Ni kwanini Chadema huwachukia na kuwabagua wa Zanzibar?

ndio maana nashauri porojo kama hizo ukiziandikia uzi mahususi jukwaani itapendeza zaidi kuliko kujaribu kuhamisha mjadala uliopo mezani :pulpTRAVOLTA:
Ndo maana nami natahadharisha kuanika viongozi wa CHADEMA kwa watekaji na wabambika kesi.
 
Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?

Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.

But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Siyo CHADEMA, ni sisi Watanganyika
 
Una nia ovu ndani yako wewe ni mgombanishi unatamani iwe na unalazimisha ionekane hivyo wakati si kweli.
 
Mpaka sasa lazima Watanzania karibu wote tuwe tumeshakuwa na ufahamu wa kutosha sana juu ya mbinu zinazotumiwa na CCM kuhakikisha kamwe hatuwezi kuungana na kuwa na sauti moja kudai mabadiliko..CCM wanatumia hii njia ya kutugawa na uongo kutengeneza migawanyiko ambayo lengo lake kuhakikisha hakuna collective action,wamefanikiwa kuwagawa Wakristo,Waislamu,Watanganyika na Wazanzibari kwa Kutengeza Vikundi fake vya Wakatoliki,Waislamu fake,vyama vya Siasa fake,Wanachama fake wa vyama vya Siasa,Wanaharakati fake ili tu kutaka tusiaminiane na tuvurugane,tukatae hizi mbinu..Chadema jengeni misingi imara ili hizi mbinu kamwe zisifanikiwe…Karata zao ni zile zile lengo ni kuhakikisha hatuna collective action kudai mabadiliko…
 
si kweli kivipi ndugu mdau wa JF,
hali ya kua chadame kupitia viongozi wake wakuu achilia mbali kuonyesha ubaguzi wa wazi wazi kabisa dhidi ya viongozi wa serikali ya Tanzania waliotokea upande wa Zanzibar, lakini pia wamekua wakitoa lugha za matusi na kuwadhalilisha viongozi wa chama na serikali ya Tanzania kutoka zanzibari kwa maneno na vitendo lakini pia kwa picha na katuni za kidhalilishaji na upotoshaji.

ni muhimu kuacha utakatifu wa kinafiki na kujifanya hamuoni ubaguzi huo wa wazi kabisa wa chadema dhidi ya wazanzibari, lakini pia na chuki za wazi kabisa dhidi ya waisilamu kote nchini.

na ili kuficha unafiki wako hapa jukwaani,
unaweza kuwatajia wadau wa JF, kiongozi moja tu wa kamati kuu ya chadema taifa ambae ni muisilamu au alietoka Zanzibar, ukiachilia mbali wale wa makundi maalumu? :pulpTRAVOLTA:
 
Mpaka sasa lazima Watanzania karibu wote tuwe tumeshakuwa na ufahamu wa kutosha sana juu ya mbinu zinazotumiwa na CCM kuhakikisha kamwe hatuwezi kuungana na kuwa na sauti moja kudai mabadiliko..CCM wanatumia hii njia ya kutugawa na uongo kutengeneza migawanyiko ambayo lengo lake kuhakikisha hakuna collective action,wamefanikiwa kuwagawa Wakristo,Waislamu,Watanganyika na Wazanzibari kwa Kutengeza Vikundi fake vya Wakatoliki,Waislamu fake,vyama vya Siasa fake,Wanachama fake wa vyama vya Siasa,Wanaharakati fake ili tu kutaka tusiaminiane na tuvurugane,tukatae hizi mbinu..Chadema jengeni misingi imara ili hizi mbinu kamwe zisifanikiwe…Karata zao ni zile zile lengo ni kuhakikisha hatuna collective action kudai mabadiliko…
nadhani hiyo porojo yako haihusianai na hoja mahususi mezani gentleman, right?:pulpTRAVOLTA:
 
Yes gentleman,,
lazima tutofautiane kwasababu wewe na chama chako ni wabaguzi dhi ya wazanzibari,
na mmejawa na chuki binafsi dhidi ya waisilamu kitu ambacho ni tofauti na mimi ambae nawapenda waTanzania wote kwa ujumla kama kaka na dada zangu, mama na baba zangu n.k mimi sina.

tutafananaje sasa hapo kwa mfano gentelman :pulpTRAVOLTA:
Chama changu unakijua ? Au ndiyo maana mnauwa watu kwa kudhania tu.
 
