Ni mara chache sana kukutana na msomi ukamuuliza habari za Kemet akakujibu kwa ufasaha. Hii inaonesha ni kwa kiasi gani knowledge ya Kemet iliyofichwa hasa hasa kwa waafrika ili kutodhihilisha ukuu wa mtu mweusi katika hii dunia.
Waafrika weusi wa Kemet walikuwa wamekwisha gundua kila kitu katika dunia hii yaani kuanzia technology, dini, matibabu, ujenzi, n.k.
Yaani civilization ya Kemet ilipokuwa imefikia hadi sasa bado hatujafika hata kidogo. Mfano mdogo ni ujenzi wa pyramid zilizojengwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita, kwa sasa hakuna technology ambayo inaweza kueleza jinsi pyramid hizo zilivyo jengwa.
Wazungu wanatuambia kwamba Pythogorus ndiye aligundua Trignomotric wakati pyramid zimejengwa kabla ya Pythogorus na zimejengwa kwa kutumia hesabu za Trig.
Ukija kwenye dini hapo ndo kabisa unaona ni jinsi gani uyahudi, ukiristo na uislam walivyo iba imani za weusi na kutengeneza dini zao. Kila dini inamtaja Amen ambaye alikuwa Mungu mkuu kwenye list ya Mungu wa Kemet wao wanamuita Amun-Ra.
Na ukiristo una utatu mtakatifu yaan baba mwana na roho mtakatifu. Haina tofauti na Osiris, Isis na Horus. Ukiangalia sifa za Horus hazipishani sana na sifa za Jesus. Maat ndo amri 42 za Kemet ambazo katika amri 10 tunazozikuta kwenye biblia na quran zimetolewa mle.
Tutaokoa vizazi vyetu kama tukiweza kuwafundisha kuhusu habari za Kemet. Maana hapo ndipo historia kuu ya mtu mweusi imefichwa. Historia ya mtu mweusi haijaanza baada ya kuja wakoloni Afrika bali tulikuwa na historia yetu nzuri kabla ya ukoloni.