Ni kwanini KEMET haipewi heshima yake katika ulimwengu huu?

Sawa mkuu lakini dah ni ngumu kuingia akilini kuwa Walikuwa na kila kitu lakini wakavamiwa
Dunia ipo hivyo kama unavyoona misimu tofauti, tawala zinakuja na kuondoka naturally
 
Rahisi sana. Hata Roma iliangushwa na washenzi hawajui hata kuoga.
Na wagiriki waliangushwa na warumi waliokua washamba zaidi yao,,,, hata kemet iliangushwa na wagiriki walipopewa maarifa toka hukohuko kemet............... Hawa wazungu wasingekua hivi leo bila kemet.. Babu zao wagiriki walifunzwa kemet na wao wakawafunza warumi,, warumi wakawafunza wazungu wengine waliowatawala halafu wakaja Africa kutuletea dini ambazo maarifa yalitokea huku sema waka edit baadhi ya mambo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna aborigians,kuna ethiops(ethiopia) halafu kuna hizi KURUTA ZA BANTU ambazo ndizo zilitumika kuzalisha hizo race2 na hizi bantu ndio ziko jirani sana na tabia za wanyama kama NYANI.
Ni shidaa, labda tutafute ndugu zetu walipo au labda walienda sayari nyingine lakin hizi black species zilizo baki ni fake
 
Sasa mzungu aliwezaje kumzima mtu ambae alikua juu zaidi kwa kila kitu hv hiz akili zenu zina akili kweli?
 
Kaka acha tu Yani .Dah! Hata vumbuzi zilizofanyika Kemet wanapewa credit wazungu kumbe zimetoka kule inasikitisha sana. Wanasayansi wote wa masuala ya umeme wamekopi kule Kemet.

Tesla , Volta wote wamekopi kule!
Ww una uhakika gani wamecoppy je ulikuwepo hizo enzi za kemet?
 
Utavumbua nini wakati washatumaliza kila kitu. Tumeletewa mfumo wa elimu unaotufanya tukariri tu! utavumbua nini kwa style hiyo?
Ila ww hujielewi tu sasa waliwezaje kuwamaliza ikiwa watu weusi walikua juu kwa kila kitu? Kwnn mtu mweusi alikubali kumalizwa kwnn asingewamaliza hao waliommaliza ikiwa yeye alikua juu yake kwa kila kitu?
 
Sasa mzungu aliwezaje kumzima mtu ambae alikua juu zaidi kwa kila kitu hv hiz akili zenu zina akili kweli?
Hiyo ni hoja ambayo hutolewa na watu wenye uelewa finyu. Ni kama wale wanaouliza, "Kama binadamu katokana na sokwe, mbona leo sokwe hawabadiliki kuwa watu?" Bahati mbaya huwa wanajiona wametoa hoja ya maana sana kumbe wanafunua umbumbumbu wao.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…