Ni kwanini jamii ya wahindi imesahaulika kwenye teuzi za kisiasa?

Ni moja ya swali huwa linanijia kichwani kila siku. Tanzania ni moja ya nchi ambazo zimebahatika kuwa na hawa watu pamoja na nchi ya Kenya.

Jamii ya wahindi wa Tanzania na Kenya, wana historia ndefu kwa hizi nchi. Na wengi mpaka babu zao wamezaliwa huku, ikimaanisha wana haki zote za uraia wao wa Tanzania.

Binafsi, hawa watu nimefanikiwa kupambana nao shuleni, nimesoma na wahindi baadhi kuanzia sekondari na chuo nikibahatika kukutana nao. Na huku kwenye corporate world tunafanya nao kazi.

Kiufupi, hawa jamaa wapo smart sana na wanatuzidi kwa mbali sana sisi weusi. Moja kwa kwenye elimu, mbili kwenye management, tatu kwenye biashara.

Ukifananisha mabenki ya kihindi na yale yanayoongozwa na waswahili, utathibitisha nisemacho.

Dukuduku langu ni?? Kwanini wanasahaulika kwenye uongozi?????

Nchi kama Marekani na Uingereza, kwa miongo miwili iliyopita, jamii ya wahindi imekuwa ikipata chance sana kwenye management, na kikubwa ni kwasababu, wanajua.

Minister of Funance wa uingereza sasahivi anaitwa Rishi Sunak ni Muhindi halafu jamaa pia ana origin ya wagindi wa Tanzania na Kenya

Ceo wa Microsoft ni Muhindi Satya Nadella

CEO wa Google ni Muhindi

Na kuna makampuni mengine mengi America yanaongozwa na wahindi, maana yake ni kwamba hawa watu wana inborn quality kwenye management, na wanapaswa kutumiwa.

Huwa nahuzunika sana nikiona tuna hizi rasilimali watu ambazo hazitumiki ipasavyo.

Mnisamehe naandika bila mpango betri inaisha..
Ndugu yangu.. umeongea point kubwa sana, lakin tatizo la wachangiaji asilimia 90% hawakuelewi. Wengi wao wamejaa ubaguzi, ukabila,ujinga,uzandiki,majungu na roho mbaya. Hivyo vitu vime block bongo zao na hawawezi ona kilicho sahihi. Tuna safari ndefu sana
 
Unataka kuniambia hamna mTanzania anaweza kufanya anayofanya Mo?Your over rating them,ukienda Kenya wamekubali kuwa raia wa kawaida kule sababu wameshindwa kuwaendesha wako adi kwenye kuact movie sasa. Nimekutana na hao Wahindi Dangote pia vilaza balaa wanabebana tu hamna kitu technical wanajua zaidi yakutegemea engineers wetu.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Hakuna aliekataa hili na wala hujaelewa point ya mtoa mada, hakuna mtu yoyote humu aliesema wahindi wote zaidi ya bilioni 1 ni smart kuliko wa Tanzania milioni 60, wao pia wana vilaza kibao,

Point hapa Mkuu wame influence mambo mengi ya hii nchi na bado wana influence. Kutafuta muhindi fulani Sababu ni kilaza unashindwa kujibu hoja.
 
Kama ni kweli basi waliowapa iyo fursa walikuwa vilaza na wanapaswa kuwajibishwa kwakutuangusha na kutuzalilisha.Muhindi anachofanya kwa Tanzania ni kwa manufaa yake na watu wake kama sio kujijengea temple zao, mashule yao na Hospital zao ni vile hawawezi kutukataza tu kwenda lakini wangeweza wangefanya hivo.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Hata wachaga, wakinga na makabila mengine makubwa Yana fanya kwa manufaa yao, hakuna mtu anaefanya biashara ama kukupa kitu fulani kwa manufaa yako.

Unachotakiwa wewe ni kutengeneza mazingira ya win-win situation,

Mfano hao wahindi watoe biashara zao Sababu wao ndio wanachangia kodi kubwa ina maana hata walimu kule kijijini hawatapata mshahara,

Na mtu mkubwa alieanza kufanya Nao Kazi ni Raisi wa Awama ya kwanza JK Nyerere,
 
Ni moja ya swali huwa linanijia kichwani kila siku. Tanzania ni moja ya nchi ambazo zimebahatika kuwa na hawa watu pamoja na nchi ya Kenya.

Jamii ya wahindi wa Tanzania na Kenya, wana historia ndefu kwa hizi nchi. Na wengi mpaka babu zao wamezaliwa huku, ikimaanisha wana haki zote za uraia wao wa Tanzania.

Binafsi, hawa watu nimefanikiwa kupambana nao shuleni, nimesoma na wahindi baadhi kuanzia sekondari na chuo nikibahatika kukutana nao. Na huku kwenye corporate world tunafanya nao kazi.

Kiufupi, hawa jamaa wapo smart sana na wanatuzidi kwa mbali sana sisi weusi. Moja kwa kwenye elimu, mbili kwenye management, tatu kwenye biashara.

Ukifananisha mabenki ya kihindi na yale yanayoongozwa na waswahili, utathibitisha nisemacho.

Dukuduku langu ni? Kwanini wanasahaulika kwenye uongozi?