Siyo CHADEMA, ni sisi Watanganyika
kwamba,
chadema ndio imewadanganya sio gentleman na kwamba kuwabagua wazanzibari na kuwachukia waisilamu kwamba hiyo ndio agenda ya kuliunganisha taifa? :pedroP:
 
nadhani hiyo porojo yako haihusianai na hoja mahususi mezani gentleman, right?:pulpTRAVOLTA:
Unacheza karata ya Udini ili Kutengeza utengano,hii si Mara ya kwanza hii karata CCM mnaitumia,hata timu ya Samia inaitumia sana hii kadi ili kukwepa kuwajibishwa.Kadi hii si mara ya kwanza kutumiwa na ndio maana nasema Chadema na Watanzania wote lazima mpaka Sasa wawe wameshapata ufahamu juu ya hizi mbinu..Chadema lazima wajenge misingi imara itakayokuwa resilienti na hizi mbinu,taasisi imara iliyokemgwa kwenye misingi imara haiwezi kudondoshwa na hizi mbinu hasa kwa sababu zinarudiwarudiwa..
 
Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?

Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.

But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wazanzibari kwenye Muungano ni kama kupe... Wana kila kitu cha kwao alafu bado wanahitaji vyote vya Tanganyika.
 
Chama changu unakijua ? Au ndiyo maana mnauwa watu kwa kudhania tu.
calm down gentleman,
na uache porojo useless jukwaani,

ni muhimu sana ujikite kwenye hoja mahususi mezani bila upotoshaji na itapendeza zaidi:pulpTRAVOLTA:
 
Wazanzibari kwenye Muungano ni kama kupe... Wana kila kitu cha kwao alafu bado wanahitaji vyote vya Tanganyika.
afadhali mwanachadema halisi umejitokeza kukiri ukweli dhidi ya tabia hiyo mbaya ya ubaguzi kwa wazanzibari na waisilamu kwa ujumla ndani na nje ya chadema.

well done :KasugaYeah:
 
H
calm down gentleman,
na uache porojo useless jukwaani,

ni muhimu sana ujikite kwenye hoja mahususi mezani bila upotoshaji na itapendeza zaidi:pulpTRAVOLTA:
Hoja mfu, ndiyo nijikite.

Unahamasishwa na uchawa kisiasa.
 
Unacheza karata ya Udini ili Kutengeza utengano,hii si Mara ya kwanza hii karata CCM mnaitumia,hata timu ya Samia inaitumia sana hii kadi ili kukwepa kuwajibishwa.Kadi hii si mara ya kwanza kutumiwa na ndio maana nasema Chadema na Watanzania wote lazima mpaka Sasa wawe wameshapata ufahamu juu ya hizi mbinu..Chadema lazima wajenge misingi imara itakayokuwa resilienti na hizi mbinu,taasisi imara iliyokemgwa kwenye misingi imara haiwezi kudondoshwa na hizi mbinu hasa kwa sababu zinarudiwarudiwa..
hii sio karata gentleman,
huu ni ukweli mtupu na waTanzania wote wanajua kwamba chadema inawabagua wazanzibari, inawadhalilisha kwa maneno na matendo, inawadhalilisha kwa picha, katuni na video, lakini pia inawachukia hadharani kabisa waisilamu wote na ndio maana hawataki kabisa pawepo na muisilamu yeyote ndani ya uongozi wa chadema taifa.

so gentleman,
hakuna haja ya kuleta porojo uselkess jukwaani, eti ukadhani unaweza kudhoofisha ukweli huu mtupu mbele ya waTanzania wote:pulpTRAVOLTA:
 
afadhali mwanachadema halisi umejitokeza kukiri ukweli dhidi ya tabia hiyo mbaya ya ubaguzi kwa wazanzibari na waisilamu kwa ujumla ndani na nje ya chadema.

well done :KasugaYeah:
Zanzibar haichukiwi na yeyote ila wanatunyonya na huo ndiyo ukweli na unajua ila unajitoa ufahamu.

Sisi tulio CCM kindakindaki hatutaki makupe wanyonyaji.
 
hii sio karata gentleman,
huu ni ukweli mtupu na waTanzania wote wanajua kwamba chadema inawabagua wazanzibari, inawadhalilisha kwa maneno na matendo, inawadhalilisha kwa picha, katuni na video, lakini pia inawachukia hadharani kabisa waisilamu wote na ndio maana hawataki kabisa pawepo na muisilamu yeyote ndani ya uongozi wa chadema taifa.

so gentleman,
hakuna haja ya kuleta porojo uselkess jukwaani, eti ukadhani unaweza kudhoofisha ukweli huu mtupu mbele ya waTanzania wote:pulpTRAVOLTA:
Kete ya udini umekwama.
 
H

Hoja mfu, ndiyo nijikite.

Unahamasishwa na uchawa kisiasa.
ikiwa ni hivyo gentleman
huna haja ya kumbwelambwela basi jukwaani,
na itapendeza zaidi ukikaa kimya tu maana uko pointless sasaa:pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom