Ni kwanini KEMET haipewi heshima yake katika ulimwengu huu?

Hizi porojo hizi kama tulivumbua mambo makubwa kabla ya ukoloni na utumwa wa wazungu,sasa hv mbona hatuvumbui chochote?hata kukopy tunashindwa,tumeweza kukopy mahubiri ya kitapeli kama ya Mwamposa,na lusekelo,
 
VIPI KAMA STORY ILITENGENEZWA ILI KUMNYONG'ONYESHA MTU MWEUSI?
 
Hizi porojo hizi kama tulivumbua mambo makubwa kabla ya ukoloni na utumwa wa wazungu,sasa hv mbona hatuvumbui chochote?hata kukopy tunashindwa,tumeweza kukopy mahubiri ya kitapeli kama ya Mwamposa,na lusekelo,
Utavumbua nini wakati washatumaliza kila kitu. Tumeletewa mfumo wa elimu unaotufanya tukariri tu! utavumbua nini kwa style hiyo?
 
Kamwe heshima hauwezi pewa hiv hiv tu , heshima unajipa mwenyewe kwanza then watu wengne watakupa , kama haujip heshima hauwez pata heshima hiyo kemeti ndicho kilicho wakuta.
 
Copy paste
 
hao wavamizi watakua walikua wana teknolojia .wakawazidi kemet
 
Nan kakwamby wakristo wanapotaja amen wanamaanisha Mungu? Usipende kuchanganya madensa ya vitu isipovijua
 
Hapa nakubaliana na wewe kabisa ila nani yuko tayari kuanza tafiti za kina kuhusu mtu mweusi,historia yake kwanza kitamaduni ilikuwaje.Wanzungu wao wanaulinda sana utamaduni wao .
Na wanajua umuhimu wake kwa vizazi vilivyopita ,vilivyopo na vijavyo
 
Well said ndugu yangu, yaani sisi Waafrika bado tunayo hofu ya kuukubali na kuutetea uafrika wetu, bado tupo nyuma sana kwenye hii vita kuliko hata enzi za kina mkwawa na Wajerumani.
 
Wamisri wenyewe hawataki kuwanasabisha na weusi wa Africa,wanajuta suez canal kuwalwta afica ,sasa ya nini kujikomba kwao

wamisri wa sasa ni waarabu na mchanganyiko wa european lakini si wao waliojenga hayo ma pyramid!!…
Misri ilikua na technologia hyo chini ya mtu mweusi kabla ya uvamizi wa waarabu ya miaka ya 639AD
 
Nadhani mtoa mada alipaswa kuielezea kemet sawa na dhana ya Africa nzima na si misri pekee
Misri ya Zamani ilikuwa pamoja na sudani ya sasa ...na haikuwa na hawa waarabu ....hawa walikuwa watumwa Tu waliletwa huko misri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…