Ni kwanini Chadema huwachukia na kuwabagua wa Zanzibar?

angalau chadema hata walijaribu kuwa na some muslims kwa mf. Mwalimu na wengineo hata yule aliyeuliwa Kibao nafikiri alikuwa muslim pia lkn vp je khs cuf ? ilikuwa na Christians? na enzi zao cuf was big, na only muslims voted for cuf, mbona hilo hamlioni? ...
😂😂😂😂😂
 
Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?

Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.

But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Chadema haikubariki kabisa Zanzibar.
 
Ulikuwepo enzi za G55 1993 ??? Ulijua kuwa Dr Salmin Amour Rais wa Zanzibar miaka hiyo, CCM ndiye aliyeanza kuwabagua Watanganyika ?

Unajua majibu ya wabunge Watanganyika shupavu akina Njelu Kasaka, (marehemu) Philip Marmo, Kashemeza Kabuye, Tuntemeke Sanga and others wote CCM walichokifanya ?

Kama sio Nyerere kuokoa jahazi la Chama leo huo muungano wa kikatili ungekuwa kaburini.

Wenye chuki ni wazanzibar wabaguzi, wadini na wauzaji.
Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?

Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.

But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Acha propaganda chafu dhidi ya chadema. Sheria za nchi haziruhusu chama cha siasa kuwa cha kibaguzi
 
Ulikuwepo enzi za G55 1993 ??? Ulijua kuwa Dr Salmin Amour Rais wa Zanzibar miaka hiyo, CCM ndiye aliyeanza kuwabagua Watanganyika ?

Unajua majibu ya wabunge Watanganyika shupavu akina Njelu Kasaka, (marehemu) Philip Marmo, Kashemeza Kabuye, Tuntemeke Sanga and others wote CCM walichokifanya ?

Kama sio Nyerere kuokota jahazi la Chama leo huo muungano wa kikatili ungekuwa kaburini.

Wenye chuki ni wazanzibar wabaguzi, wadini na wauzaji.
nadhani mfano wako unaweza kua umejifichga mno gentleman
na wadau wengi wa JF wanaweza wasikuelewe kabisa ukilinganisha na hali ya ubaguzi wa chadema kwa wazanzibari na waisilamu unaofanya waziwazi kabisa nyakati hizi za sayansi na teknolojia :pulpTRAVOLTA:
 
Acha propaganda chafu dhidi ya chadema. Sheria za nchi haziruhusu chama cha siasa kuwa cha kibaguzi
kwahiyo matusi na dhihaka za waziwazi kabisa za chadema hasa kutoka kwa viongozi wa chadema taifa dhidi ya viongozi wa serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania waliotoka upande wa zanzibar sio ubaguzi right?

kamati kuu ya chadema taifa kuna muisilamu hata moja? sio ubaguzi huo?:pulpTRAVOLTA:
 
Hata wewe huwezi kunielewa, sababu tofauti zetu na wewe ni mbingu na ardhi.

Wewe unaandika kishabiki, kisiasa kipropaganda kiuongo uongo kichuki chuki

Mimi naeleza the real life.

Hakuna Mtanganyika hata mmoja aliyewahi, anayeweza na atakayembagua Mzanzibar, ila tazama Watanganyika wanavyotendewa kule Zanzibar ni aibu kwa muungano feki.
nadhani mfano wako unaweza kua umejifichga mno gentleman
na wadau wengi wa JF wanaweza wasikuelewe kabisa ukilinganisha na hali ya ubaguzi wa chadema kwa wazanzibari na waisilamu unaofanya waziwazi kabisa nyakati hizi za sayansi na teknolojia :pulpTRAVOLTA:
 
Hata wewe huwezi kunielewa, sababu tofauti zetu na wewe ni mbingu na ardhi.

Wewe unaandika kishabiki, kisiasa kipropaganda kiuongo uongo kichuki chuki

Mimi naeleza the real life.

Hakuna Mtanganyika hata mmoja aliyewahi, anayeweza na atakayembagua Mzanzibar, ila tazama Watanganyika wanavyotendewa kule Zanzibar ni aibu kwa muungano feki.
Yes gentleman,,
lazima tutofautiane kwasababu wewe na chama chako ni wabaguzi dhi ya wazanzibari,
na mmejawa na chuki binafsi dhidi ya waisilamu kitu ambacho ni tofauti na mimi ambae nawapenda waTanzania wote kwa ujumla kama kaka na dada zangu, mama na baba zangu n.k mimi sina.

tutafananaje sasa hapo kwa mfano gentelman :pulpTRAVOLTA:
 
kimsingi hakuna ubaguzi chadema, wazanzibar wenyewe ndio wanaiona chadema ni ya bara tu. Wao hushadidia ACT Wazalendo wakitokea CUF ile ya Maalim Seif. Ukiona CCM ina wazanzibar wale ni masalia ya ASP iliyoungana na TANU. Wazanzibar wana vyama vyao vingine huko visiwani na wanajua vema bara ina vyama vyake
 
Bila shaka we ni mfanyakazi wa CCM kitengo cha propaganda. Uko kazini na unafanya majukumu yako ili upate mkate
 
Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?

Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.

But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Mimi napenda CCM

Mimi napenda Rais atoke Zanzibar

Zidumu Fikra za Mwenyekiti

CCM OYEEEEEEEE
 
Bila shaka we ni mfanyakazi wa CCM kitengo cha propaganda. Uko kazini na unafanya majukumu yako ili upate mkate
gentleman,
mimi na wewe ni wadau wa kawaida tu wa JF, right?

binafsi,
nimechagua kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu. Na ikiwa hiyo ni propaganda, kwakweli nitaifanya kwa bidii zaidi, kwasababu ubaguzi wa chadema dhidi ya viongozi wa serikali kutoka zanzibar ni jambo la fedheha sana na inasikitisha sana aise :pulpTRAVOLTA:
 
huo ubaguzi mbona sisi hatuoni?
 
Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?

Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.

But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Unatoa kuwajuwa ili muwateke?
 
Back
Top Bottom