Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #121
Akili ishaanza kuwa sawa, ila umenifundisha kuwa mimi kama mkristo chama changu Chadema na ccm no cha utekaji nashkuru sana kwa hilo.
Kwani mawazo hukua na akilini gentleman?
kwamba katika ukristo wako umetekwa na mapepo ya ubaguzi na chuki binafsi dhidi wasio wa Kristo wa dhehebu lako right?
umepata kipaimara kweli wewe?
mbona unaachia magoli mengi mepesi sana ya kipepo unafungwa?🐒