W wastani kwa idadi JF-Expert Member Joined Jun 28, 2024 Posts 503 Reaction score 1,432 Jan 19, 2025 #1 Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki. Hamas hali ipo tofauti, huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia watajijua wenyewe WHY ???
Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki. Hamas hali ipo tofauti, huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia watajijua wenyewe WHY ???
badei Member Joined Mar 12, 2023 Posts 43 Reaction score 49 Jan 19, 2025 #2 wastani kwa idadi said: Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki. Hamas huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia wapambane na hali wanayoisababisha, WHY ??? Click to expand... Sheria za vita unazijua lakini ?
wastani kwa idadi said: Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki. Hamas huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia wapambane na hali wanayoisababisha, WHY ??? Click to expand... Sheria za vita unazijua lakini ?
W wastani kwa idadi JF-Expert Member Joined Jun 28, 2024 Posts 503 Reaction score 1,432 Jan 19, 2025 Thread starter #3 badei said: Sheria za vita unazijua lakini ? Click to expand... Ndiyo, nazijua sheria lakini sijui kama wewe unajua tunachojadili hapa
badei said: Sheria za vita unazijua lakini ? Click to expand... Ndiyo, nazijua sheria lakini sijui kama wewe unajua tunachojadili hapa
Auto-Marvelt JF-Expert Member Joined Jul 13, 2019 Posts 1,653 Reaction score 3,336 Jan 19, 2025 #4 Wana jeshi dogo na Israel target yao ni Hamas zio rais lakini Jamaa hawaangalii ni raia au mjeda its Aluta Continua
Wana jeshi dogo na Israel target yao ni Hamas zio rais lakini Jamaa hawaangalii ni raia au mjeda its Aluta Continua