Ni kwanini Chadema huwachukia na kuwabagua wa Zanzibar?

Ni kwanini Chadema huwachukia na kuwabagua wa Zanzibar?

Gentleman,
elezea kinagaubaga bila hofu chimbuko la chadema kuwabagua wazanzibari hususani walio uongozini Tanzania na kuwadhalilisha kijinsia hadharani na kwenye mitandao ya kijamii?

na kwanini chadema haiwapendi waisilamu kwenye uongozi wake, mathalani kamati kuu taifa?🐒
Hakuna udini hata
 
Ni udini tu
Tokea Mbowe aondoke chama kimekuwa cha walokole ndio maana kinakosa ushawishi hata kwa wakristo moderate
 
Ni udini tu
Tokea Mbowe aondoke chama kimekuwa cha walokole ndio maana kinakosa ushawishi hata kwa wakristo moderate
maana yake chadema wanafanya na walikua wakifanya maandalizi ya kukosa kura za waisilamu Bara na Visiwani right?


Maana wanawabagua,
Halafu wasingizie kuibiwa kura wakati wa uchaguzi 🐒
 
Wewe ni mbwa wa ajib by Samiah
hakuna haja ya mihemko useless jukwaani na hakuna haja ya kuendelea na ubaguzi gentleman jukwaani, haipendezi.

ikiwa uko pointless,
kaa kimya tu na itapendeza zaidi 🐒
 
Hatujawahi kusikia Rais wa Zanzibar akiwa Mkristo! Vipi huko hakuna kabisa Wakristo?
hebu iandikie uzi mahususi jukwaani hiyo porojo yako gentleman, bila kuhamisha mjadala mahususi uliopo jukwaani na itapendeza zaidi, right?🐒
 
Mpenda rushwa, jizi la mali za umma naona unashindana sana na watu wasiopenda rushwa. Ngoja tuone kama wizi utashinda, endelea kupambana
Gentleman,
usiweweseke jukwaani ikiwa uko pointless 🤣
 
maana yake chadema wanafanya na walikua wakifanya maandalizi ya kukosa kura za waisilamu Bara na Visiwani right?


Maana wanawabagua,
Halafu wasingizie kuibiwa kura wakati wa uchaguzi 🐒
Wamejiaminisha kuwa wana idadi kubwa ya wakristo hivyo hawana shida na kura za waislamu, na ndivyo CUF ilivyoaamini at least walishinda Zanzibar.
Ila chadema hawa hawaendi popote, watabaki kuwa chama cha harakati
 
Ungesema wanzabar na sio Muslim cos Zanzibar kuna mixer yaani kuna Christian na Muslim people.....
......🤝....
Lakini chadema target yao ni kuwabagua wazanzibari na kuwachukia waisilamu.

we tazama hata kwenye kamati kuu tu ya chadema taifa, utaona udini na ukabila ukiwa wazi wazi na tena nje nje kabisa, na hawana aibu wala haya.

Lakini zaidi sana,
wazanzibari viongozi katika serikali ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wanatusiwa na kudhalilishwa na chadema kwa jinsia zao, halafu chama hicho hicho eti kinatafuta uongozi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuwabagua wazanzibari, hicho si kichekesho kabisa gentleman?🤣
 
Mkuu leo la Heche kula michango umeliweka kando, umeamua kuja na hili?😁
andikia uzi mahususi jukwaani na itapendeza zaidi.

Kwasasa ni muhimu zaidi kujikita kwenye hoja mahususi mezani bila kuona aibu gentleman,

wewe huna makosa,
ulifundishwa tu kuwabagua wazanzibari, so feel free kuchangia hoja mahususi mezani 🐒
 
Wamejiaminisha kuwa wana idadi kubwa ya wakristo hivyo hawana shida na kura za waislamu, na ndivyo CUF ilivyoaamini at least walishinda Zanzibar.
Ila chadema hawa hawaendi popote, watabaki kuwa chama cha harakati
ni makosa makubwa mno ya kisiasa wameyafanya hawa wangwana.

ni muhimu sana wakajifunza.
Kwa mfano hivi sasa kuna wabunge wachache wa upinzani bungeni,

ukifuatilia kwa ukaribu walishindaje uchaguzi mkuu, utagundua kwamba wote walipigiwa kura nyingi zaidi na wana CCM kuliko hata wanachama wao.

Hii ikimaamisha, kwenye maeneo hayo hakuna kabisa ubaguzi na malengo ya wananchi wa majimbo hayo husika ni maendeleo ya kweli tu, full stop.

kwahiyo,
hata chadema wanaweza kufanya siasa bila ubaguzi na bila chuki za kidini wala matusi, bali wakiwa na sera nzuri, wanaweza kuchaguliwa hata na wana CCM 🐒
 
Kwasabb wengi wao huwa ni vilazaa, si umemuona huyu mazeri tuliyenaye sasa hv...form fout alifeli!
 
Zanzibar si ni nchi na inaviongozi wake wa kitaifa kule?
 
Back
Top Bottom