!!!

Uwe na chako uingie mikataba kama hii ya DP WORLD...na si kulialia tu [emoji1787][emoji1787]

Hakuna mwenye kujiamini akabaguliwa....wanaanzaje?!!![emoji1787][emoji1787]

Mbona hao waarabu wakitaka kitu kwako HAWAKUBAGUI?!!![emoji1787][emoji1787]

Ni sawa tu na mswahili na mtanzania akitaka kitu kwako....atakuachia tabasamu na salamu nzuri tu....kinyume chake anaweza kukupita nje kwako bila ya salamu ilihali ni majirani hata miaka kisa tu wewe uko chini kikipato kuliko yeye....Binafsi NIMELIEXPERIENCE hilo mara kibao katika hurstling zangu tena kutoka kwa vijana wa umri wangu....ajabu siku anashoboka na salamu nyingi kumbe kuna kitu anahitaji....wabongo weusi tiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#MamaAnaugongaMwingi[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Akili yako mingi sana kijana imenipa moyo wa kujiamini na kutokata tamaa kwenye utafutaji wangu saruti kwako [emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Allah anadai kaumba watu weusi Kwa ajili ya kwenda motoni

Muhammad said: Allah created Adam when He had to create him and He struck his right shoulder and there emitted from it white offspring as if they were white ants. He struck his left shoulder and there emitted from it the black offspring as if they were charcoal. He then said (to those who had been emitted) from the right (shoulder): For Paradise and I do not mind. Then He said to those (who had been emitted) from his left shoulder: They are for Hell and I do not mind. Al-Tirmidhi Hadith - 38
 
Very simple way mtu akikubagua wewe usimbague mwonyeshe love usijari rangi yake ya mwili sisi wote ni wamoja!
 
Kweli wewe kiazi bila elimu utamiliki mali?haya wewe ulie soma unawazidi nn?kazi kusifia wanaume wenzio,leo nchi nzima unaangaika kuzidiwa akili na watu wa Dubai waarabu kila kona kelele hilo bwawa la nyerere anajenga waarabu reli nayo wanajenga waarabu sijui elimu gani unayo isema walipa kodi wakubwa hapa tz niwao alie kuzidi kakuzidi tu mpe haki yake hacha chuki ya kimasikini
We pumbaf mi sio masikini shenzi, hilo bwawa wanajenga waturuki hao walishachanganya damu na wazungu wakatoa utaahira wa arabs kula tende na biryani elimu hawataki, Turkey ipo ulaya, halafu tumewaajiri hao sisi tunawalipa, ni shida zao zimewaleta baada ya tender kutangazwa, unajua sifa moja wapo ya kupitisha kampuni mfanye nayo kazi? Kaa hapo usubiri msaada wa kanzu, tende na kobazi🤣
 
Back
Top Bottom