Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Obasanjo ni mwanademokrasiaJibu ni hiyo user name yako.
Acha ukiazi mbatata weweWala hukuelewa nili
Wala hukuelewa nilichoongea asikiaye na afahamu acha kudandia gari kwa mbele.
Hata kama...haikupi guarantee ya kumtania mzee na aliyewahi kuwa kiongozi wa kitaifa. Mambo ya wanawake yapo kila mahali duniani refer Monica Lewinsky wa USA.Vijana wa JF bwana mnapigana jeki naona
Sasa unadhani huyo mama hakusema kuwa ni mke wa Olisegun au??
Au mlikua hamfwatilii bado maswala ya nchi ndo mmeanza juzi???
Halafu mnajua umri wa Sky Eclat ???
Wengine humu wanamtania Obasanjo ndo rika lao......kaeni kwa kutulia
NB: Hata mimi nilimshuhudia huyo maza akilalamika. Na anakaa mbezi beach mpaka leo hii yupo Tanzania hii
Hakuna sehemu alipotaniwa. Kasema kuna mama alisema ni mkewake ila kwenye listi ya wake wa Babu hayupoHata kama...haikupi guarantee ya kumtania mzee na aliyewahi kuwa kiongozi wa kitaifa. Mambo ya wanawake yapo kila mahali duniani refer Monica Lewinsky wa USA.
Nikukumbushe tu utani wa idris sultan ulipomfikisha.
Tujifunze kuwa na kiasi kwa kila jambo.
Obasanjo havai soksi kuna shida mahaliView attachment 1772376
FisadiKuu
huenda madereva wa Dangote sasa wakalipwa, hapo hakuna kudhulumiwa, labda na makaa ya mawe mchuchuma na gasi vikatolewa kwa punguzo ili uendeshaji kiwanda uwe nafuu
Obasanjo ni broker wa siasa na uchumi kwa nchi ya nigeriaWasalaam Wakuu,
Hivi ni kwanini kila kunapotokea changamoto/mgogoro kwenye kiwanda cha Dangote Cement Mtwara basi ndani ya siku chache tu lazima Rais Mstaafu wa Nigeria Obasanjo atue nchini na kuzungumza na Mkuu wa Nchi?
Ilitokea hili mara mbili wakati wa Rais Hayati Magufuli, na hivi majuzi badala ya mgogoro wa kiwanda na madereva nasikia leo hii Obasanjo ameonana na kufanya mazungumzo na Rais Mama Samia.
Kuna nini nyuma ya pazia Kati ya Dangote Group na Obasanjo?
Ndivyo unavyoamini ww mzembeObasanjo ni mwanademokrasia
Hivi unaijua historia ya ObasanjoNdivyo unavyoamini ww mzembe
Niliwahi kusoma somewhere makala inayomhusu Mzee Olusegun na maisha yake baada ya kustaafu kwamba he's ready to go anywhere, to meet anyone, to talk anything provided that you've met his fee!Wasalaam Wakuu,
Hivi ni kwanini kila kunapotokea changamoto/mgogoro kwenye kiwanda cha Dangote Cement Mtwara basi ndani ya siku chache tu lazima Rais Mstaafu wa Nigeria Obasanjo atue nchini na kuzungumza na Mkuu wa Nchi?
Ilitokea hili mara mbili wakati wa Rais Hayati Magufuli, na hivi majuzi badala ya mgogoro wa kiwanda na madereva nasikia leo hii Obasanjo ameonana na kufanya mazungumzo na Rais Mama Samia.
Kuna nini nyuma ya pazia Kati ya Dangote Group na Obasanjo?
Amevaa sandals mkuu hahitaji soksiObasanjo havai soksi kuna shida mahali
Obasanjo alishapata kesi ya kutafuna mke wa mwanawe wa kumzaaNinakumbuka awamu ya nne kuna mama Mtanzania alisema yeye ni mke wa Mzee Obasanjo na alitapeliwa kiwanja wakati anataka kuwekeza Tanzania.
Lakini katika profile ya Obasanjo hakuna maelezo ya kuwa na mke Mtanzania. Inawezekana mama ni mpango wa kando.
Huyu mzee ni shemeji yetu.
Ukishakuwa mtu mzima hivyo viatu binasumbua miguu...inavimba shida nini ? Unataka avae buti kabisa na kamba zake ? Hao wazee wanakuwa washauri tu sasa wanakula maisha...Amevaa sandals mkuu hahitaji soksi
Hapo ndiyo ujuwe ufisadi Africa hautakwisha kwa mtindo huo!!Matajiri wengi huwa wanawapa hisa au vyeo Marais wastaafu au mawaziri wakuu kwa mambo kama haya na pia kampuni kuaminika zaidi.
Jambo la kawaida sana wakubwa kuwa Directors.
Acha kumtisha mwenzako afterall mtu anatumia fake ID bado unamuandama kwa vitisho, au wewe ni mama yake na huyo mama mchepuko wa obasanjo?Hata kama...haikupi guarantee ya kumtania mzee na aliyewahi kuwa kiongozi wa kitaifa. Mambo ya wanawake yapo kila mahali duniani refer Monica Lewinsky wa USA.
Nikukumbushe tu utani wa idris sultan ulipomfikisha.
Tujifunze kuwa na kiasi kwa kila jambo.
Ninakumbuka awamu ya nne kuna mama Mtanzania alisema yeye ni mke wa Mzee Obasanjo na alitapeliwa kiwanja wakati anataka kuwekeza Tanzania.
Lakini katika profile ya Obasanjo hakuna maelezo ya kuwa na mke Mtanzania. Inawezekana mama ni mpango wa kando.
Huyu mzee ni shemeji yetu.
Sisi tumeshindwa kukuza vyaketu hata ndani,wenzetu wanavuka mipaka kwa usaidizi wa serikali zao,siku tukiamka usingizini wenzetu wanakula cha mchana kama sii cha jioni.Hapo unatakiwa kuelewa wenzetu ni majasusi wa kiuchumi!
Unaweza dhani Dangote ndo mwenye kiwanda kumbe serikali ya Nigeria ndo inamiliki hivyo viwanda,
Unaweza kuta Dangote ni share holder tu!
dangote arudi mjini mambo yapendeze