Ni kwanini kitabu cha Henoko kilifichwa/ kiliondolewa kwenye Biblia? Je, ilikuwa ni mpango wa shetani??*

Sasa kama tunaambiwa vitabu vilivyo kwenye biblia viliandikwa na walioviandika huku wakiongozwa na roho mtakatifu iweje vitabu vingine viondolewe? Vyenyewe waandishi wake hawakuongozwa na roho mtakatifu hadi vionekane havifai na vina maelezo ya kujichanganya ndani yake? Kwanza hata hivyo vilivyobaki kuna sehemu vinajichanganya na kuchanganya watu.
 

Vitabu havijavichwa Ila upatikanaji wake tu .

Kuna Vitabu havipo Amazon wala sehemu yoyote ile .

Hasa hivi vya kiroho .

Then MTU akiwa anataka kusoma vitabu vya kiroho na awe na nguvu fulani

Asiishie kusoma vitabu maarufu Kama bible , Enoch .

Kuna vitabu vuzuri vinasaidia Sana kujifunza mambo ya kiroho.

Ikiwemo maswala ya kuongea au kuwaita ancestors wako n.k pale unapokuwa na maswali Ila hauna majibu.
 
Kuwekwa kando na kupewa majina mabaya kuwa sio vitabu vizuri ndio kufichwa kwenyewe huko , mtu wa imani ukimwambia hivyo nikama umeshamficha moja kwa moja kwa sababu kazi yake ni kuamini tu.
 
Asante, unaongea na wazee wa nini mkuu
 
Ila wewπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aliyewafundisha watu uchawi ni Semjaza ambaye ndiye aliyekuwa kiongozi wa fallen angels

Huyu mwamba (Semjaza) aliwapiga sound kwanza mabinti wa binadamu na akawaambia wazi kuwa hiki tunachoenda kukifanya ni dhimbi si sijui tufanyeje

Wale mabinti walivyo wajinga wakawa wa kwanza kutoa solution nini cha kufanya.Wakawaambia wale malaika wale kiapo nao ili wapigwe pumbu

Baada ya kiapo hicho kila malaika akachagua pisi yake na kuanza kula mzigo. Baada ya muda mrefu wale mademu walizaa watoto ambao ni wanefili. Kumbuka kiongozi wa hawa malaika wapotofu alikuwa yule mwamba niliyemtaja ,yeye aliwaongoza wengine na alikuwa na ujuzi wa uchawi . Baada ya Semjaza kulikuwa na viongozi wengine ambao na wao walikuwa ujuzi mbalimbali ,kiukweli ni stori ndefu sana

Hii ni kwa mujibu wa Henoko
 
Soma Injili Mt. Luka 1:1 -3 utaelewa.
 
Wewe kama unataka kudakwa utapeli ondoa haraka hiyo namba yako kujitia unauza kitabu cha henoko hicho kitabu mtandaoni ni bure hujipendi au? Hilo namba la simu lako katupe jalalani bwege wewe

Haibiwi mtu humu
Download mtandaoni
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Hi
Wewe kama unataka kudakwa utapeli ondoa haraka hiyo namba yako kujitia unauza kitabu cha henoko hicho kitabu mtandaoni ni bure hujipendi au? Hilo namba la simu lako katupe jalalani bwege wewe

Haibiwi mtu humu
Hicho cha mtandaoni kimetafsiriwa na George Lukindo??????
Kama siye Basi ndelea nacho hicho acha na wengine watoe tafsiri zao. Hata Biblia ilitafsiriwa na watu wengi
 
Nadhani waliotutangulia katika imani
 
Ukweli ni kuwa mtu aba haki ya kufanya tafsiri yake. Hata Biblia ilitafsiriwa na watu wengi na bado inauzwa. Na mtandaoni ipo

Safi sana mkuu , kwenye hiki nimezingatia hili ila biashara ya ndugu yetu inaweza endelea kwa sababu kila mtu anaweza kuwa na tafsiri yake
Na
 
Hat
Matapeli naona mnajitadi kuungana mkono wezi nyie kitabu cha Henoko ni free mtandaoni

Bwege wewe kawa tapeli wengine sio jamii forums
Hata Biblia ipo mtandaoni na bado inauzwa mpk leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…