Ni kwanini makapenta (Mafundi Seremala) wengi wao ni matapeli?

Ni kwanini makapenta (Mafundi Seremala) wengi wao ni matapeli?

Habari za mchana na habari za jioni!

Kuna fundi nilimpa Hela anitengenezee kitanda cha mbao za kenfa nilizozipata kwa shida.

Yapata Sasa mwaka kitanda bado na Hela kala na mbao zangu Katengenezea kitanda kingine kauza 😔.

Nimeenda kumshitaki kajitetea atanitengenezea kitanda kingine, ila Katengeneza kitanda na mbao ambazo sio za kenfa.

Mi nimegoma kupokea hicho kitanda, tumeenda Tena mbele kwa mbele nikaambiwa nimpe gharama za mbao za kenfa na hela ya kitanda niliyompa anilipe.

Zile mbao za kenfa zilinigharimu 2.5ml kwasababu ya kibali chake kuwa ni cha shida yaani hawatoi kabisa.
Sasa huyu kapenta amegoma katakata na mtaani haonekani Tena.

Mimi ujumbe wangu ni huu jasho la mtu haliendi Bure Bure, utataga tu muda ukifika.

Tuweni makini na hawa matapeli jamani, mtu unachukua kazi nyingi kuzidi uwezo wako was kuzihudumia. 🤬
Kenfa uliitoa Upareni au Lushoto?
 
Samahani mkuu mbao za kenfa zipoje? Ndio nazisikia leo. Kama una picha ya hizo mbao au mti wake naomba nionyeshe.

Pole pia kwa tukio hilo
Nashindwa kuiweka kwenye hardwood or softwood, ila inapatikana kwa wingi zaidi kwenye hifadhi ya misitu ya milima ya Usambara Lushoto na Upareni. Kadri inavyokaa miaka mingi ndo inazidi kuwa myekundu. TAFOR wanailinda sana
 
Yes, Moshi na Manyara pia inapatikana kwa wingi. Sijajua Iringa na Mbeya kama ipo
Iringa ndio zipo ambazo ni pine na cyprus japo zile kenfa zenyewe zimeadimika sana. Na hizo kenfa na mininga na ule mwingine nahisi ni mkongo ni miti iliyo hatarii kupotea!
 
Habari za mchana na habari za jioni!

Kuna fundi nilimpa Hela anitengenezee kitanda cha mbao za kenfa nilizozipata kwa shida.

Yapata Sasa mwaka kitanda bado na Hela kala na mbao zangu Katengenezea kitanda kingine kauza 😔.

Nimeenda kumshitaki kajitetea atanitengenezea kitanda kingine, ila Katengeneza kitanda na mbao ambazo sio za kenfa.

Mi nimegoma kupokea hicho kitanda, tumeenda Tena mbele kwa mbele nikaambiwa nimpe gharama za mbao za kenfa na hela ya kitanda niliyompa anilipe.

Zile mbao za kenfa zilinigharimu 2.5ml kwasababu ya kibali chake kuwa ni cha shida yaani hawatoi kabisa.
Sasa huyu kapenta amegoma katakata na mtaani haonekani Tena.

Mimi ujumbe wangu ni huu jasho la mtu haliendi Bure Bure, utataga tu muda ukifika.

Tuweni makini na hawa matapeli jamani, mtu unachukua kazi nyingi kuzidi uwezo wako was kuzihudumia. 🤬
Mkuu; Pole sana aisee. Fundi ni Kinyozi tuu. Hao wengine wote ukianzia na fundi seremala, fundi cherehani, fundi umeme na watengeneza grills/wachomeaji ni pasua kichwa sana. Kwa wote hao yamenikuta - sina hamu kabisa.
 
hata siwaonei huruma halaf wan maisha ya ajabu sana kunaye mmoja back days alipewa pesa na mbao achonge makabati yale ya ndani ya nguo jamaa akawa anakuja anavyojisikia mbaya zaidi akataka mbao akazichonge achore maua aweke vioo achonge sehem ya vitasa lile bahau likasepa na hela nanmbao akacha kabegi kake kana randa mbili misumeno miwili misumar gundi ya mbao jeki ndogo

mwanzoni mama yangu akasema wala simfuatilii atarudi ameacha vifaa kutahamaki siku zinazidi kuhesabika,baba akasema ngoja nimtilie tim anapokaa anajulikana kesi ikaenda polisi akalipa nusu vifaa had leo vipo nyumbani stoo ikabidi tuingie gharama ya kutafuta fundi mwengine ambaye kwa sasa n marehemu na alifanya kaz within a short period of time.
Huyo aliyewatapeli bado yupo?
 
Back
Top Bottom