Ni kwanini KEMET haipewi heshima yake katika ulimwengu huu?

Ni mara chache sana kukutana na msomi ukamuuliza habari za Kemet akakujibu kwa ufasaha. Hii inaonesha ni kwa kiasi gani knowledge ya Kemet iliyofichwa hasa hasa kwa waafrika ili kutodhihilisha ukuu wa mtu mweusi katika hii dunia.

Waafrika weusi wa Kemet walikuwa wamekwisha gundua kila kitu katika dunia hii yaani kuanzia technology, dini, matibabu, ujenzi, n.k.

Yaani civilization ya Kemet ilipokuwa imefikia hadi sasa bado hatujafika hata kidogo. Mfano mdogo ni ujenzi wa pyramid zilizojengwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita, kwa sasa hakuna technology ambayo inaweza kueleza jinsi pyramid hizo zilivyo jengwa.

Wazungu wanatuambia kwamba Pythogorus ndiye aligundua Trignomotric wakati pyramid zimejengwa kabla ya Pythogorus na zimejengwa kwa kutumia hesabu za Trig.

Ukija kwenye dini hapo ndo kabisa unaona ni jinsi gani uyahudi, ukiristo na uislam walivyo iba imani za weusi na kutengeneza dini zao. Kila dini inamtaja Amen ambaye alikuwa Mungu mkuu kwenye list ya Mungu wa Kemet wao wanamuita Amun-Ra.

Na ukiristo una utatu mtakatifu yaan baba mwana na roho mtakatifu. Haina tofauti na Osiris, Isis na Horus. Ukiangalia sifa za Horus hazipishani sana na sifa za Jesus. Maat ndo amri 42 za Kemet ambazo katika amri 10 tunazozikuta kwenye biblia na quran zimetolewa mle.

Tutaokoa vizazi vyetu kama tukiweza kuwafundisha kuhusu habari za Kemet. Maana hapo ndipo historia kuu ya mtu mweusi imefichwa. Historia ya mtu mweusi haijaanza baada ya kuja wakoloni Afrika bali tulikuwa na historia yetu nzuri kabla ya ukoloni.
Bila picha Uzi huu ni batili in JPM voice...🤓🤓🤓🤓
 
Jina Kemet limetokana na neno Khem, Kham, Ham. Yule Ham mtoto wa Nuhu. Ham maana yake mweusi. So Kemet maana yake nchi ya watu weusi.
Lakin si iliandikwa kwamba Ham mtu mweusi angetawaliwa na shem ( waarabu) na yafeth Mtu mweupe.

So ukiangalia utaona ni mwendelezo wa alichotamkiwa mweus na babaye.

Nadhan tungeangalia zaid namna ya kujikomboa toka hapo. Na kutengeneza makosa yale yaliyofanywa na Ancestor wetu. Ya kuangalia utupu wa babaye na kucheka.

Ila pia hao shem na yafeth nao wamemkataa Mungu muumba peupe. So ameamua kuja akishukia kwetu badala ya kwao. Wao wamebaki tu kama jina. Ila saa hii hawana tena jipya. Wanachofanya ni kutaka kututumia maana wanajua tuna Uhai na Mungu yuko kwetu.
 
Neno "Kemeti" linamaanisha "Nchi ya Nyeusi" au "Nchi ya Misri" katika lugha ya kale ya Misri. Katika muktadha wa kihistoria, "Kemeti" ilikuwa ni jina la kale kwa ajili ya taifa la Misri, ambalo lina sifa ya kuwa na utamaduni tajiri wa kihistoria, ikiwa ni pamoja na maendeleo ya maandishi, dini, ufalme, ujenzi wa majengo ya kifahari na ustaarabu wa kilimo. Pia, jina hilo linatumiwa mara nyingine kuelezea utamaduni wa zamani wa Misri kabla ya uvamizi wa Wagiriki na Warumi.
Lakini Misri,algeria, morocco,libya, Tunisia,si weusi wanaitwa waafrika KWA maana ya jiografia tu.
 
Kemeti illitwa nchi ya weusi kwa nyakati zile sababu ya Maendeleo ya technology kushindwa kubaini maeneo mengine ya afrika yaliyokuwa na watu, hayakuwa na muingiliano na Jamii ya watu weupe zama hizo, ambapo dola la rumi na ugiriki ndio yalikuwa SAwa na USA ya sasa. Kemeti ni eneo la Misri na sio kiwakilishi cha afrika yote.
 
Lakin si iliandikwa kwamba Ham mtu mweusi angetawaliwa na shem ( waarabu) na yafeth Mtu mweupe.

So ukiangalia utaona ni mwendelezo wa alichotamkiwa mweus na babaye.

Nadhan tungeangalia zaid namna ya kujikomboa toka hapo. Na kutengeneza makosa yale yaliyofanywa na Ancestor wetu. Ya kuangalia utupu wa babaye na kucheka.

Ila pia hao shem na yafeth nao wamemkataa Mungu muumba peupe. So ameamua kuja akishukia kwetu badala ya kwao. Wao wamebaki tu kama jina. Ila saa hii hawana tena jipya. Wanachofanya ni kutaka kututumia maana wanajua tuna Uhai na Mungu yuko kwetu.
Haikuandikwa Ham, iliandikwa Kaanani, mwana mkubwa wa Ham.
 
Lakin si iliandikwa kwamba Ham mtu mweusi angetawaliwa na shem ( waarabu) na yafeth Mtu mweupe.

So ukiangalia utaona ni mwendelezo wa alichotamkiwa mweus na babaye.

Nadhan tungeangalia zaid namna ya kujikomboa toka hapo. Na kutengeneza makosa yale yaliyofanywa na Ancestor wetu. Ya kuangalia utupu wa babaye na kucheka.

Ila pia hao shem na yafeth nao wamemkataa Mungu muumba peupe. So ameamua kuja akishukia kwetu badala ya kwao. Wao wamebaki tu kama jina. Ila saa hii hawana tena jipya. Wanachofanya ni kutaka kututumia maana wanajua tuna Uhai na Mungu yuko kwetu.
Amen amen!
 
Nimekuelewa kiroho zaidi!! huu ni ufunuo mkubwa!! Wazungu hawana tena uhusiano mzuri na Mungu.
 
Back
Top Bottom