Ni kwanini KEMET haipewi heshima yake katika ulimwengu huu?

Kwa hiyo ni ya Waarabu, acha kujidhalilisha kwa ujinga wako tafuta maarifa wewe
nani atafute maarifa ww umeyapata wapi hayo maarifa kama sio udaku na uongo,misri ni sawa na shamba lililotelekezwa watu wakaja wakajitwalia tuu kama weusi mnaakili mbona mnafanya mambo kama manyani,ustaarabu hamna kazi kuigaiga uchafu nyie,shida nyie,ujinga ndo usiseme kazi kuletewa kila kitu hamna mnachobuni,mi sitaki kuamini kwamba eti akili mnazo ila mnashindwa kutumia [emoji1787][emoji1787] mi naona kabisa ni full uzumbukuku hakuna cha zaidi hapa .
 
race ya wafrica ziko kama 3 ivi
moja hsijulikan ilipo, walio baki ni vilaza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna aborigians,kuna ethiops(ethiopia) halafu kuna hizi KURUTA ZA BANTU ambazo ndizo zilitumika kuzalisha hizo race2 na hizi bantu ndio ziko jirani sana na tabia za wanyama kama NYANI.
 
wewe acha kudanganya watu hivi waarabu wanaweza kuwa watumwa??,au wanubia wa sudan ndiyo walikuwa watumwa?
Wewe ndo hujielewi
Waarabu walikuwa watumwa wa wanubi....nenda Ka Google Nubians History.....unashangaa waarabu mbona hao wagiriki walikuwa watumwa ....pia wa watu weusi ...

Unawajua Moors ?Moors walikuwa watawala wa Spain ...walikuwa watu weusi wenye pua za kibantu na walitawala hao unao waona wazungu...Leo ....
 
Mpaka wazungu wame give up kuificha history ya watu weusi huko Egypt sadly kuna mijitu mieusi bado inapinga history of greatness inayo wahusu
 
Sasa mkuu hukuona ulazima wa kuweka hiki kipande kwenye andiko lako kwani si wote tuliokuwa tukijua KEMET ni nini,

Asante kwa kuniongezea kitu kipya
 
Sasa hao wavamizi walikata vichwa vya hao wanKemet??
Mdau hapo anasema walifurumishiwa chini ya jangwa la sahara, sasa kwanini wasiendeleze tech zao?? Si akili wanazo.

Halafu mnavamiwaje na nyie mko njema kitech dunia nzima kwa wakati huo, ni sawa na vizazi vya baadae vya marekani ikishuka kiutawala ije kua kama Tz ya wanaoupiga mwingi, basi waje na vijisasabu kama hivi vya kuvamiwa, sijui kuvurugwa nk.

Dola za zamani zilizoanguka mbona hadi sasa ziko njema tu sio kama nchi nyingi za Africa, na ndo hizo zinatupa sisi misaada. Na sio kwamba eti hizo dola zilikua kubwa kama hizi za kiafrica za zamani zinazoandikwa vitabuni.

Halafu kwanini nyie ngozi nyeusi mnapenda sana kumtupia lawama mzungu?? Mlishindwa nini na nyie kumvamia.

Hivi inaingia akilini kweli, uko njema kwenye kila idara halafu unakuja kufurushwa na kudanganywa kipuuzi na mtu asie na kitu.
 
Jina Kemet limetokana na neno Khem, Kham, Ham. Yule Ham mtoto wa Nuhu. Ham maana yake mweusi. So Kemet maana yake nchi ya watu weusi.
Sasa kama tulikuwa na technology na vyote hivyo lakini mvamizi akatushinda basi yeye alikuwa bora zaidi ya hiyo Kemet. Au nasema uongo ndugu zangu
 
Kama tulikuwa bora kuliko wao sasa waliwezaje kutuvamia na kutufanya watumwa?
 
Sasa kama tulikuwa na technology na vyote hivyo lakini mvamizi akatushinda basi yeye alikuwa bora zaidi ya hiyo Kemet. Au nasema uongo ndugu zangu
Falme huinuka na kuporomoka. Wamongol leo wako wapi?
 
Wakati wa WWII Japan alimtawala China. Leo anaweza? Ukisoma historia hutashangaa falme kuinuka na kuanguka.
Sawa mkuu lakini dah ni ngumu kuingia akilini kuwa Walikuwa na kila kitu lakini wakavamiwa
 
Nimekuelewa kiroho zaidi!! huu ni ufunuo mkubwa!! Wazungu hawana tena uhusiano mzuri na Mungu.
Angalia kwa sasa wanavyokuja kujiweka karibu na watu weusi, wale wakina obama haikua bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…