Ni kwanini jamii ya wahindi imesahaulika kwenye teuzi za kisiasa?

Kuna mtanzania ni diwani India?
Wajameni hebu tujiruhusu kufikri kwanza.
Ili aweze hata kutiliwa maanani inatakiwa awe raia kwanza. Hata hapa kwetu ni hivyohivyo.
Ni swala la katiba/sheria na sio utashi tu.
 
mentally slave is the main jail of african people,,,hv mpka leo kuna mtu mweus bado anawashadadia hawo watu,,nakujiona inferior kulko wao,,yaan watz sjui kwnn hayajiamin,,hizo ndizo changamoto za utumwa wa akili na madhara ya kutokujiamn...huo upuuz wa kushobokea rangi nyeupe ndiomaana yule bwana mwendazake mlimchukia sabbu hakupenda uo upuuz na kuwanyenyekea ao white-men, aliwataka watu weus mjiamn,,mbna tupo wengi ambao tuko smart kulko awo mabwana zenu,,ni vile tu hatuna chance uko majuu kuonesha uwezo[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
ww nae ni muhind kumpnga mweus mwenzak?? hv unapata wap ujasir wakuwatetea watu wanaokomba rasilimari zenu[emoji48][emoji48][emoji48]
 
Wanajitenga mnoo , ukishaona kabila lolote hawataki watoto wao wa kike waolewe na jamii nyingine wanaoana wao wa wao tuu ........????
 
Wahindi wako na biashara zao, wengine ni Professionals ( finance, accounts, ICT, medical etc). Hawahitaji favour kuwa waajiriwe kwenye taasisi za serikali.
 
Wahindi wako na biashara zao, wengine ni Professionals ( finance, accounts, ICT, medical etc). Hawahitaji favour kuwa waajiriwe kwenye taasisi za serikali.
Lakini kwenye siasa wapo kwasababu zinalipa na teuzi wanataka.
 
Ticha wangu mmoja mzushi mzushi wa advanced biology alikuwa anamtaja sana huyu Prof.Pratap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…