Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
kwani hata bongo kuna waarabu???? wengi masalia tu ya waliozaliana na watumwa ,,,,mwarabu uwe bongo na yule wa dubai atasemaje,,.......wote walewale tu ndo maana huko uarabuni wanawaona kama vijakazi fulani tu mnaojikomba kwaoComoros hakuna waarabu.
Hao ni watu ya wagunya.
Tatizo lako elimu.
Jiongeze kidogo usijisifu kumbe huna lolote unalojua.
Kesho utalala na zeruzeru udai umepata mzungu.
Pombe hasa hizi za buku jero zinaathiri sana uwezo wa kufikiri. Achana nazo