Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Acha Ujinga wewe.

Kuanzia mwanzo Hadi ufunuo, maria hajapewa mamlaka yoyote, ni mfuasi na mwanafunzi wa Yesu mtiifu.

Acheni uchawi wa kujaribu kumchagua Mariam aliyemzaa Yesu ambaye alimtii Na kumpenda na kumwamini Mungu.
Mjinga ni wewe uliekaza fuvu. Hujui lolote. Kampa Mungu mwili wa kibinadamu unadhani upo sawa nae? Uliza ufundishwe. Kiburi sifa ya shetani.
 
Ndiyo mkuu,mimi sio mtaalamu sana wa lugha ila kiroho yesu sio issa.katika utambulisho wa lugha ya kiswahili yesu anajulikana kama yesu tu na sio issa.
Kwahiyo kwa lugha yetu ya kiswahili kama ukiomba kwa jina la issa basi ina maana ya kitu kingine kabisa
Katika mathayo anasema "lolote mtakalolifunga/kukubaliana hapa duniani kwa ajili ya jina langu basi hata mbinguni limefungwa/limekubalika.
Sasa makubaliano ya jamii ya kitanzania au east africa kwa kiswahili yesu tunamwita yesu.ndo makubaliano yetu na mbinguni inajulikana hivyo na imefungwa hivyo.ukiomba tofauti basi utakutana na kitu kingine
Mimi nadhani kama mazingatio yangekuwa kwenye jina basi lingekuwa jina moja tu ila kuna majina mengi ila yote yamemkusudia mmoja, ndio maana nashangaa vp mtu akiamua kutumia jina la Isa ila akimkusudia Yesu huyo huyo unayemuamini wewe iwe shida?
 
Shida utaona namna anavyoshindwa kulink up na hiyo nguvu ya jina la yesu.

Biblia inasema "mungu wetu ni mungu wa utaratibu"
Tunafata oda
 
Mjinga ni wewe uliekaza fuvu. Hujui lolote. Kampa Mungu mwili wa kibinadamu unadhani upo sawa nae? Uliza ufundishwe. Kiburi sifa ya shetani.
Huo mwili wa Yesu uko wapi?

Ulizikwa wapi?

Alifufuka na mwili wake, akapaa nao Mbinguni, sasa Mungu muweza wa yote ashindwe vipi kuvaa mwili na kuonekana kama mwanadamu?

Kumbuka, matusi hayajibiwi,

Karibu Kwa HOJA.
 
Wapo wamwaminio Yesu ndani ya uislamu na wamebaki huko na wanafanya Ibada ya Kweli kiroho na wapo huko, Mungu kawaficha huko huko.
Sasa hao si waislamu, hivi mkuu mfano ukute mtu anaabudu mizimu ndiko anakoamini kabisa halafu akakwambia yeye ni mkristo inawezekana kweli hiyo? Huo ukristo wake hapo ni nini?
 
Mjinga ni wewe uliekaza fuvu. Hujui lolote. Kampa Mungu mwili wa kibinadamu unadhani upo sawa nae? Uliza ufundishwe. Kiburi sifa ya shetani.
Usitumie lugha ngumu.
Umbo la Binadamu ndio umbo bora kabisa na limeumbwa kwa mfano wa Mungu Mwenyewe.

Kama Mungu aliwahi kumtokea Nabii Musa kwa umbo la Kijinga cha Moto unaowaka.
Kwanini asimtokee Binadamu kwa umbo bora la mfano wake mwenyewe.
Kwa taarifa yako viumbe wote ulimwenguni vikiwepo visivyo onekana na hata Malaika, wanalitamani na kukistajaabia umbo bora la Binadamu.

Ukipata muda soma Kitabu cha Mwanzo 18 anza na Aya ya kwanza na kuendelea. Utaona namna Mungu anavyo lipenda umbo la Binadamu
 
Sasa hao si waislamu, hivi mkuu mfano ukute mtu anaabudu mizimu ndiko anakoamini kabisa halafu akakwambia yeye ni mkristo inawezekana kweli hiyo? Huo ukristo wake hapo ni nini?
Sasa ikiwa unaabudu Mizimu na haikupi solution ya MAISHA Yako kulinganishwa na kutumia Jina la YESU,

Solution hapo ni kuachana na Ibada ya Mizimu na kupanda ngazi na kutumia Jina lenye mamlaka kupita Majina yote Mbinguni na duniani.

