Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

aloo ww jamaa BABA ni jina? ama kiwakilishi cha jina?

kama ni kiwakilishi cha jina jina lenyewe ni nani?
biblia inasemaa jina la MUngu ni yesu kristo
Neno Baba katika kiswahili ni Jina au sio Jina?
 
Mapepo ndio kitu gani?
 
amina
 
upo sahihi kabisaaaa.
 
Wakolosai 1:26-28
[26]siri ile iliyofichwa tangu zamani zote na tangu vizazi vyote, bali sasa imefunuliwa kwa watakatifu wake;
Even the mystery which hath been hid from ages and from generations, but now is made manifest to his saints:
[27]ambao Mungu alipenda kuwajulisha jinsi ulivyo utajiri wa utukufu wa siri hii katika Mataifa, nao ni Kristo ndani yenu, tumaini la utukufu
To whom God would make known what is the riches of the glory of this mystery among the Gentiles; which is Christ in you, the hope of glory:
[28]ambaye sisi tunamhubiri habari zake tukimwonya kila mtu, na kumfundisha kila mtu katika hekima yote, tupate kumleta kila mtu mtimilifu katika Kristo.
Whom we preach, warning every man, and teaching every man in all wisdom; that we may present every man perfect in Christ Jesus:
 
Matendo ya Mitume 4:12
[12]Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.
Neither is there salvation in any other: for there is none other name under heaven given among men, whereby we must be saved.
 
Amen, ubarikiwe πŸ™
 
Not only under heaven,

Kila goti litapigwa Mbinguni na duniani na Kila ulimi utakiri Yesu ni BWANA Kwa utukufu wa Mungu baba.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Not only under heaven,

Kila goti litapigwa Mbinguni na duniani na Kila ulimi utajiri Yesu ni BWANA Kwa utukufu wa Mungu baba.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
mungu akubariki sana .
upo sahihi kabisa kabisa
 
Not only under heaven,

Kila goti litapigwa Mbinguni na duniani na Kila ulimi utakiri Yesu ni BWANA Kwa utukufu wa Mungu baba.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen

ndio biblia inasema KUMJUA YESU NI NANI UNA UZIMA
 
Miaka na miaka tunaona shuhuda za kupona presha,ukimwi,ulemavu baada ya kuombewa,unaandika utoko gani hapa!?
 
Ili jina la Yesu ndo tulilopewa kutuokoa kutukomboa kututoa katika maangamizi ya adui ili jina lina nguvu pia na damu ya Yesu ina nguvu sana πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…