Nchi kama Marekani na Uingereza, kwa miongo miwili iliyopita, jamii ya wahindi imekuwa ikipata chance sana kwenye management, na kikubwa ni kwasababu, wanajua.

Minister of Funance wa uingereza sasahivi anaitwa Rishi Sunak ni Muhindi halafu jamaa pia ana origin ya wagindi wa Tanzania na Kenya

Ceo wa Microsoft ni Muhindi Satya Nadella

CEO wa Google ni Muhindi

Na kuna makampuni mengine mengi America yanaongozwa na wahindi, maana yake ni kwamba hawa watu wana inborn quality kwenye management, na wanapaswa kutumiwa.

Huwa nahuzunika sana nikiona tuna hizi rasilimali watu ambazo hazitumiki ipasavyo.

Mnisamehe naandika bila mpango betri inaisha..
Hawa watu wanaubaguzi mkubwa sana zidi ya watu weusi, ukiwapa nafasi hawataangalia kufanya kazi kwa bidii na kwa manufaa ya nchi bali kwa manufaa ya jamii Yao, Pamoja na kuwepo hapa kwa miongo mingi hawajawahi kuchanganyikana na wenyeji, ukitaka kuwatumia ni lazima uwe na usimamizi Mkubwa na wa karibu kuhakikisha hawavuki mstari, US,Uk haifaidi nao bali wao ndio wananufaika na bado wanajitenga.
 
Mbona atuwaoni kwenye ualimu,askari magereza,polisi,jeshi,madereva wa STK nk
 
HAWA JAMAA WAKO VIZURI SANA KWENYE SEKTA YA FEDHA TATIZO LAO HATA AISHI MIAKA 100,MENTALY HAIACHANI NA INDIA NA CANADA,LAKINI TATIZO HUENDA NI SISI WATANZANIA NA WAGANDA TULILIANZISHA.
*waliwahi kumbeba IDD AMIN.
 
Na kwanini wanapenda kukaa kwenye nchi zenye siasa uchwara?
Mimi na wahindi tofauti lkn ukweli wahindi walio kuja East Africa hawakuja by choice waliletwa na Mwingereza kujenga reli kwahiyo unao waona hapaTanzania wapo wapo tu INDIA hawakubaliki vile vile TANZANIA mnawazingua kwahiyo wapo katikati.Ukweli kwamba huyu MWENGEREZA nafikiri na SPAIN Wamewaze-confused jamii nyingi sn.

Mfano:- African-America unaona wanavyo pata taaba hapa America japo kuwa wao ndio wamajengo America. Sera zilizopo ni zakumkandamiza mtu mweusi tu.

South America vile vile mtu mweusi hana thamani yoyote nk.
 
Ni moja ya swali huwa linanijia kichwani kila siku. Tanzania ni moja ya nchi ambazo zimebahatika kuwa na hawa watu pamoja na nchi ya Kenya.

Jamii ya wahindi wa Tanzania na Kenya, wana historia ndefu kwa hizi nchi. Na wengi mpaka babu zao wamezaliwa huku, ikimaanisha wana haki zote za uraia wao wa Tanzania.

Binafsi, hawa watu nimefanikiwa kupambana nao shuleni, nimesoma na wahindi baadhi kuanzia sekondari na chuo nikibahatika kukutana nao. Na huku kwenye corporate world tunafanya nao kazi.

Kiufupi, hawa jamaa wapo smart sana na wanatuzidi kwa mbali sana sisi weusi. Moja kwa kwenye elimu, mbili kwenye management, tatu kwenye biashara.

Ukifananisha mabenki ya kihindi na yale yanayoongozwa na waswahili, utathibitisha nisemacho.

Dukuduku langu ni? Kwanini wanasahaulika kwenye uongozi?

Nchi kama Marekani na Uingereza, kwa miongo miwili iliyopita, jamii ya wahindi imekuwa ikipata chance sana kwenye management, na kikubwa ni kwasababu, wanajua.

Minister of Funance wa uingereza sasahivi anaitwa Rishi Sunak ni Muhindi halafu jamaa pia ana origin ya wagindi wa Tanzania na Kenya

Ceo wa Microsoft ni Muhindi Satya Nadella

CEO wa Google ni Muhindi

Na kuna makampuni mengine mengi America yanaongozwa na wahindi, maana yake ni kwamba hawa watu wana inborn quality kwenye management, na wanapaswa kutumiwa.

Huwa nahuzunika sana nikiona tuna hizi rasilimali watu ambazo hazitumiki ipasavyo.

Mnisamehe naandika bila mpango betri inaisha..
Hapa sio india
 
Wadosi na walebanon sio wa kupewa cheo chochote kwenye serikali Kwa kuwa ni wajanjawajanja sana
Nalog off
 
Huwezi kuwa na akili ata kumzidi binti yangu wa miaka 4, your a waste and disgrace to your society and country nyie mnatakiwa kupigwa mawe mchana kweupe huwezi kumsifia muhindi, what has he done for your country bora ata mjapan he has built on aid roads, schools, bridges ata izo nguzo wametoa misaada yakutosha.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
stress za uzee zinakumaliza. Maana maisha yanakuchapa.
Mimi ukifuatilia ni kua nimekupinga ukisema wahindi hawana akili. Sasa kwa IQ ya bintiyo wa 4 yo umenibambikia hoja ya kua what have Indians done to us which is off the argument ulio quote from me.
 
Back
Top Bottom