Nadhani huo ndio ujanja.

Wote tumfuate Yesu na kutumia Jina lake kutatua changamoto zote kiroho, kiuchumi, kisiasa, Kijamii nk nk.

Ubarikiwe 🙏
 
Shida utaona namna anavyoshindwa kulink up na hiyo nguvu ya jina la yesu.

Biblia inasema "mungu wetu ni mungu wa utaratibu"
Tunafata oda
Kwani kuna aliyewahi kujaribu kufanya hicho nilichosema ikashindikana? Vp ikiwa watu wamekariri tu Yesu na Jesus ila kumbe unaweza ukatumia jina lengine ila ukakusudia Yesu kwa imani na ikatendeka miujiza?
 
HAhahahahhaah bado unataka kutapeli uliingia kwa masheikh ukaona hawatoi majini ukosefu wa elimu na maarifa ndio unao waponza wafuasi wenu! Kiongozi. Na usifikiri kila mtu ni mpiga kelele narudia sio kila mtu ni mpiga kelele kama kichaa
Shehe yupi anatoa majini?

Na anatumia mamlaka ya Jina lipi?

Allah au Yesu?

Ukiweza tupia na video tuone🙏
 
Sasa ikiwa unaabudu Mizimu na haikupi solution ya MAISHA Yako kulinganishwa na kutumia Jina la YESU,

Solution hapo ni kuachana na Ibada ya Mizimu na kupanda ngazi na kutumia Jina lenye mamlaka kupita Majina yote Mbinguni na duniani.

Nadhani huo ndio ujanja.

Wote tumfuate Yesu na kutumia Jina lake kutatua changamoto zote kiroho, kiuchumi, kisiasa, Kijamii nk nk.

Ubarikiwe 🙏
Mkuu solution za kutatua changamoto ziko nyingi hutofautiana na watu na taratibu zao bila kujali ni nzuri au mbaya halali au si halali.

Hivi kwanini haisemwi kuwa ni majina yenye mamlaka au miujiza ila inasemwa kuwa jina lenye mamlaka/miujiza wakati yapo zaidi ya moja?
 
Jina la Mungu Mmoja muumba wa Mbingu na Nchi ni Yesu .

Sasa Majina mengine ya miungu ya nn?
 
Salaam, shalom!!

Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.

Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!

Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?

Karibuni🙏
Hivi ulitegemea kuona shehe anatumia jina la Yesu kutoa mapepo kweli, mbona una akili ndogo hivo? kabla ya hapo ushawahi kuona Pastor anatoa mapepo kwa kusoma Quran? au hilo tu ndo haliwezekani?

Mi siamini kama akili zako ni ndogo kiasi hicho kamanda, itakuwa chuki tu dhidi ya Uislamu ndo inayo kusumbua.

Sasa chukua hii kamanda, kuna pastor mmoja alikuwa anakemea mapepo kanisani kwake then ikifika jioni yeye mwenyewe anaenda kusomewa kwa mashekhe wamtoe mashetani, na hii sio utani ni ukweli kabisa!!!! nenda kwa Shekhe Nduli pale Ilala watakupa detail zote.

We kalia chuki na ujinga tu wakati mnafanywa mtaji na wajanja.
 
Matusi hayajibiwi 🙏

Nitajie Jina la shehe atoaye mapepo Ili nimletee watu wenye mapepo ayafukuze Kwa Jina la Allah au Mudi!!
 
Si nimekutajia jina hapo kamanda, wapo wengi sana, anza na huyo Shekhe Mohammed Nduli, nenda msikiti wa bungoni kamuulizie. Nenda ukatibiwe na upewe na elimu

Halafu uje ulete mrejesho hapa
 
Weka video tafadhali 🙏

Ana U-Tube channel nione huduma yake?
 
Si nimekutajia jina hapo kamanda, wapo wengi sana, anza na huyo Shekhe Mohammed Nduli, nenda msikiti wa bungoni kamuulizie. Nenda ukatibiwe na upewe na elimu

Halafu uje ulete mrejesho hapa
Nimeangalia channel yake u tube, hajaweza Kutoa hata kitoto Cha Pepo.

Labda ulete video hiyo 🙏
 
Back
Top Bottom