Gentleman,Hii boss leo umezingua fanya siasa safi..
.. ...Tanzania moja kwa kila mtanzania .....
Wewe ni mbwa wa ajib by SamiahNa ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?
Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.
But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?π
Mungu Ibariki Tanzania
We jamaa ni fala sanaGentleman,
kwamba kuwatukana na kuwabagua wazanzibari kwa jinsia zao, nafasi zao serikalni kwa maneno na vitendo vya wazi wazi kabisa ndio siasa safi, right?
unafiki unajoaribu kujitakasa nao jukwaani kuhusu ubaguzi wa chadema dhidi ya wazanzibari ni useless sana gentleman π
Gentleman,Utakuja kusema chadema inawachukia wanachadema
Mpenda rushwa, jizi la mali za umma naona unashindana sana na watu wasiopenda rushwa. Ngoja tuone kama wizi utashinda, endelea kupambanaNa ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?
Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.
But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?π
Mungu Ibariki Tanzania
But chadema publicly wameshakua wakionyesha kwa maneno na maandishi ubaguzi wa wazi wazi kabisa hususani dhidi ya viongozi wa kitaifa na wa ngazi mbalimbali serikalni, hii ikimaamisha chadema inawachukia wazanzibari.angalau chadema hata walijaribu kuwa na some muslims kwa mf. Mwalimu na wengineo hata yule aliyeuliwa Kibao nafikiri alikuwa muslim pia lkn vp je khs cuf ? ilikuwa na Christians? na enzi zao cuf was big, na only muslims voted for cuf, mbona hilo hamlioni? ...
Kuteka na kuua ni siasa safi?Gentleman,
kwamba kuwatukana na kuwabagua wazanzibari kwa jinsia zao, nafasi zao serikalni kwa maneno na vitendo vya wazi wazi kabisa ndio siasa safi, right?
Ungesema wanzabar na sio Muslim cos Zanzibar kuna mixer yaani kuna Christian na Muslim people.....Gentleman,
kwamba kuwatukana na kuwabagua wazanzibari kwa jinsia zao, nafasi zao serikalni kwa maneno na vitendo vya wazi wazi kabisa ndio siasa safi, right?
unafiki unajoaribu kujitakasa nao jukwaani kuhusu ubaguzi wa chadema dhidi ya wazanzibari ni useless sana gentleman π
Wewe ndio umeona hilo baada yakufanya tafiti kwa kina hivyo tumia mbinu hyohyo utuletee majibu ni kwannn imekuwa hivyo.Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?
Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi.
But nini chimbuko la ubaguzi huu wa Chadema dhidi ya jamii hiyo ya kiTanzania?π
Mungu Ibariki Tanzania
Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo?