Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

Inaonyesha hujuwi hata uhusiano wa agano la kale na jipya,leta hoja za msingi zinazojibu maswali yanayomhusu Mungu au mambo ya kiroho,hiyo miaka ya hiki kiliandikwa lini Haina msaada wowote katika Imani ya mtu
Km hujui ni lini AGANO unaloamini liliandikwa basi unaabudu KIJINGA
UJINGA ni sifa mbaya km hutoufanyia kazi na huenda ukakupeleka jahanamu ya moto

Ukigundua kuwa AGANO JIPYA LILITOLEWA RASMI MIAKA 100 BAADA YA YESU KUONDOKA basi utaanza kuchambua kipi ni sahihi na kipi ni UONGO.

BILA HIVYO JIANDAE NA MOTO WA JAHANNAM.

Usije kusema hukuonywa.
 
Hii inanikumbusha ile story ya sungura aliyeshindwa kuzifikia ndizi mgombani akaamua kusema "sizitaki mbichi hizi".
We komaa na hao kambare .
Halua bei yake Ghali sana
Bei ghali wakati tunalamba tuarabu koko twa kigamboni na kko hao washukuru shabu zinawaokoa bila hivyo.... Wamepooza kama mchuzi wa broila,, hao labda wa kuzalisha tu upate vitoto vya kupost fb
 
Maswali unayouliza hayana kichwa Wala miguu,ujumbe wa Biblia na hiyo miaka vina mahusiano gani?

Msikilize huyu mzee anakuelewesha kuhusu biblia

Bei ghali wakati tunalamba tuarabu koko twa kigamboni na kko hao washukuru shabu zinawaokoa bila hivyo.... Wamepooza kama mchuzi wa broila,, hao labda wa kuzalisha tu upate vitoto vya kupost fb

Yani wewe unaonyesha una chuki sana na waarabu, sijui walikufanya nini! Kuwa mwanaume bwana unatuaibisha
 
Yani wewe unaonyesha una chuki sana na waarabu, sijui walikufanya nini! Kuwa mwanaume bwana unatuaibisha
hamna chuki ni mambo yapo wazi,,,,,,,,,,,,,,kwani nasema uongo,,,,,,,,,shida umejileta na pride ya kibwege sahivi unaanza mengine
 
Mshenzi CAPO DELGADO asiemjua babake.
We kukosa malezi ya baba isiwe sababu ya kutukana watu ovyo.
Nimeishi na waarabu wengi tu waungwana na waafrika wenzangu waovu kupita maelezo. Mmoja wao Nyerere.
Kataa nikupe za uso.
Paka shume.
Mim nasoma huu uzi nipo Arabun hawa jamaa wana upendo sijawah kuonaa na wakikupend wanakupend hasaa , kuna kitu watu hawajui kuhus waarab, kam ni ubaguz bas ata watanzania wenyew ni wabaguz kwasabab mfano wapo watu mpak leo hawao wala kuozesha makabila mengne, ila wakifany waarab basi wabaguz achane ulumbukeni hata kweny kabila zenu wapo wabaguz nd utaskia hatutak kuskia unaoa kabila ingne huo si ubaguz?
 
Ubaguzi ni hulka
Na kila jamii ina ubaguzi
Mwarabu wa saudia anambagua Al burush yaani mwarabu wa Iran
Mwarabu wa dubai au UAE anamuona mwarabu wa Africa sio muarabu ni muafrica
Waburush sio waarab na hata hawaongei kiarab
 
Wewe hujawahi
hahaha ndo maana nakwambia mtatambia ambao hawajawai,,,.....mie hadi kuzalisha nimezalisha iliposhindikana ni kwenye kubadili dini tu tena mtoto wa comoro,,,,......halafu ni waarabu koko wa huku kwetu bongo tu ndo wenye majivuno....ukienda kwa bwana azari wapo kibao kikubwa muwe dini moja tu hawana maswala ya ubaguzi wa rangi kama waarabu koko wa huku
 
Ila katika jamii isiyo na ubaguzi kwa kuoa waafrica ni Arabs... Hapo nazungumzia upande wa wanaume. Ndio maana kuna machotara wengi zaidi wa kiarab na sio kihindi wa kizungu.
 
Mim nasoma huu uzi nipo Arabun hawa jamaa wana upendo sijawah kuonaa na wakikupend wanakupend hasaa , kuna kitu watu hawajui kuhus waarab, kam ni ubaguz bas ata watanzania wenyew ni wabaguz kwasabab mfano wapo watu mpak leo hawao wala kuozesha makabila mengne, ila wakifany waarab basi wabaguz achane ulumbukeni hata kweny kabila zenu wapo wabaguz nd utaskia hatutak kuskia unaoa kabila ingne huo si ubaguz?
Waafrika wengi wabaguzi sana tena sana.
Tena ubaguzi wao ni mbaya kuliko hata hao waarabu.

