Ni kwanini Chadema huwachukia na kuwabagua wa Zanzibar?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?

Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.

But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
angalau chadema hata walijaribu kuwa na some muslims kwa mf. Mwalimu na wengineo hata yule aliyeuliwa Kibao nafikiri alikuwa muslim pia lkn vp je khs cuf ? ilikuwa na Christians? na enzi zao cuf was big, na only muslims voted for cuf, mbona hilo hamlioni? ...
 
Hii boss leo umezingua fanya siasa safi..

.. ...Tanzania moja kwa kila mtanzania .....
Gentleman,
kwamba kuwatukana na kuwabagua wazanzibari kwa jinsia zao, nafasi zao serikalni kwa maneno na vitendo vya wazi wazi kabisa ndio siasa safi, right?

unafiki unajoaribu kujitakasa nao jukwaani kuhusu ubaguzi wa chadema dhidi ya wazanzibari ni useless sana gentleman 🐒
 
Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?

Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.

But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wewe ni mbwa wa ajib by Samiah
 
Gentleman,
kwamba kuwatukana na kuwabagua wazanzibari kwa jinsia zao, nafasi zao serikalni kwa maneno na vitendo vya wazi wazi kabisa ndio siasa safi, right?

unafiki unajoaribu kujitakasa nao jukwaani kuhusu ubaguzi wa chadema dhidi ya wazanzibari ni useless sana gentleman 🐒
We jamaa ni fala sana
 
Utakuja kusema chadema inawachukia wanachadema
Gentleman,
prove me wrong ikiwa chadema haiwachukii wala haibagui wazanzibari publicly.

elezea jukwaani,
ikiwa kuna mzanzibari au muisilamu yeyote yule kwenye uongozi wa juu chadema, achilia mbali kwenye makundi maalumu 🐒
 
Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?

Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.

But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mpenda rushwa, jizi la mali za umma naona unashindana sana na watu wasiopenda rushwa. Ngoja tuone kama wizi utashinda, endelea kupambana
 
angalau chadema hata walijaribu kuwa na some muslims kwa mf. Mwalimu na wengineo hata yule aliyeuliwa Kibao nafikiri alikuwa muslim pia lkn vp je khs cuf ? ilikuwa na Christians? na enzi zao cuf was big, na only muslims voted for cuf, mbona hilo hamlioni? ...
But chadema publicly wameshakua wakionyesha kwa maneno na maandishi ubaguzi wa wazi wazi kabisa hususani dhidi ya viongozi wa kitaifa na wa ngazi mbalimbali serikalni, hii ikimaamisha chadema inawachukia wazanzibari.

Sasa natamani kujua ni kwanini?

hata kamati kuu,
hakuna mzanzibari wala muisilamu 🐒
 
Gentleman,
kwamba kuwatukana na kuwabagua wazanzibari kwa jinsia zao, nafasi zao serikalni kwa maneno na vitendo vya wazi wazi kabisa ndio siasa safi, right?

unafiki unajoaribu kujitakasa nao jukwaani kuhusu ubaguzi wa chadema dhidi ya wazanzibari ni useless sana gentleman 🐒
Ungesema wanzabar na sio Muslim cos Zanzibar kuna mixer yaani kuna Christian na Muslim people.....
......🤝....
 
Hata huko Zanzibar wanachukiana na kubaguana , jaribu kupitia hapa hawa walikuwa CCM. Tunaweza kupata jibu la swali lako tukiweka vyama pembeni

Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?

Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.

But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wewe ndio umeona hilo baada yakufanya tafiti kwa kina hivyo tumia mbinu hyohyo utuletee majibu ni kwannn imekuwa hivyo.
 
Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?

Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.

But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Kwanini Wazanzibar bila aibu wanatuita sisi machogo? Na wanakataa tusiende Zanzibar? Mpaka viongozi wakubwa kabisa serikalini?

Wakati wao washindia urojo na boflo.....
 
Back
Top Bottom