Ni kwanini Chadema huwachukia na kuwabagua wa Zanzibar?

Ni kwanini Chadema huwachukia na kuwabagua wa Zanzibar?

Kwanini Wazanzibar bila aibu wanatuita sisi machogo? Na wanakataa tusiende Zanzibar? Mpaka viongozi wakubwa kabisa serikalini?

Wakati wao washindia urojo na boflo.....
acha porojo gentleman,
jikite kwenye hoja mahususi mezani bila upotoshaji na itapendeza zaidi 🐒
 
Wewe ndio umeona hilo baada yakufanya tafiti kwa kina hivyo tumia mbinu hyohyo utuletee majibu ni kwannn imekuwa hivyo.
acha unyonge na kutia huruma,
prove me wrong,

viongozi wa kitaifa wa chadema na wafuasi wao hawakua wakiwatusi na kuwabagua viongozi wa serikali wa Zanzibari wa chama na serikali sikivu ya CCM ?

kujifanya hujui ni unafiki usiojificha au ulikua hujazaliwa kisiasa bado gentleman?🐒
 
Aisee mpo radhi kutengeneza chuki baina ya Wananchi ili mambo yenu yaende sawa..
chuki gani kwenye ukweli huo mtupu nilioueleza gentleman?

kwamba chadema haiwabagui wazanzibari na haiwachukii waisilamu?

elezea basi jukwaani kwamba changamoto hiyo ya chadema imepona lini, maana ubaguzi wa chadema dhidi ya viongozi wa serikali wazanzibari haukua unafanyika gizani, wala chuki za chadema dhidi ya waisilamu hazifanyiki kwa kificho. Ni hadharani kabisa.

hebu eleza unafiki wako kuhusu hilo jukwaani ili hatimae wadau wa Jf wauone na itapendeza zaidi gentleman, otherwise kaa kimya tu 🐒
 
ACT WAZALENDO ZANZIBAR, WANAWACHUKIA WABARA HATARI, NAMI SIWAPENDI BASII TU HICHO CHAMA
andikia hoja mahususi, maalumu mezani bila kujaribu kupotosha au kuhamisha mjadala mahususi uliopo mezani na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
chuki gani kwenye ukweli huo mtupu nilioueleza gentleman?

kwamba chadema haiwabagui wazanzibari na haiwachukii waisilamu?

elezea basi jukwaani kwamba changamoto hiyo ya chadema imepona lini, maana ubaguzi wa chadema dhidi ya viongozi wa serikali wazanzibari haukua unafanyika gizani, wala chuki za chadema dhidi ya waisilamu hazifanyiki kwa kificho. Ni hadharani kabisa.

hebu eleza unafiki wako kuhusu hilo jukwaani ili hatimae wadau wa Jf wauone na itapendeza zaidi gentleman, otherwise kaa kimya tu 🐒
Mhh kazi ipo aisee...
 
Wazanzibari
Yes,
wazanzibara ndani ya chadema wanawabagua na kuwachukia mno wazanzibari wa visiwani.

Chimbuko la ubaguzi na chuki hizo za chadema unadhani ni nini hasa gentleman, maana sote tumeona na kusikia songombingo hiyo ya chadema hasa taifa, dhidi ya waTanzania hao 🐒
 
Ipo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na kuilaumu chadema
jikite kwenye hoja mahususi mezani kwa heshima gentleman na itapendeza zaidi.

hakuna haja kabisa ya kujiexpose ulivyo empty head jukwaani 🐒
 
K
Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?

Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.

But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ndani ya ccm ukiacha Bi Kizimkazi, kuna nani mwingine ndani KK? Tena huyo kaingia by default! Hivyi vyama vingine je, act, cuf, nccr mageuzi, n.k kuna akina nani ama umenajitoa ufahamu baada ya kunywa kisungura?
 
Hizi ndio ramli vhonganishi,Ally Kibao hakuwa muislamu?
 
jieleze ukijikita zaidi kwenye hoja mahususi mezani gentleman na itapendeza zaidi,

lakini pia,
kwa faida ya wadau wote wa JF, feel free kujieleza, be specific, fafanua mambo bila abrivations au mafumbo nadhani itapendeza zaidi na kuondoa dhana ya unafiki 🐒
 
Hizi ndio ramli vhonganishi,Ally Kibao hakuwa muislamu?
Gentleman,
elezea kinagaubaga bila hofu chimbuko la chadema kuwabagua wazanzibari hususani walio uongozini Tanzania na kuwadhalilisha kijinsia hadharani na kwenye mitandao ya kijamii?

na kwanini chadema haiwapendi waisilamu kwenye uongozi wake, mathalani kamati kuu taifa?🐒
 
angalau chadema hata walijaribu kuwa na some muslims kwa mf. Mwalimu na wengineo hata yule aliyeuliwa Kibao nafikiri alikuwa muslim pia lkn vp je khs cuf ? ilikuwa na Christians? na enzi zao cuf was big, na only muslims voted for cuf, mbona hilo hamlioni? ...
Kwahiyo isihojiwe chadema kwa kufanya kosa lilelile alilolifanya cuf?!!
 
Back
Top Bottom