Ni kwanini Chadema huwachukia na kuwabagua wa Zanzibar?

Akili ishaanza kuwa sawa, ila umenifundisha kuwa mimi kama mkristo chama changu Chadema na ccm no cha utekaji nashkuru sana kwa hilo.

Kwani mawazo hukua na akilini gentleman?
kwamba katika ukristo wako umetekwa na mapepo ya ubaguzi na chuki binafsi dhidi wasio wa Kristo wa dhehebu lako right?

umepata kipaimara kweli wewe?
mbona unaachia magoli mengi mepesi sana ya kipepo unafungwa?πŸ’
 
Vipi mtanganyika anaruhusiwa kununua Aridhi Zanzimbar kama hairuhusiwi kwa nini?
 
Huna ushawishi hata kidogo wa kuweza kueneza chuki QLMY
 
Uchawa ni njia aliy oichagua Tlaatlaah kujipatia kipato aibu utaona wewe.
 
Mmefeli kumtoa Heche madarakani ili muweke mamluki, now mmeanza kuongelea ubaguzi. Waliokuwa kamati kuu ndio hao walikipeleka chama mahakamani kudai mgao wa mali za chama ilhali chama kiko hai, nani angependa kuwa na waasi wa namna hiyo? By the way ukija uchaguzi mwingine watawekwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…