Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

Tatizo sisi weusi hujiona ni waarabu mradi TU tuwe waislamu!! Huwa nacheka Sana lafudhi za baadhi ya waislamu kujifanya mninza kiarabu
 
Waraabu wa jamiiana ndugu Kwa ndugu achana nao pia wamepoa Sana k zao baridiiii
Hizi ni myth zenu Mnazodanganyana. Tofauti ya Mweusi, Mwarabu, mchina, Mzungu ni rangi tu. Mbona mke wangu hajawahi kuwa wa baridi toka nimemuoa?
 
JUZI tumeona Yanga wakicheza na WAARABU.

WAMEKAA hila, uongo, udanganyifu nk

1 Kujiangisha uwanjani.
2. KUPOTEZA MUDA mwingi.
3. Kuingiza MIPIRA mingi.
4. Baruti.
5.mabomu.
6.Moshi.


WALE SIO BINADAMU WA KAWAIDA
 
walikumwagia uji wa tako


Nikweli, hata ushoga pia umehalalishwa kwenye uislamu??????

, allah wa kwenye quran alikuwa anamwingiza muhamnad !!!!!!

Qur an 17:81 inasema
"Mola wangu uniingize mwingizo mwema"

Huo ni mwingizo gani muhammad alikuwa anaomba kuingizwa?
 
Sio waarabu tu hata wewe mzaramo wa msanga akija mrundi kutaka kumuoa binti yako utamkatalia.

Ubaguzi upo kila sehemu, huwa mkali zaidi pindi unapokuwa masikini (hohehahe/majalala/huna kitu). Mwenye pesa hajui kitu kinaitwa ubaguzi.
 
Nilikwenda kuna nyumba kufata mzigo wangu wale wafanyakazi weusi hawakutaka kunifungulia mlango. Alikuja mtu nae akaingia ndani ya geti nami nikaingia pia wale wafanyakazi walikuwa wakiniangalia kama mwizi😂. Kutokea mwenyewe kuniona tu alikuja kunikumbatia na kupiga nae stori huyu Mama kama mzee wangu alikuwa.

Nilikwenda kutembea kwa jamaa zangu hawa wote ngozi za kiarabu, kuna sheikh aliambiwa na hawao jamaa zangu kama mimi ndugu yao walishangaa sana mpaka ilibidi wenyeji wafafanue udugu wetu ulivyo. Yaani udugu wa damu haswaaa.

Nilikwenda nchi za wazungu nilikutana na black mzaliwa wa hapo alinibagua kuliko wazungu. Weusi tuna ubaguzi sana kuliko hao tunao wasingizia

Una nyota ya kubaguliwa 🤣
 
A
Nikweli, hata ushoga pia umehalalishwa kwenye uislamu??????

, allah wa kwenye quran alikuwa anamwingiza muhamnad !!!!!!

Qur an 17:81 inasema
"Mola wangu uniingize mwingizo mwema"

Huo ni mwingizo gani muhammad alikuwa anaomba kuingizwa?
Acha kunukuu aya vipande vipande na kuweka tafsiri zako za kishetani. Hujasoma habari za watu wa Lut kwenye Quran na upi ulikuwa mwisho wao?

Hakuna mtu muovu hapa duniani kama yule anayemzula Mungu na aya zake uongo. Jihadhari sana kijana.

Ole wako! Ole wako! Ole wako!
 
Una nyota ya kubaguliwa 🤣
Mkuu hio nyumba ya mwanzo mwenyewe anaitwa Sultan nadhani ushaelewa hapo.

Hii ya pili huyu sheikh alikuja kufanya dua sasa vile nilivyokaribishwa na mabusu busu ya kaka na dada na makumbatio. Sheikh ilibidi aulize huyu nani😂

Hii ya tatu nilikwenda kwa ex wangu kumtembelea kwake sasa alikuwepo na auntie yake mweusi kuliko konde boy😁 lakini kusikia accent yangu tu akauliza unafanya nini nchi hii kwanini usirudi kwenu🤣 nikamwabia nipo shule wewe unafanya nini hapa blackie kusema hivyo alipandisha mzuka akataka kuzipiga🤣🤣
 
We pumbaf mi sio masikini shenzi, hilo bwawa wanajenga waturuki hao walishachanganya damu na wazungu wakatoa utaahira wa arabs kula tende na biryani elimu hawataki, Turkey ipo ulaya, halafu tumewaajiri hao sisi tunawalipa, ni shida zao zimewaleta baada ya tender kutangazwa, unajua sifa moja wapo ya kupitisha kampuni mfanye nayo kazi? Kaa hapo usubiri msaada wa kanzu, tende na kobazi[emoji1787]
Wewe unachuki ya inayo sukumwa na umasikini tu ukweli ulivio kazi ya elimu ni kuelimika tu kama waarabu waliweza kutoka huko waliko toka waka hapa tz wakawakuta bubu zetu hawajui hata nguo nini utasemaje hawana elimu wewe mwenye elimu lini ulienda kwao kuwatawala

Leo hapa tz ndio walipa kodi wewe na elimu yako inakusudia nini kama huna hata kazi ya kufanya kazi kuwa sifia wazungu nimsifie mwenyewe nyiyi ndio mnao sema wafugaji wanao miliki makundi ya mifugo ya thamani ya mamilioni hawa elimu hali yakuwa wewe hata kuku huna alie kuzidi kakuzidi tu wewe ni fukara tu ndio sifa yako ushahidi chuki ulionayo
 
Back
Top Bottom