kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Km hujui ni lini AGANO unaloamini liliandikwa basi unaabudu KIJINGAInaonyesha hujuwi hata uhusiano wa agano la kale na jipya,leta hoja za msingi zinazojibu maswali yanayomhusu Mungu au mambo ya kiroho,hiyo miaka ya hiki kiliandikwa lini Haina msaada wowote katika Imani ya mtu
UJINGA ni sifa mbaya km hutoufanyia kazi na huenda ukakupeleka jahanamu ya moto
Ukigundua kuwa AGANO JIPYA LILITOLEWA RASMI MIAKA 100 BAADA YA YESU KUONDOKA basi utaanza kuchambua kipi ni sahihi na kipi ni UONGO.
BILA HIVYO JIANDAE NA MOTO WA JAHANNAM.
Usije kusema hukuonywa.