Ni kwanini KEMET haipewi heshima yake katika ulimwengu huu?

Bila picha Uzi huu ni batili in JPM voice...🤓🤓🤓🤓
 
Jina Kemet limetokana na neno Khem, Kham, Ham. Yule Ham mtoto wa Nuhu. Ham maana yake mweusi. So Kemet maana yake nchi ya watu weusi.
Lakin si iliandikwa kwamba Ham mtu mweusi angetawaliwa na shem ( waarabu) na yafeth Mtu mweupe.

So ukiangalia utaona ni mwendelezo wa alichotamkiwa mweus na babaye.

Nadhan tungeangalia zaid namna ya kujikomboa toka hapo. Na kutengeneza makosa yale yaliyofanywa na Ancestor wetu. Ya kuangalia utupu wa babaye na kucheka.

Ila pia hao shem na yafeth nao wamemkataa Mungu muumba peupe. So ameamua kuja akishukia kwetu badala ya kwao. Wao wamebaki tu kama jina. Ila saa hii hawana tena jipya. Wanachofanya ni kutaka kututumia maana wanajua tuna Uhai na Mungu yuko kwetu.
 
Lakini Misri,algeria, morocco,libya, Tunisia,si weusi wanaitwa waafrika KWA maana ya jiografia tu.
 
Kemeti illitwa nchi ya weusi kwa nyakati zile sababu ya Maendeleo ya technology kushindwa kubaini maeneo mengine ya afrika yaliyokuwa na watu, hayakuwa na muingiliano na Jamii ya watu weupe zama hizo, ambapo dola la rumi na ugiriki ndio yalikuwa SAwa na USA ya sasa. Kemeti ni eneo la Misri na sio kiwakilishi cha afrika yote.
 
Haikuandikwa Ham, iliandikwa Kaanani, mwana mkubwa wa Ham.
 
Amen amen!
 
Nimekuelewa kiroho zaidi!! huu ni ufunuo mkubwa!! Wazungu hawana tena uhusiano mzuri na Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…