Ni kwanini jamii ya wahindi imesahaulika kwenye teuzi za kisiasa?

Ni kwanini jamii ya wahindi imesahaulika kwenye teuzi za kisiasa?

Kuna mtanzania ni diwani India?
Wajameni hebu tujiruhusu kufikri kwanza.
Ili aweze hata kutiliwa maanani inatakiwa awe raia kwanza. Hata hapa kwetu ni hivyohivyo.
Ni swala la katiba/sheria na sio utashi tu.
 
mentally slave is the main jail of african people,,,hv mpka leo kuna mtu mweus bado anawashadadia hawo watu,,nakujiona inferior kulko wao,,yaan watz sjui kwnn hayajiamin,,hizo ndizo changamoto za utumwa wa akili na madhara ya kutokujiamn...huo upuuz wa kushobokea rangi nyeupe ndiomaana yule bwana mwendazake mlimchukia sabbu hakupenda uo upuuz na kuwanyenyekea ao white-men, aliwataka watu weus mjiamn,,mbna tupo wengi ambao tuko smart kulko awo mabwana zenu,,ni vile tu hatuna chance uko majuu kuonesha uwezo[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
unamtukana mwenzako, unajifanya wewe in smart. umeshindwa hata ku spell inferiority complex!

inferiority complex

noun
noun: inferiority complex
  1. an unrealistic feeling of general inadequacy caused by actual or supposed inferiority in one sphere, sometimes marked by aggressive behaviour in compensation.
Translate inferiority complex to

Definitions from Oxford Languages
ww nae ni muhind kumpnga mweus mwenzak?? hv unapata wap ujasir wakuwatetea watu wanaokomba rasilimari zenu[emoji48][emoji48][emoji48]
 
Wanajitenga mnoo , ukishaona kabila lolote hawataki watoto wao wa kike waolewe na jamii nyingine wanaoana wao wa wao tuu ........????
 
Kuna maslahi binafsi na nchi yako. Huwezi kukataa kuitumikia nchi yako halafu ukalazimisha upewe feva.

Angalia hili ni jeshi la South Africa. Ni mchanganyiko wa jamii yote 👇👇👇

View attachment 1799783

Tanzania ni nchi yenye jamii nyingi ikiwemo wahindi kama msemavyo, sasa hao wahindi mbona huku hawahitaji kuwemo.
Wahindi wako na biashara zao, wengine ni Professionals ( finance, accounts, ICT, medical etc). Hawahitaji favour kuwa waajiriwe kwenye taasisi za serikali.
 
Wahindi wako na biashara zao, wengine ni Professionals ( finance, accounts, ICT, medical etc). Hawahitaji favour kuwa waajiriwe kwenye taasisi za serikali.
Lakini kwenye siasa wapo kwasababu zinalipa na teuzi wanataka.
 
Professor pratap, hakuna kama yeye Tanzania nzima. Anafundisha Biology karibia vyuo vyote Tanzania , hasa UDSM na matawi yake yote, pia nasikia na Muhimbili anakwenda kufundisha. Ni Mtanzaniamhindi.
Kama wana vigezo na sifa wanayo badi wateuliwe.lakini wahindi wengi walioko Tanzania wanapenda biashara kuliko masomo. DSM kuna shule nyingi za wahindi mfano Indian School kule Temeke .lakini huwezi kukuta wahindi wanafika chuo kikuu, Ila kariakoo, Mlimani city, na Posta wenye maduka makubwa ni wahindi.
Ticha wangu mmoja mzushi mzushi wa advanced biology alikuwa anamtaja sana huyu Prof.Pratap
 
Back
Top Bottom