Ni kwanini Hamas huwa wanakimbilia mahandakini na kuwaacha raia wakati jeshi la Israel huwapa kwanza usalama raia kwenye mahandaki

Ni kwanini Hamas huwa wanakimbilia mahandakini na kuwaacha raia wakati jeshi la Israel huwapa kwanza usalama raia kwenye mahandaki

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki.

Hamas hali ipo tofauti, huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia watajijua wenyewe

WHY ???
 
Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki.

Hamas huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia wapambane na hali wanayoisababisha,

WHY ???
Sheria za vita unazijua lakini ?
 
Wana jeshi dogo na Israel target yao ni Hamas zio rais lakini Jamaa hawaangalii ni raia au mjeda its Aluta Continua
 
Back
Top Bottom