Ki dunia sababu kubwa inayompa mtu kiburi ni uwezo wake kifedha au elimu yake au Cheo chake. Lkn Africa mtu maskini, elimu ya maana hana, na wala cheo cha maana hana lkn Kiburi alichonacho anamzidi Firauni.
Utakuta mtu anafanya kazi serikalini kazi ya kawaida tu lkn Ana jeuri kuliko waziri.
Utaskia Anatoa kauli za ubaguzi ukimtazama sura ka jiko.
Kibri ni dhambi mbaya sana na Wengi watatupwa Jahannam kwa kibri.

Juu ya yote Hakuna nchi Duniani ukakosa wenye Ubaguzi wa Rangi, Utaifa au Dini.
Hii ni tabia mbaya illiopo popote na itaendelea kuwepo mpk siku ya malipo.

Mungu atulinde na tabia hii mbaya na Dhambi hii ya kuangamiza.
 
@FaizaFoxy bahati mbaya hukuzaliwa mwarabu, ungekuwa mbaguzi hatari. Umekuwa ukiuishi kwa kuunakili tu.

Ungejua hata hili neno 'ustaarabu' asili yake ni ubaguzi usingejinadi nalo huku. Hivi hujui mababu zako ndiyo waliokuwa wakitukanwa na waarabu kuwa hawajastaarabika 'being not culturally arabized'.

Pengine ungejifunza kutofautisha kati ya kuwa 'being arabized' na 'being civilized'
Hapa umeandika utumbo.
Hakuna taifa duniani lenye wabaguzi wote 100%. Tazama Rwanda. Wahutu waliwachinja watutsi sababu ya kabila zao. Hao ni waarabu?
Tazama Kenya wanavyochinjana kwa ukabila ! Hao pia ni waarabu?
Tazama Congo na Uganda na South Africa. Kuna waarabu huko?

Kingine usichojua ni kuwa moja ya Sheria kali Arabuni ni Racism. Ukikamatwa na ushahidi umemkashifu mtu sababu ya Rangi yake au taifa lake au Dini yake unakwenda Jela.
Hapa Tz wahindi na waarabu wanatukanwa na Askari waziwazi kwa sababu ya Rangi zao na hakuna mtu amewahi fikishwa mahakamani.
Afadhali tunaweza kusema waarabu wenye tabia hii ya ubaguzi wanafanya hivyo sababu ni matajiri.
Haya hawa waswahili wenzetu panga pakavu wana sababu ipi inayowapa kiburi cha ubaguzi?
wazungu kila kitu kibaya wakakiita Black.
Black Magic
Blackmail.
Black list. And so on.

Yote hio ni ubaguzi.
 
Bei ghali wakati tunalamba tuarabu koko twa kigamboni na kko hao washukuru shabu zinawaokoa bila hivyo.... Wamepooza kama mchuzi wa broila,, hao labda wa kuzalisha tu upate vitoto vya kupost fb
Hao sio waarabu 🤣
We umepata mashkuna la vingunguti limepaka mkorogo ukadhani mwarabu.
Hakuna mwarabu wa asili akazini mitaani . Ukitaka kutongoza hakikisha hujalewa ndio utajua kuwa ulikuwa unaliwa pesa na machangudoa wa kihutu.
🤣🤣
 
Kwani bongo kuna waarabu,,,,,,,,,,,,uarabu wenu unaishiaga hapa tu mkitoka kwenda kwa wenzenu huko na nyie mnatengwa.....teeeh unavowaongelea kama kitu fulani cha ajabu,,,na nani kakwambia nimeokota mtaani,,,,mengine hatuwezi sema tutachoresha watu bure tu ....ila kikubwa wazuri kuzaa nao watoto wa kupost insta ila nyuchi bado palepale zimepooza
 
hahaha ndo maana nakwambia mtatambia ambao hawajawai,,,.....mie hadi kuzalisha nimezalisha iliposhindikana ni kwenye kubadili dini tu tena mtoto wa comoro,,,,......halafu ni waarabu koko wa huku kwetu bongo tu ndo wenye majivuno....ukienda kwa bwana azari wapo kibao kikubwa muwe dini moja tu hawana maswala ya ubaguzi wa rangi kama waarabu koko wa huku
Comoros hakuna waarabu.
Hao ni watu ya wagunya.
Tatizo lako elimu.
Jiongeze kidogo usijisifu kumbe huna lolote unalojua.

Kesho utalala na zeruzeru udai umepata mzungu.
Pombe hasa hizi za buku jero zinaathiri sana uwezo wa kufikiri. Achana nazo
 
Mim nasoma huu uzi nipo Arabun hawa jamaa wana upendo sijawah kuonaa na wakikupend wanakupend hasaa , kuna kitu watu hawajui kuhus waarab, kam ni ubaguz bas ata watanzania wenyew ni wabaguz kwasabab mfano wapo watu mpak leo hawao wala kuozesha makabila mengne, ila wakifany waarab basi wabaguz achane ulumbukeni hata kweny kabila zenu wapo wabaguz nd utaskia hatutak kuskia unaoa kabila ingne huo si ubaguz?

Chuki zimewajaa vifuani mwao, hata timu za mpira wanapokutana timu za kaskazini na ukanda wa watu weusi mfano Senegal n.k, ndio utajionea kuna waafrika wanaonyesha ubaguzi wa wazi kabisa kwa waarabu. Ni ulimbukeni
 
Back
Top Bottom