Ni kwanini Chadema huwachukia na kuwabagua wa Zanzibar?

Ni kwanini Chadema huwachukia na kuwabagua wa Zanzibar?

Zanzibar haichukiwi na yeyote ila wanatunyonya na huo ndiyo ukweli na unajua ila unajitoa ufahamu.

Sisi tulio CCM kindakindaki hatutaki makupe wanyonyaji.
ila waziwazi inatengwa na inabaguliwa na chadema,
na viongozi wa kike na kiume kutoka zanzibar Tanzania wanadhalilishwa kwa maneno na vitendo, picha na video mitandaoni kwa makusudi kabisa na chadema, right?:pulpTRAVOLTA:
 
Hatuwezi kuwahudumia watu milioni 60, walioajiliwa kwenye mahoteli yetu wengi sio wazanzibar
 
afadhali mwanachadema halisi umejitokeza kukiri ukweli dhidi ya tabia hiyo mbaya ya ubaguzi kwa wazanzibari na waisilamu kwa ujumla ndani na nje ya chadema.

well done :KasugaYeah:
Wazanzibari wanawabagua WaTanganyika kwenye kila kitu... Ila ujinga wa ccm umewafunika WaTanganyika wengi akili
 
hii sio karata gentleman,
huu ni ukweli mtupu na waTanzania wote wanajua kwamba chadema inawabagua wazanzibari, inawadhalilisha kwa maneno na matendo, inawadhalilisha kwa picha, katuni na video, lakini pia inawachukia hadharani kabisa waisilamu wote na ndio maana hawataki kabisa pawepo na muisilamu yeyote ndani ya uongozi wa chadema taifa.

so gentleman,
hakuna haja ya kuleta porojo uselkess jukwaani, eti ukadhani unaweza kudhoofisha ukweli huu mtupu mbele ya waTanzania wote:pulpTRAVOLTA:
Hiyo karata yenu ya Udini haiwezi fanikiwa,Watanzania wanafahamu fika hii michezo yenu,Chadema na Watanzania karibu wote wanataka mabadiliko,reforms kwenye kero za Muungano,Kero za Muungano ni tatizo la Mfumo na Si Wazanzibari walą Watanganyika,CCM imeishiwa mbinu imebaki kutumia kero za Muungano kukeresha watu na kutushonganisha,Wazanzibari toka kitambo wamekuwa wanapiga kelele juu ya Muungano,Sasa Tanganyika nao wameamka,Tunaungana kudai reforms ..Hakuna mtu anachukia Wazanzibari walą Watanganyika,Watu wanachukia kero za Muungano,CCM imeshanusa harufu ya Chadema na jitihada zao za kutuunganisha ndio maana ikakimbilia kufanya maridhiano na ACT Zanzibar,ile siku ya maridhiano yenu kule Zanzibar speech ile ilikuwa ni kuhakikisha kuwa Watanganyika na Wazanzibari kamwe hatuungani kutafuta suluhisho za kero za Muungano,Speech ilikuwa ni kuleta kero tu,eti Wabaki na Nnchi yao Sisi huku tunaendelea na Nchi yetu,hizi statement zinawekwa kwa makusudi kutaka Watanganyika na Wazanzibari wabaki tukanana wakati hamfanyi reforms,Watanzania wanafahamu Sasa hivi,
 
Wazanzibari wanataka Zanzibar Hutu na Watanganyika wanataka Tanganyika huru,hakuna karata ya Udini,au mbwebwe za kutumia kero za Muungano kutugawa,sana sana mnazidi kuelimishana Watanzania juu ya mfumo mbovu wa Muungano wetu..Hatutaki kupoteza muda kugombana wenyewe kwa wenyewe,tunataka mabadiliko
 
si kweli kivipi ndugu mdau wa JF,
hali ya kua chadame kupitia viongozi wake wakuu achilia mbali kuonyesha ubaguzi wa wazi wazi kabisa dhidi ya viongozi wa serikali ya Tanzania waliotokea upande wa Zanzibar, lakini pia wamekua wakitoa lugha za matusi na kuwadhalilisha viongozi wa chama na serikali ya Tanzania kutoka zanzibari kwa maneno na vitendo lakini pia kwa picha na katuni za kidhalilishaji na upotoshaji.

