Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Dunia ipo hivyo kama unavyoona misimu tofauti, tawala zinakuja na kuondoka naturallySawa mkuu lakini dah ni ngumu kuingia akilini kuwa Walikuwa na kila kitu lakini wakavamiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia ipo hivyo kama unavyoona misimu tofauti, tawala zinakuja na kuondoka naturallySawa mkuu lakini dah ni ngumu kuingia akilini kuwa Walikuwa na kila kitu lakini wakavamiwa
Na wagiriki waliangushwa na warumi waliokua washamba zaidi yao,,,, hata kemet iliangushwa na wagiriki walipopewa maarifa toka hukohuko kemet............... Hawa wazungu wasingekua hivi leo bila kemet.. Babu zao wagiriki walifunzwa kemet na wao wakawafunza warumi,, warumi wakawafunza wazungu wengine waliowatawala halafu wakaja Africa kutuletea dini ambazo maarifa yalitokea huku sema waka edit baadhi ya mamboRahisi sana. Hata Roma iliangushwa na washenzi hawajui hata kuoga.
Ni shidaa, labda tutafute ndugu zetu walipo au labda walienda sayari nyingine lakin hizi black species zilizo baki ni fake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna aborigians,kuna ethiops(ethiopia) halafu kuna hizi KURUTA ZA BANTU ambazo ndizo zilitumika kuzalisha hizo race2 na hizi bantu ndio ziko jirani sana na tabia za wanyama kama NYANI.
Sasa mzungu aliwezaje kumzima mtu ambae alikua juu zaidi kwa kila kitu hv hiz akili zenu zina akili kweli?Wazungu walishangaa sana kuona kuwa civilisationa kubwa kama Misri ilianzishwa na mtu mweusi. Na kuwa mtu mweusi ni chimbuko la ustaarabu na elimu duniani. Yaani mtu ambaye ni mtumwa wao! ili kumzima kisaikolojia ikabidi walete stori nyingi za uongo na kutunga ili kumdidimiza mtu mweusi kifikra. Na bora mtu akudidimize kiuchumi unaweza kuinuka, lakini akikudidimiza kifikra kuwa hakuna unachojua au kuweza anakuwa amekumaliza kabisa.
Leo mtu mweusi kujifunza historia ya Misri ya kale na mambo ambayo babu zake walitimiza ni muhimu sana katika kumkomboa kifikra.
Ww una uhakika gani wamecoppy je ulikuwepo hizo enzi za kemet?Kaka acha tu Yani .Dah! Hata vumbuzi zilizofanyika Kemet wanapewa credit wazungu kumbe zimetoka kule inasikitisha sana. Wanasayansi wote wa masuala ya umeme wamekopi kule Kemet.
Tesla , Volta wote wamekopi kule!
Mambo ya ukristo na taifa teule moja tu la Mungu yameenea Dunia nzima.Sasa hayo si Mambo ya misri mikuu.nikajuq ilikua ni africa nzima
Ila ww hujielewi tu sasa waliwezaje kuwamaliza ikiwa watu weusi walikua juu kwa kila kitu? Kwnn mtu mweusi alikubali kumalizwa kwnn asingewamaliza hao waliommaliza ikiwa yeye alikua juu yake kwa kila kitu?Utavumbua nini wakati washatumaliza kila kitu. Tumeletewa mfumo wa elimu unaotufanya tukariri tu! utavumbua nini kwa style hiyo?
Hiyo ni hoja ambayo hutolewa na watu wenye uelewa finyu. Ni kama wale wanaouliza, "Kama binadamu katokana na sokwe, mbona leo sokwe hawabadiliki kuwa watu?" Bahati mbaya huwa wanajiona wametoa hoja ya maana sana kumbe wanafunua umbumbumbu wao.Sasa mzungu aliwezaje kumzima mtu ambae alikua juu zaidi kwa kila kitu hv hiz akili zenu zina akili kweli?
Ila ww hujielewi tu sasa waliwezaje kuwamaliza ikiwa watu weusi walikua juu kwa kila kitu? Kwnn mtu mweusi alikubali kumalizwa kwnn asingewamaliza hao waliommaliza ikiwa yeye alikua juu yake kwa kila kitu?
Hayo maswali unayouliza nende kasome history utaelewa, acha uvivu.Ila ww hujielewi tu sasa waliwezaje kuwamaliza ikiwa watu weusi walikua juu kwa kila kitu? Kwnn mtu mweusi alikubali kumalizwa kwnn asingewamaliza hao waliommaliza ikiwa yeye alikua juu yake kwa kila kitu?