ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Sisi wa wakati wa Julius Kambarage Nyerere, tulikuwa nao.Ulipokwenda Jeshini (JKT), uliwaona Wahindi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wa wakati wa Julius Kambarage Nyerere, tulikuwa nao.Ulipokwenda Jeshini (JKT), uliwaona Wahindi?
Nadhani hujajua usmart haupimwi kwa kuongoza darasani,unawezaje kusema watu ambao hawazidi mil 2 na wanamiliki zaidi ya asilimia sabini ya uchumi wote wa Tz ni vilaza?unajua wanamiliki zaidi ya asilimia sitini ya kampuni zote kubwa Tz?
Nazungumzia shule za secondary za umma wewe unaleta stori zisizoeleweka.
Kwanza ni upumbavu kuongozwa na mhindi kama vile watanzania wameisha, MO amekuwa mbunge Singida matokeo yake kaacha umaskini wa kutupwa kawaachia nyumba za tembe tupu same to Rostam Azizi Igunga n.k
Hizo shule za umma ndio Tanzania yenyewe.Sasa shule za Umma wakafanye nini? Asilimia 99% ya wanaosomesha hizo shule ni maskini. Wahinidi akili zao ni kubwa huwakuti kujiingiza kwenye maeneo ya kuwadumaza wakawa maskini
Sio nyumba za serikali, sema nyumba zao walizopokonywa Kisha wakakodishiwa, majority ya NHC mjini zilikuwa nyumba za Wahindi Zikataifishwa.Jiulize kwa nini hawapendi kununua viwanja na kujenga nyumba zao badala yake wanaishi nyumba za serikali miaka nenda rudi, kwanini hawaoi waswahili na kwanin hawajui kiswahili vizuri na mwisho kwanini wana shule zao, Benki, hospital, saccos,Makaburi yao tu, ukifungua duka pembeni wa mdosi yenye bidhaa ileile sidhani kama ipo siku mdosi atanunua kwenye duka lako wewe mswahili.
HAWA JAMAA WAKO VIZURI SANA KWENYE SEKTA YA FEDHA TATIZO LAO HATA AISHI MIAKA 100,MENTALY HAIACHANI NA INDIA NA CANADA,LAKINI TATIZO HUENDA NI SISI WATANZANIA NA WAGANDA TULILIANZISHA.
*waliwahi kumbeba IDD AMIN.
Hizo shule za umma ndio Tanzania yenyewe.
Jiulize kwa nini hawapendi kununua viwanja na kujenga nyumba zao badala yake wanaishi nyumba za serikali miaka nenda rudi, kwanini hawaoi waswahili na kwanin hawajui kiswahili vizuri na mwisho kwanini wana shule zao, Benki, hospital, saccos,Makaburi yao tu, ukifungua duka pembeni wa mdosi yenye bidhaa ileile sidhani kama ipo siku mdosi atanunua kwenye duka lako wewe mswahili.
Kuna maslahi binafsi na nchi yako. Huwezi kukataa kuitumikia nchi yako halafu ukalazimisha upewe feva.Lakini hakuna anaelazimshwa kufanyakazi humo, Hata mimi uwalimu niliukimbia baada ya kugundua nijiingiza kwenye umaskini wa milele nikajikita kwenye michongo mengine ambayo inaleta tamaa ya kubadilisha Maisha yangu.
Jiulize kwa nini hawapendi kununua viwanja na kujenga nyumba zao badala yake wanaishi nyumba za serikali miaka nenda rudi, kwanini hawaoi waswahili na kwanin hawajui kiswahili vizuri na mwisho kwanini wana shule zao, Benki, hospital, saccos,Makaburi yao tu, ukifungua duka pembeni wa mdosi yenye bidhaa ileile sidhani kama ipo siku mdosi atanunua kwenye duka
Wabongo wanabaguana wenyewe kwa wenyewe wamwache mhindi!Kinachowasumbua wabongo ni Ubaguzi
Mwendazake hakuwapenda wahindiNi moja ya swali huwa linanijia kichwani kila siku. Tanzania ni moja ya nchi ambazo zimebahatika kuwa na hawa watu pamoja na nchi ya Kenya.
Jamii ya wahindi wa Tanzania na Kenya, wana historia ndefu kwa hizi nchi. Na wengi mpaka babu zao wamezaliwa huku, ikimaanisha wana haki zote za uraia wao wa Tanzania.
Binafsi, hawa watu nimefanikiwa kupambana nao shuleni, nimesoma na wahindi baadhi kuanzia sekondari na chuo nikibahatika kukutana nao. Na huku kwenye corporate world tunafanya nao kazi.
Kiufupi, hawa jamaa wapo smart sana na wanatuzidi kwa mbali sana sisi weusi. Moja kwa kwenye elimu, mbili kwenye management, tatu kwenye biashara.
Ukifananisha mabenki ya kihindi na yale yanayoongozwa na waswahili, utathibitisha nisemacho.
Dukuduku langu ni? Kwanini wanasahaulika kwenye uongozi?
Nchi kama Marekani na Uingereza, kwa miongo miwili iliyopita, jamii ya wahindi imekuwa ikipata chance sana kwenye management, na kikubwa ni kwasababu, wanajua.
Minister of Funance wa uingereza sasahivi anaitwa Rishi Sunak ni Muhindi halafu jamaa pia ana origin ya wagindi wa Tanzania na Kenya
Ceo wa Microsoft ni Muhindi Satya Nadella
CEO wa Google ni Muhindi
Na kuna makampuni mengine mengi America yanaongozwa na wahindi, maana yake ni kwamba hawa watu wana inborn quality kwenye management, na wanapaswa kutumiwa.
Huwa nahuzunika sana nikiona tuna hizi rasilimali watu ambazo hazitumiki ipasavyo.
Mnisamehe naandika bila mpango betri inaisha..
Mo ni ukoo wa nani? acheni ujingaKwani wahindi sio watanzania? mbona unatia aibu Kamanda
unamtukana mwenzako, unajifanya wewe in smart. umeshindwa hata ku spell inferiority complex!INFIRIORITY COMPLEX either wewe ulieandika hii thread wewe ni MUHINDI unataka kujifanya nyie ni smart kuliko wahindi.
Ushindwe na ulegee.
Sisi weusi tuko smart kuliko unavyotegemea.
Mpu.mbv.. wewe
acha kutukana, jadili mada!Mo ni ukoo wa nani? acheni ujinga
Kuna mtanzania ni diwani India?acha kutukana, jadili mada!