ni muhimu kuacha utakatifu wa kinafiki na kujifanya hamuoni ubaguzi huo wa wazi kabisa wa chadema dhidi ya wazanzibari, lakini pia na chuki za wazi kabisa dhidi ya waisilamu kote nchini.

na ili kuficha unafiki wako hapa jukwaani,
unaweza kuwatajia wadau wa JF, kiongozi moja tu wa kamati kuu ya chadema taifa ambae ni muisilamu au alietoka Zanzibar, ukiachilia mbali wale wa makundi maalumu? :pulpTRAVOLTA:
Ukisema ubaguzi dhidi ya Waislamu unamaanisha Chadema ni cha Wakristo?.
 
Ukisema ubaguzi dhidi ya Waislamu unamaanisha Chadema ni cha Wakristo?.
Gentleman,
hebu chunguza kidogo tu hata kwenye safu ya uongozi wao tu kitaifa, achilia mbali mapadre na maaskofu wenye kadi za chadema na wanatamani mpaka pawepo ofisi za chadema kwenye nyumba zao za ibada! 🐒
 
Hakuna mapadri na maaskofu walio na kadi za CCM ? Au nikutajie.
 
Hakuna mapadri na maaskofu walio na kadi za CCM ? Au nikutajie.
hebu andikia uzi mahususi jukwaani tupate maoni mseto ya wadau wa Jf na itapendeza zaidi gentleman, right?🐒
 
Wazanzibari wanataka Zanzibar Hutu na Watanganyika wanataka Tanganyika huru,hakuna karata ya Udini,au mbwebwe za kutumia kero za Muungano kutugawa,sana sana mnazidi kuelimishana Watanzania juu ya mfumo mbovu wa Muungano wetu..Hatutaki kupoteza muda kugombana wenyewe kwa wenyewe,tunataka mabadiliko
kulikoni hakuna kiongozi wa chadema hata moja anae kubalika Bara na Visiwani gentleman? hakuna haja ya kuzunguka sana 🐒
 
Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?

Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.

But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kawaulize wenyewe
 
Kwasababu wao hawataki kubinafsisha bandari yao kwa DP world ili mapato yaongezeke kwenye nchi yetu ya Tanzania.
 
hii sio karata gentleman,
huu ni ukweli mtupu na waTanzania wote wanajua kwamba chadema inawabagua wazanzibari, inawadhalilisha kwa maneno na matendo, inawadhalilisha kwa picha, katuni na video, lakini pia inawachukia hadharani kabisa waisilamu wote
Gentleman,
hebu chunguza kidogo tu hata kwenye safu ya uongozi wao tu kitaifa, achilia mbali mapadre na maaskofu wenye kadi za chadema na wanatamani mpaka pawepo ofisi za chadema kwenye nyumba zao za ibada! 🐒
Kama Chadema ni Wakristo Ccm ni Waislamu ni bora nibaki Chadema kuliko chama cha wezi na watekaji.
 
Kutugawa huko hamjengi bali mnabomoa, nanyi hamtabaki salama hata kidogo.

.
 
Kama Chadema ni Wakristo Ccm ni Waislamu ni bora nibaki Chadema kuliko chama cha wezi na watekaji.
gentleman,
mimi sifahamu ikiwa chadema ni ya hao ulowataja,

but
natumai hoja mahususi mezani unajieleza vizuri sana 🐒
 
gentleman,
mimi sifahamu ikiwa chadema ni ya hao ulowataja,

but
natumai hoja mahususi mezani unajieleza vizuri sana 🐒
Akili ishaanza kuwa sawa, ila umenifundisha kuwa mimi kama mkristo chama changu Chadema na ccm ni chama cha ufisadi, utekaji, na uuaji nashkuru sana kwa hilo.
 
Back
Top Bottom